EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #61
Unajua Exchange rate?? ukijua utaelewaUrusi na China ndizo nchi pekee duniani ambazo thamani za pesa zao husimamiwa na Serikali
China yenyewe kutwa huwa inapunguza thamani ya pesa yake ili iuze sana bidhaa zake nje .Mchina ni mbobezi kwenye devaluation ya pesa yake
Sasa naona mrusi kaingia kubobea kwenye kupandisha thamani ya pesa yake kwenye ofisi ya Kremlin!! Mauzo ya Russia ya gesi na mafuta yameshuka kwa sababu ya vikwazo pesa yake inapandaje thamani jiulize swali dogo