Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Im i a russian?
naked? afrodenzi imagination....nimetabasamuje hahaha
ahhhhh well ni kweli lakini si umemuona hapo juu uchi na gitaa yake
na anawatetea... dahhhhh sijui alikuwa anawaza nini tu .... sukari juu ya asali mmmhh
mi bora nijitoe humu ndani kwa muda maana akili yangu ina peperuka kwingine baaadaye...
Nitajuaje wakati unaonekana kutetea vitendo vya serikali ya Urussi
Mimi sijatetea nimeweka sawa. Wewe unadhani utasaidia nini?
wale mademu walikosea sana .. Inabidi wakajipumzikie tu kwa sasa hadi siku zao ziishe
tunatetea tuu...
"Free pussy"
dahhhh Pole mkubwa..
Bandugu hii bendi ingeitwaje kwa Kiswahili? Ningefurahi Kama wangekuja bongo kupiga shoo katika fiesta heheheheheheheee