Putin: "I'm Ready for another Cuban-Missile Style Crisis"

Putin: "I'm Ready for another Cuban-Missile Style Crisis"

maybe he is talking about venezuela,or he could be talking about ukraine,there have been a lot of activities in east ukraine recentry,suggesting that moscow could be planning to take ukraine once US take venezuela,seeing how the US have been claiming that venezuela is in their backyard,so moscow ready to claim Ukraine is in their frontyard
i think it is because of the missile treaty that Trump has vowed to revoke.
 
Mkuu huoni USA akiweka silaha huko Europe atakuwa amewatoa kafara wenzake make itabidi Russia kama ambavyo alishawahi kusema kabla hajashambulia USA atahakikisha Europe na middle east panabaki majivu
Hakuna Kafara Hapo! Europe Kuna UK Na Ufaransa Ambao Wako Kwenye G5 (Nuclear Powers). Urusi Anaanzaje Kuigeuza Europe Majivu Wakae Wanamuangalia Tuu??????
 
Nani amekwambia shida zinazoeleka mkuu?.Fact ni kwamba Russia hawapendi kuwa kwenye depression kila kukicha hata kidogo,tatizo hakuna akili ya kuwatoa hapo walipo,Maana akili iliyoyopo inawaza military might 24/7.Hakuna nguvu muhimu kama nguvu ya uchumi asikudanganye mtu,you can do what ever you want.
Hebu chunguza deni la nje la urusi linapanda Au linashuka ndio utajua kwamba hicho kiburi cha Putin kinatoka wapi. Urusi ya sasa sio ile ya zamani..wanakuja juu kwa kasi sana kiuchumi. Ni tishio kwa US na ndio maana kakimbilia kupeleka fujo amerika huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi Wa Urusi Unakuwa Lakini Kwa Rate Ya Kawaida Sana. Kiuchumi Urusi Si Tishio Kabisa Kwa USA. Nchi Ambayo Inaweza Kuwa Tishio Kwa USA Kiuchumi Ni CHINA Pekee Kwa Sasa!
 
Uchumi unakua, deni linapungua kwa kasi. Reserve ya gold inaongezeka, na hapo yuko kwenye vikwazo. Sio wa kubezwa! Unajua kwa nini US kakimbiza fujo kutoka ulaya mash. hadi amerika? Unajua Kwanini amekimbia Middle East?
Uchumi Wa Urusi Unakuwa Lakini Kwa Rate Ya Kawaida Sana. Kiuchumi Urusi Si Tishio Kabisa Kwa USA. Nchi Ambayo Inaweza Kuwa Tishio Kwa USA Kiuchumi Ni CHINA Pekee Kwa Sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Kafara Hapo! Europe Kuna UK Na Ufaransa Ambao Wako Kwenye G5 (Nuclear Powers). Urusi Anaanzaje Kuigeuza Europe Majivu Wakae Wanamuangalia Tuu??????
Kumbuka Russia ndiyo anaongoza kumiliki makombora ya nyuklia kuliko nchi yoyote duniani ana kombora lenye uwezo wa kuiteketeza nchi ya ufaransa waeuropean wanalijua hilo wanaliita SATAN
 
Kumbuka Russia ndiyo anaongoza kumiliki makombora ya nyuklia kuliko nchi yoyote duniani ana kombora lenye uwezo wa kuiteketeza nchi ya ufaransa waeuropean wanalijua hilo wanaliita SATAN
Hakuna Missile Inayoweza Kuifuta Nchi Kama Ufaransa. Ninachotaka Kukuambia Ni Kuwa Hata Kama Urusi Awe Na Makombora Mengi Bado Hata Ufaransa Naye Ni Nuclear Power Na Ana Makombora Yanayoweza Kupiga Sehemu Yeyote Duniani (Ni G5 Member Yule). Kwa Maana Hiyo Lazima Atajibu Mapigo.
 
Ukiona mtu kila siku anatoa vitisho ujue mwoga uyo! Maana kila siku ni Puttin ndiye analalamika na kupiga mikwara kibao wakati wenzake wako kimya wakifanya research na kuandaa mbinu za kukuza Uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kati ya nchi 28 zipo kwa ajili ya taifa moja tu Russia huoni hao ndiyo waoga hayo maneno ya kusema ni mikwara yaliwaponza Georgia na Ukraine walidanganywa na mjomba wao ila kichapo kilipoanza si mjomba wala kaka aliyeingilia hilo sereka matokeo yake majimbo ya Abkhazia Ossetia yakajitangazia uhuru mpaka Leo hii crimea iko Russia mjomba na vibaraka wake kimya
 
Hakuna Missile Inayoweza Kuifuta Nchi Kama Ufaransa. Ninachotaka Kukuambia Ni Kuwa Hata Kama Urusi Awe Na Makombora Mengi Bado Hata Ufaransa Naye Ni Nuclear Power Na Ana Makombora Yanayoweza Kupiga Sehemu Yeyote Duniani (Ni G5 Yule). Kwa Maana Hiyo Lazima Atajibu Mapigo.
Kama mjerumani aliweza kumumdu mfaransa mpaka kuteka nchi nzima Russia hatachukua muda kuhakikisha vibaraka kama ufaransa wamefutika duniani Tsar Bullava nk hayo yote ni nyuklia
 
Hivi kati ya nchi 28 zipo kwa ajili ya taifa moja tu Russia huoni hao ndiyo waoga hayo maneno ya kusema ni mikwara yaliwaponza Georgia na Ukraine walidanganywa na mjomba wao ila kichapo kilipoanza si mjomba wala kaka aliyeingilia hilo sereka matokeo yake majimbo ya Abkhazia Ossetia yakajitangazia uhuru mpaka Leo hii crimea iko Russia mjomba na vibaraka wake kimya
Hizo Nchi 28 Ni Zipi. Kama Unasemea NATO, Haipo Kwa Ajili Ya Russia Pekee. Infact NATO Ipo Dhidi Ya Taifa Lolote Lile Nje Ya Muungano Huo. Rejea Libya.
 
Wewe North Atlantic Treaty Organisation umoja wa kujihami sasa mimi nikuulize Libya alimchokoza nani kwenye hiyo jumuiya ya Nato? ieleweke tu Nato ipo Kwa ajili ya Russia ndiyo tishio Kwa hao vibaraka
Hizo Nchi 28 Ni Zipi. Kama Unasemea NATO, Haipo Kwa Ajili Ya Russia Pekee. Infact NATO Ipo Dhidi Ya Taifa Lolote Lile Nje Ya Muungano Huo. Rejea Libya.
 
Back
Top Bottom