Putin atinga Kremlin ghafla

Sababu za rusia kuivamia Ukraine kisa hawataki wajiunge NATO hazina mashiko kwa sababu Rusia ana majirani wanao share mipaka kama poland na Estonia ambao wako NATO
Wewe unamezeshwa tu taarifa,huna tofauti na kinda LA ndege. Tulia dunia ipige hatua. Nyie endeleeni kuitwa kisiwa cha amani. Duniani toka enzi na enzi imekuwa ikipiga hatua kutokana na vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