Putin amuonesha Trump who is the boss ?

Putin amuonesha Trump who is the boss ?

Wala mimi sishangai, Trump kigehu gehu sana, mimi nilisha mshitukia siku nyingi kwamba hana nia thabiti ya kumaliza mgogoro WA Ukraine, alichokuwa anafanya ni kumpigia simu Putin mara kwa mara lakini sio kutaka kukutana na Putin ana tangu aigie White House, cha ajabu Trump amekwisha kutaka na Zelensky ana kwa ana zaidi ya mara TATU au nne!! Baada ya kugudua hilo ndiyo nikaona Trump anampigia pigia simu Putin akiwa na lengo la kumchota akili tu lakini Trump, Waziri mkuu wa Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Poland na baadhi ya Mataifa ya Ulaya(ie some NATO members wamepania kuanzisha vita na Urusi - wamepania kweli kweli, lakini hata iweje Urusi ataeashinda tu, Urusi si mchezo walisha jipanga kuhusu kukabiliana na mahasimu wao wakubwa (NATO), na Putin alisha waonya siku nyingi kwamba akipata taarifa ya kintelijensia kwamba Taifa la Urusi linatishiwa na Mataifa ya NATO akasema huo ndiyo utakuwa ndiyo mwisho wa Dunia na atanii.

Binafsi namshauri Putin atangaze vita na Ukraine mapema iwezekanavyo, bila ya kujali nchi za Ulaya zita react vipi hata ikiwemo Merikani yenyewe, bila ya Putin kufikia uhamuzi huo Zelezensky na wapambe wake watamsumbuwa sana Putin.
Ukiwa Mpimbwe
 
Simuoni kipanya kabisa siku hizi,
Nyuzi zake hizi, mzee WA kulambisha mchanga😂
 
Yaani dunia nzima haikutegemea Iran atafanya alichofanya
Alikaa kimya watu wakiuwawa Gaza na alikaa kimya wakati Saudia anavamia Yemen na baadae kuwapa marubani 100 wa Saudia kila mmoja RR

Iran alikubali wanasayansi wauwawe na akajibu kidogo tu

Ila akaapa kuwa atalipa kwa nguvu kubwa
Israel wakadhani anawaogopa kwa kuwa wanalindwa na US na pia EU wanamchukia sana Iran.

Ila alipopiga zile zilikuwa ngumi za Tyson aiseee, piga siku 12 tu mpaka wakaomba poo

Ila hata humu wale waliokuwa wanasema ni Taifa teule au land of promise na atakae laani alaaniwe, hatukuwasikia tena.

Kila mmoja Wetu alipata msgangao
Wazungu wanasema wa Israel wanaenda kutengeneza Taifa lingine hapo Cyprus na wamejazana haswa.

Hawatarudi tena Israel hata wapewe ahadi gani tena
Ila waarabu wote wamefyata mikia kwa Iran
Wanampa shikamoo Khamenei bila kuomba
UNAONGEA KISHABIKI SANA UNAJUA HUYO IRAN ALICHOFANYIWA KAMTAFUTE KIREMBA MUYLIZE KWA NINI MPAKA SASA YUMO SHIMONI KAMA PANYA
 
UNAONGEA KISHABIKI SANA UNAJUA HUYO IRAN ALICHOFANYIWA KAMTAFUTE KIREMBA MUYLIZE KWA NINI MPAKA SASA YUMO SHIMONI KAMA PANYA

The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel​

 
mnasahau mlisema marekani anairefusha vita ili kumchosha mrusi cha kushangaza jamaa anazidi kuimarika
Niliwahi kumsikia Waziri wa ulinzi WA Merikani akisema kwamba kumbe Warusi walisha jita risha kwa miaka mingi hivyo wana idadi kubwa ya silaha ya kuweza kupigana kwa muda mrefu sana bila ya kitetereka.
 
Putin ameona adabu aliyoshikishwa Israel na Iran kwa kupiga bila huruma.

Sasa na yeye ameona huyu Zele ni wa kuchapwa kwa hasira zote ili aombe poo

Trump hana lolote kwa Putin
Jamaa kachukua Crimea kibabe na hakuna wa kumzuia
Huyu sio Saddam eti
Hivi analysis ya hayo mapigano ya Israel na Iran mmeifanyaje? Mnaqwza mkan8saidia kujua ni upande upi ambao umepata hasara? Kivipi?
 
Hivi analysia ya hayo mapigano ya Israel na Iran mmeifanyaje? Mnaqwza mkan8saidia kujua ni upande upi ambao umepata hasara? Kivipi?
Mkuu, hata ajali ikitokea na mashuhuda wakiwa wengi, basi pindi wanapotawanyika kila mmoja ataongea yake ingawa ajali ni moja tu

Mimi nilikuwa ME miaka ya 80 mpaka 90
Kuanzia vita ya Iran/ Iraq ilipoanza mpaka kuisha, na pia Iraq walipoivamia Q8 nilikuwepo na kuondoka huko

Ila kila mmoja aliondoka na story zake na mambo yalivyokuwa

Kuhusu hii vita ya Israel/ Iran hapo hata kama akija mtu akasema alikuwa huko bado atapingwa tu
Aidha kwa mahaba ya upande mmoja au kupata taarifa sehemu tofauti

Ila kiuhalisia wote tunajua vita iliisha kwa siku 12

Hizo hasara wanajua waliozipata
Ukweli upo ila na ya ziada yapo mengi tu
 
Law 4: Always say less than necessary. ...

From “48 Laws of Power” - by Roben Green
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom