Putin amuonesha Trump who is the boss ?

Putin amuonesha Trump who is the boss ?

Wala mimi sishangai, Trump kigehu gehu sana, mimi nilisha mshitukia siku nyingi kwamba hana nia thabiti ya kumaliza mgogoro WA Ukraine, alichokuwa anafanya ni kumpigia simu Putin mara kwa mara lakini sio kutaka kukutana na Putin ana tangu aigie White House, cha ajabu Trump amekwisha kutaka na Zelensky ana kwa ana zaidi ya mara TATU au nne!! Baada ya kugudua hilo ndiyo nikaona Trump anampigia pigia simu Putin akiwa na lengo la kumchota akili tu lakini Trump, Waziri mkuu wa Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Poland na baadhi ya Mataifa ya Ulaya(ie some NATO members wamepania kuanzisha vita na Urusi - wamepania kweli kweli, lakini hata iweje Urusi ataeashinda tu, Urusi si mchezo walisha jipanga kuhusu kukabiliana na mahasimu wao wakubwa (NATO), na Putin alisha waonya siku nyingi kwamba akipata taarifa ya kintelijensia kwamba Taifa la Urusi linatishiwa na Mataifa ya NATO akasema huo ndiyo utakuwa ndiyo mwisho wa Dunia na atanii.

Binafsi namshauri Putin atangaze vita na Ukraine mapema iwezekanavyo, bila ya kujali nchi za Ulaya zita react vipi hata ikiwemo Merikani yenyewe, bila ya Putin kufikia uhamuzi huo Zelezensky na wapambe wake watamsumbuwa sana Putin.
Kwamba dunia iliyoumbwa na Mungu imalizwe tamati na Putin asee.
 
Iran kawatia adabu aisay hata wale Pro western kina Saud Arabia wameanza kumkumbatia Iran, hawataki kuona mziki wa Iran wa siku 12 tena unambiwa wametumia old stocks zaidi na ni kiasi walizo test ni new stocks na hizo new stocks mfano wa Sajeli na Heybar ni balaa unambiwa waliono mara ya kwanza Jahanamu ya dunia 😆 😂
Aaaaiiiiseeeee! Uislamu raha sana.
 
Wala mimi sishangai, Trump kigehu gehu sana, mimi nilisha mshitukia siku nyingi kwamba hana nia thabiti ya kumaliza mgogoro WA Ukraine, alichokuwa anafanya ni kumpigia simu Putin mara kwa mara lakini sio kutaka kukutana na Putin ana tangu aigie White House, cha ajabu Trump amekwisha kutaka na Zelensky ana kwa ana zaidi ya mara TATU au nne!! Baada ya kugudua hilo ndiyo nikaona Trump anampigia pigia simu Putin akiwa na lengo la kumchota akili tu lakini Trump, Waziri mkuu wa Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Poland na baadhi ya Mataifa ya Ulaya(ie some NATO members wamepania kuanzisha vita na Urusi - wamepania kweli kweli, lakini hata iweje Urusi ataeashinda tu, Urusi si mchezo walisha jipanga kuhusu kukabiliana na mahasimu wao wakubwa (NATO), na Putin alisha waonya siku nyingi kwamba akipata taarifa ya kintelijensia kwamba Taifa la Urusi linatishiwa na Mataifa ya NATO akasema huo ndiyo utakuwa ndiyo mwisho wa Dunia na atanii.

Binafsi namshauri Putin atangaze vita na Ukraine mapema iwezekanavyo, bila ya kujali nchi za Ulaya zita react vipi hata ikiwemo Merikani yenyewe, bila ya Putin kufikia uhamuzi huo Zelezensky na wapambe wake watamsumbuwa sana Putin.
Atangaze vita mara ngapi?, ni mwaka wa 3 akiwa vitani.
 
Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya anga tangu vita hivo vya zaidi ya miaka mitatu kuanza.katika mashambulizi hayo yaliotokea usiku wa july 9 urusi imevurumisha ndege zisizo na rubani takribani 800 na makombora ya baharini 13 ambayo yamepiga miji mbali mbali.

