Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

mwenzio amefeel life la urusi , ww upo kuzungumza hadith za kufikirika
Huo ni mtazamo wako kulingana na uwezo wako wa kufikiri! Mimi nimezungumza uhalisia ambao huitaji kuwa genius kuelewa hili!!! Hata Tanzania, kuna wakati hali ya uchumi inakuwa mbaya, watu wanalia hela haionekani lakini wakati wewe unalia jirani yako anaagiza Range Rover!!! Ndivyo maisha yalivyo!

Vivyo hivyo hata hapo Urusi inawezekana yeye akapitia hali ngumu lakini ukashangaa jirani wanafurahia maisha! Hizi siyo hadithi za kufikirika! Ndiyo uhalisia wa maisha! Hatulingani na hatutakaa tulingane! Wakati unalia, Kuna mwingine anacheka!

Una uhakika gani alichozungumza siyo hadithi za kufikirika?
 
Putin ni mtu mmoja hatari sana mwenye akili nyingi sana na mbobezi haswaa wa intelligence ex-KGB.
Hii vita ya kuivamia Ukraine, ilikuwa ni mkakati wa kuinua uchumi wa Russia.
Baada ya kuzichanga karata zake vema na kusoma kila post-events za vita.
Akazama kazini mzee baba, EU kupitia NATO na US wakazama mtegoni.
Wakaweka vijikwazo vyao, jamaa anawaangalia tu.
Wakashikilia mali zao jamaa anawacheki kwa dharaaau[emoji28][emoji28][emoji28].
Wakazuia asitumie Dollar wala Euro, akatabasamu akijisemea hawa pimbi hawanijui?
Alipoona wanamchosha, akaamua now its time for action, its my turn [emoji41][emoji41][emoji41]
Mzee baba akakata gesi, wakajidai wana-alternative akatulia kimyaa! Wakakaza.
Jamaa akaendelea na mambo yake hana habari.
Bei za mafuta zikapaa wakaanza kutafutana na kumpigia simu kisirisi. Hii inaitwa "weka ugoko naweka nondo"

Sasa jamaa kakaza lazima malipo ya gesi na mafuta lazima yafanyike kwa pesa ya Russia, kama hamtaki kokeni moto majumbani, mpaki magari msafiri kwa baiskeli

Sasa sarafu ya Russia inapaa.

Nawasilisha nikiwa hapa cremlin jirani kabisa na mwamba 😎😎View attachment 2171528


The ruble has recouped most of its losses and become the top-performing currency globally. It continues to gain and is up 60 per cent against the US dollar from its lows in the first week of March.

The ruble appreciated to 83 to the dollar intraday on Tuesday against a record low of 139 on March 7. Thanks to the recent rally, the ruble is only about 10 per cent lower than what it was before the Russian invasion of Ukraine on February 24. The ruble was trading at around 76 before the invasion, according to the data from Bloomberg.

Analysts, however, say the recovery in the ruble suggests the impact of the West’s economic sanctions are much lower than anticipated initially. “The sanctions and curbs had created insolvency risks for the Russian economy, leading to a big sell-off in the ruble.

Kwa taarifa zaidi kutoka WASHINGTON POST soma hii

Na hii kutoka US

Screenshot_2022-04-01-09-01-37-68.jpg

Kitu kimewaka uko ndani ya urusi wewe unakata mabuno tu, matunda ya kazi yake ndio haya, ngoma zinadondoka russia sasa sio Kyiv tena, Kyiv watoto wameanza kwenda shule sasa
 
View attachment 2172712
Kitu kimewaka uko ndani ya urusi wewe unakata mabuno tu, matunda ya kazi yake ndio haya, ngoma zinadondoka russia sasa sio Kyiv tena, Kyiv watoto wameanza kwenda shule sasa
We ni mtoto nimekuwekewa habari zilizoandikwa na WASHINGTON POST na US. NEWS we unaleta ujinga wa BBC haya leta chanzo kingine huru
 
We ni mtoto nimekuwekewa habari zilizoandikwa na WASHINGTON POST na US. NEWS we unaleta ujinga wa BBC haya leta chanzo kingine huru
sijui unaishi dunia gani mpaka hili la kushambuliwa urusi bado akili yako inawaza chanzo, ambapo mpaka urusi wenyewe wamethibitisha na kusema mazungumzo waliyoanzisha huenda yakaathiriwa na hichi kichapo
 
sijui unaishi dunia gani mpaka hili la kushambuliwa urusi bado akili yako inawaza chanzo, ambapo mpaka urusi wenyewe wamethibitisha na kusema mazungumzo waliyoanzisha huenda yakaathiriwa na hichi kichapo
Hii imeiona? Au unaifumbia macho?
Screenshot_20220402-111915_Chrome.jpg


BBC Swahili wanachukua habari kutoka shirika la utangazaji la Reuters
nani msemakweli?

Ukikua utaelewa
 
Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
Upo Urusi unakula uyoga au sio.
 
Back
Top Bottom