Unajua kabisa maaskari wengi wameishia elimu ya.... Lazima wakuhisi vibaya.
Hahahahaaa. Yes my sister. Wanakuona mwehu. Tena hawachelewi kukupa bomu la tumbo. LOL!
halafu na visingizio debe... we ulikuwa uchi wa mnyama unaimba zako.. huna kitu mwilini
lakini watakuja na uongo "ulikuwa na pisto" kwenye mfuko wa suruali na wakati we ulikuwa uchi..
mapolisi wa Bongo bana.......
Hahaha hapo sasa afrodenzi ndiye atakayebaki na msala manake anaweza kupewa kimemo kuwa anaitwa ofisini kwa igp kwenda kutoa maelezo. Ila wewe si umesema utakuwa unapiga gitaa?
halafu na visingizio debe... we ulikuwa uchi wa mnyama unaimba zako.. huna kitu mwilini
lakini watakuja na uongo "ulikuwa na pisto" kwenye mfuko wa suruali na wakati we ulikuwa uchi..
mapolisi wa Bongo bana.......
Huku kwetu mara mtu katolewa meno na koleo , mara wamempiga risasi muuza magazeti sijui msoma magazeeti. Ila ndio hivyo wenzetu ni wakorofi ila hadi wakuue ni issue sana watakuweka ndani tu. Wale wangekuwa bongo ungesikia mengine ama wangepigwa mabomu ya matumbo
Yeah, mimi guitar langu nitaandika 'free P'' maana kuandika neno lote watahisi vibaya. Si unajua wabongo hawachelewi?
Wewe hata uandike free pussy unafikiri watakuwa na time na wewe basi? Ila mdada akiandika ndio balaa si unajua elimu ya askari wetu
unatolewa meno na koleo dahhh adhabu nyingine hata ma serial killer hawapewi.
Kwa wenzetu at list serikali yao inafuata sheria, hapa kwetu ni sheria mkononi.
na jaribu kufikiria ingelikuwa ni wasicha wa kibongo wameenda kuimba hivyo
mbele ya ikulu "nyumbani kwa baba Asha"mmmhh
Google utapata fully story. In short waliingilia siasa na kwenda ku perform kwenye kanisa la orthodox la kina Putin hili ni kosa kubwa sana kwa sheria zao. Kumbuka issue yoyote ikishagusa siasa hata kama wewe huna kosa ila hutatoka kirahisi.
Nimefurahi kuona bands zangu nyingi ninazozipenda zimewatetea. Nasikia member wa band waliobaki wamekimbia Russia kwa usalama wao maana nao wanaweza kugeuziwa kipigo.
Nimefurahi kuona bands zangu nyingi ninazozipenda zimewatetea. Nasikia member wa band waliobaki wamekimbia Russia kwa usalama wao maana nao wanaweza kugeuziwa kipigo.
Unapoanza kusema kuwa "waliingilia siasa" unaanza kutoa mwanya kuwa haki ya kuzungumzia siasa ni ya watu wachache.
Hilo sio tu kuwa ni ukiukaji wa haki za uhuru wa kujieleza, ni katika kukubali kutekelezwa kwa sheria kandamizi za nchi, kwa sababu tu sheria hizo zipo
Marekani kulikuwa na sheria ambazo zinatenganisha watu kwa rangi ya ngozi yao. Jee wale kina Rosa Parks waliopinga sheria hizo kandamizi walikosea sana kwa sababu sheria zilikuwa haziruhusu hilo?
Na Said Mwema na wenziwe wanapopiga wananchi kwa sababu "mikutano haijapewa kibali" ni halali kwa sababu ni kosa kubwa kwa sheria ya nchi?
Ungesikia wapo segerea kesi yao itasomwa 2016.. Watakachofanyiwa huko segerea wangejua wenyewe
yap kina Paul McCartney, Madonna and Bjork wameomba Pussy riot waachiwe....
this thing is world wide ..
Offcourse wangepotezwa
shiria tunazo lakini hazifuatwi ...
na kabla ya 2016 utasiki mmoja wa wasichana alifariki na magonjwa ya moyo
mwingine alin'gatwa na nyoka shambani, na wa mwisho alikuwa anatoroka akapigwa risasi "bahati mbaya alifariki hapo hapo" loohhh