Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
Inawezekana wewe ni wa " in the long run"
 
Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
Pole sana! Ushauri wa bure, Rudi nyumbani unafanya nini huko kwenye maisha magumu sana??? Rudi baba usije ukaolewa huko🤣🤣🤣! Wakati mwingine usijumuishe wote, unaweza ukawa na maisha magumu halafu jirani zako wanakula good time! Umefuatilia familia zote zinalia kama familia yako? Umetumia vigezo gani ku 'conclude' maisha ni magumu huko?
 
russia.png

Mwite aje aone hii taarifa
 
Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
Hata huku ulaya ndo kugumu zaidi maana wanapigwa kotekote ,marekani pia watu wanapaki yard ndinga zao,sahiv ni mwendo wa pkpk .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U
Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
Wewe uko urusi....mleta mada yuko Kremlin.
 
Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
😉😉😉🤏
 
Hakuna unachokijua mweupe tuu wewe Kama kuta za ikulu Bora ukae kimya huko urusi watu wanatafutana wanataka wakimbie nchi wanazuiliwa, wanajeshi wenyewe wameshachezea kichapo wanatafuta namna ya kukimbia wewe unajamba Jamba tu kwenye key board yako huko
 
Saizi wajerumani wameanza mgao wa gesi 😒 na kununua chochote urusi lazima utumie sarafu yao
Mgao ni wa muda mfupi Meli ziko njiani toka Marekani zimebeba gesi kupeleka ujerumani

Marekani ndie mzalishaji gesi namba moja kamuacha mrusi mbali mno
Ujerumani imechukua measures nyingi ikiwemo kuwaua mitambo ya kuzalisha umeme itumiayo makaa ya mawe ,na nishati mbadala zote ili kuondoa utegemezi wa gesi ya Urusi. Kati ya mabomba makubwa mawili mapeleka gesi toka Urusi kwenda ujerumani ,moja ujerumani wameshalifunga la stream 2 kuwwawekea Urusi vikwazo.Urusi sasa ina pump gesi bomba moja tu
 
Na bei itakuwaje? ngoja tusubiri
 
Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana

Watu kama ninyi hamkosekani kuja kuleta Propaganda zenu, mkuu Tafakari yetu kama amejua mtakuja tuu 🤣
 
Bei iko juu kuliko ya Urusi saba ya gharama za juu za usafirishaji ila Serikali ya ujerumani wamesema wata subsidize ili wananchi wake wasiumie kwa bei kubwa ya gesi itakayoagizwa nje
Sasa mkuu kusubsdize for how long?, hapa US kawapambanisha ili auze mafuta yake ila chamoto wanakiona
 
Back
Top Bottom