Haya yanajiri baada ya rais wa Marekkani Donald Trump kusema amechukizwa na vitendo vya rais wa ursi Vladimir Putin na anapanga kutuma silaha zaidi kyiv
Putin hawezi kuwa chini ya Trump hata siku moja, no one respects him (Trump) only Israel tu.
 
Israel ilichapwa vibaya sana mm ninayo picha moja ukitaka kutuma inagoma sasa utashangaa mbona picha zengine zinakuja yani unaweza tuma apa JF lkn iyo inakataa !!!

ninapicha tatu kwasasa siwezi kuzituma zinagoma kabisa!!

kuna jengo moja pale Haifa chanzo cha hii picha kilinambia ni jengo la JESH la Navy HAIFA wamekufa palepale wanajeshi 1000 jengo limesambalatishwa kabisa la gorafa kama 4 lilikuwa kambi ya Navy ya siri sana..
nikazani itakuwa uwongo

sasa ile picha niliichukua ya jengo tajwa ninacho shangaa kiasi sasa kuamini ni kweli ile taarifa iyo picha kila nikitaka kuituma apa inagoma !!!

wkt zipo picha nyingi tu naweza tuma lkn iyo inagoma kabisa wkt picha yakawaida tu jengo lenyewe ni moja tu lkn picha itakuwa wameiwekea code waisrael watakuwa wamekufa wengi sana kwenye ile Vita ya 12

Iran ilikuwa ikipiga kwenye MISHONO tu
 
Urusi na Iran hawana tofauti kabisa katika mbinu za kivita mwaka wa 4 unaenda unapigana vita na kanchi kadogo sasa wewe ni superpower au supapawa?
Kama unadhani Russia anapigana vita na Ukraine vasi itakuwa hujui kinachoendelea, ile vita Ukraine ni eneo la vita tu, Ukraine hana anachotoa, kila kitu anatoa Western countries, facilitating vita kwa gharama zote ni West. Unasemaje Ukraine ndio anapigana.
 
Yaani dunia nzima haikutegemea Iran atafanya alichofanya
Alikaa kimya watu wakiuwawa Gaza na alikaa kimya wakati Saudia anavamia Yemen na baadae kuwapa marubani 100 wa Saudia kila mmoja RR

Iran alikubali wanasayansi wauwawe na akajibu kidogo tu

Ila akaapa kuwa atalipa kwa nguvu kubwa
Israel wakadhani anawaogopa kwa kuwa wanalindwa na US na pia EU wanamchukia sana Iran.

Ila alipopiga zile zilikuwa ngumi za Tyson aiseee, piga siku 12 tu mpaka wakaomba poo

Ila hata humu wale waliokuwa wanasema ni Taifa teule au land of promise na atakae laani alaaniwe, hatukuwasikia tena.

Kila mmoja Wetu alipata msgangao
Wazungu wanasema wa Israel wanaenda kutengeneza Taifa lingine hapo Cyprus na wamejazana haswa.

Hawatarudi tena Israel hata wapewe ahadi gani tena
Ila waarabu wote wamefyata mikia kwa Iran
Wanampa shikamoo Khamenei bila kuomba
✍️✍️
 
Atangaze vita mara ngapi?, ni mwaka wa 3 akiwa vitani.Acha ubishi, lini Putin aliwahi kutangaza vita, tofautisha kati ya neno "Specially Operation" na neno "kutangaza VITA" Kama Putin angetangaza vita kamili dhidi ya Ukraine basically jeshi LA Ukraine na zelensky yenyewe ingekuwa imekwisha surrender bola ya kujali msaada WA silaha na mamuluki wanao toka nchi za magharibi kuja kusaidia Ukraine!!
 
Kama unadhani Russia anapigana vita na Ukraine vasi itakuwa hujui kinachoendelea, ile vita Ukraine ni eneo la vita tu, Ukraine hana anachotoa, kila kitu anatoa Western countries, facilitating vita kwa gharama zote ni West. Unasemaje Ukraine ndio anapigana.
Ni members wachache wanao juwa ukweli huo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom