Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

Huyu putin ana PUT IN kweli kweli, japo atasafa ila si pekee yake upande wa pili nao wataisoma namba.

America mnafiki, yeye baada ya kuona mbolea inakuwa ishu kwake, kaextend vikwazo vya mbolea toka kwa mrusi, sasa putin nae awaambie walipie kwa rubles ndio nasubiri kuona hili jambo, ifike hatua tuheshimiane tu.

Ukimwaga mboga naondoka na sufuria ya ugali.
Kabisa ndugu maana ukimwaga ugali wanaweza kuuzoazoa wakaufuta wakaula hivyo hivyo mkavu.
 
Ruble mfano hela ya kirusi nani anaihitaji?
European union hawaihitaji,Marekani na Uingereza na Japan bhawaihitaji Afrika tukiwemo Tanzania hatuihitaji kabisaaaaaa ulishawahi iona hata hiyo Ruble ya kirusi inafananaje au ukaiona duka lolote la pesa za kigeni Tanzania linauza?

Hiyo propaganda ya kusema imepanda ni hewa ni Serikali ndio imefix
Wazungu wanahaha kuitafuta hiyo ruble wanunue gas ww unaleta machezo!
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
hapo ulipo urusi pombe kali ina uzwaje (bei) kwa sasa?
 
Pole sana! Ushauri wa bure, Rudi nyumbani unafanya nini huko kwenye maisha magumu sana??? Rudi baba usije ukaolewa huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Wakati mwingine usijumuishe wote, unaweza ukawa na maisha magumu halafu jirani zako wanakula good time! Umefuatilia familia zote zinalia kama familia yako? Umetumia vigezo gani ku 'conclude' maisha ni magumu huko?
Good and well said. Yuko urusi na hajui kuwa hajui. Kuna vitu vinatokea Dar es salaam na upo Dsm ila unasikia Habari toka njombe wakati upo Dar na hujui.
 
Hakuna unachokijua mweupe tuu wewe Kama kuta za ikulu Bora ukae kimya huko urusi watu wanatafutana wanataka wakimbie nchi wanazuiliwa, wanajeshi wenyewe wameshachezea kichapo wanatafuta namna ya kukimbia wewe unajamba Jamba tu kwenye key board yako huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi inatosha amekusikia
 
Mgao ni wa muda mfupi Meli ziko njiani toka Marekani zimebeba gesi kupeleka ujerumani

Marekani ndie mzalishaji gesi namba moja kamuacha mrusi mbali mno
Ujerumani imechukua measures nyingi ikiwemo kuwaua mitambo ya kuzalisha umeme itumiayo makaa ya mawe ,na nishati mbadala zote ili kuondoa utegemezi wa gesi ya Urusi. Kati ya mabomba makubwa mawili mapeleka gesi toka Urusi kwenda ujerumani ,moja ujerumani wameshalifunga la stream 2 kuwwawekea Urusi vikwazo.Urusi sasa ina pump gesi bomba moja tu
wakimaliza wana tuma tena meli kuchukua gas? wakati US huyo huyo ametoa akiba yake ya mafuta ili kupambana na janga la mafuta...

hii ina itwa piga nikupige...
 
Ruble mfano hela ya kirusi nani anaihitaji?
European union hawaihitaji,Marekani na Uingereza na Japan bhawaihitaji Afrika tukiwemo Tanzania hatuihitaji kabisaaaaaa ulishawahi iona hata hiyo Ruble ya kirusi inafananaje au ukaiona duka lolote la pesa za kigeni Tanzania linauza?

Hiyo propaganda ya kusema imepanda ni hewa ni Serikali ndio imefix
Ulaya wataihitaji kwa ajili ya kununulia Mafuta, gesi na Ngano na Mbolea kutoka Urusi so watainunua tu hawataki wakoke moto majumbani
 
Duuuuh punguza mahaba halafu Anglia ukweli, India ananunua mafuta Kwa rubles, na Vatican wamenunua na hata nchi nyingi ambao hawafungamani na vikwazo vya marekani wananunua, halafu toa nchi hizo zilizoiwekea Russia vikwazo kuna nchi nyingi duniani bado wanafanya kazi na urusi
 
Navyojua mie walio nje ya uwanja kama watamazaji wanajua uhalisia wa mchezo kuliko wa ndani (wachezaji.) Jamaa yuko urusi lakini hajui kwamba hajui. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Eti anazungumzia mikataba ya kimataifa as if na yeye ni mwanasheria wa Putin
 
Duuuuh, mkuu naomba nikurekebishe kidogo kitu chochote kinapanda thamani kutokana na kuadimika sokoni, yaani kuna wanunuzi wengi kuliko bidhaa, Kwa maana hiyo mahitaji ya rubles ni makubwa kuliko upatikanaji wa rubles automatically thamani ya rubles itapanda
Uko Sawa. Demand v/s Supply
 
Je umeshuhudia yote hayo ukiwa wapi?
Niko zangu bongonyoo huku kwa fasi ofsa
Ila nimezaaga na mtasha mmoko ivi anatokea pande za uko kwa Putin yeye ndo hua ananiapdate what is going on kule maana yupo huko

Sasa nikikaaga na kuanza kuangalia jitu Kama muanzisha Uzi anakaa nyuma ya key board na kuanza kujambajamba vitu ata havielewi kisa ana mapenzi na huyo Putin nachukua tangawizi mbichi natafuna kupunguza hasira

Demu anakwambia saivi kule Mambo hayaendi huduma za kijamii zinapatikana kwa tabu Sana yeye mwenyewe anafanya mpango asepe arudi huku kukaa kwa muda
 
Ulaya wataihitaji kwa ajili ya kununulia Mafuta, gesi na Ngano na Mbolea kutoka Urusi so watainunua tu hawataki wakoke moto majumbani
Wamegoma wanasema ukiukwaji mkataba unaosema atalipwa kwa pesa zao,sio za Urusi kakubali shingo upande kuwa ok wekeni dollar mimi nitanunua hizo dola kwa Ruble ninazihitaji hizo Ruble kulipa wanajeshi nk

Sababu kajua wakimlipa kwa dola hatazitoa kununua chochote hata aandike cheki sababu kawekewa vikwazo marufuku kutumia dollar Euro,Yen au pound ya uingereza kwa hiyo kaona ni heri apate nusu hasara Walau anunue hizo dollar zao zilizowekwa kwenye akaunti kwa Ruble wampe Ruble alipe Askari vitani na mishahara nk sababu hiyo midola ilikikaa kwenye akaunti ni useless kwake!!! Kuwa heri nusu Shari kuliko shari nzima

Yeye ndio anainunua kwa rate ya kuuziwa

Putin kabanwa pabaya. Lazima atage au ajisaidie haja kubwa sebueni kremlini
 
We kichwa kimejaa maji subiri matokeo
 
Back
Top Bottom