daaaahhhh jamaa alivyo mgumu sijui kama ataachia huru "Pussy"
Putin hataki Pussy wala Kitty
Hatari kubwa
...LoL! G...nasikia anapenda ubabe tu 🙂🙂
Nna wasi wasi nae huyu mtu, ubabe hadi kwa Pussy and Kitty!
Kwa dogs and donkeys itakuwaje?!
....Hahahahahah lol! hujasikia wengine wanazipigia push ups? LoL! akionyesha kifua chake tu Pussy/Kitty lazima ishike adabu 🙂🙂
La haula...
huo sasa msiba.
vipaka vya watu vishikishwe adabu, huuuh!
Wapi watetezi wa haki za wanyama?
😀
Mi nilidhani ile PUSSY nyingine!!
wale mademu walikosea sana .. Inabidi wakajipumzikie tu kwa sasa hadi siku zao ziishe