Push Mobile wampa Tuzo ya Mwanasiasa Bora Prof. Sospeter Muhongo

Push Mobile wampa Tuzo ya Mwanasiasa Bora Prof. Sospeter Muhongo

Membe alinukuliwa akisema kwake yeye si tatizo kuona Muhongo kupewa tuzo hiyo, ingewa hasara kwangu ki siasa kama angepewa mpinzani wangu katika kinyanganyiro tulichonacho cha uraisi, alidai Membe. Alipoulizwa mpizani wake ni nani! akacheka tu. vipi kuhusu mwanasiasa kijana, Membe alisema kuwa hii sio siri Zitto ndo mwanasiasa bora kijana mwenyemafanikio kiliko hata baadhi ya mawaziri tulionao CCM.
My take mpinzani wake ni nani? Na kwani amwogope kama anahoja za msingi kwa wa TZ?
 
Huyu muhongo akustahili hii tuzo labda ya mtendaji bora kwa sababu yeye kateuliwa ajawahi kuchaguliwa na wananchi at a siku moja katika siasa kwa utendaji amefanya mazur na mabaya ila sio katika siasa

Jipambanue zaidi mkuu, alikuwa anafanya kazi ya siasa, maana Mbg, Waziri ni kazi ya kisiasa.
 
Nchi hii sasa tumefikia mahari pabaya kila kitu sasa ni cha kuchakachua. Tutarajie hayo pia kwenye urais.Mungu ibariki Tanzania

Hapa hamna uchakachuzi labda uliyemtegemea ndo ameshindwa kuchakachua, hapa ni ukweli na uwazi, umebuni nini? Umefanya nini? Umefanikiwa nini? Nini matarajio yako?
 
Hapana Muhongo sio mwanasiasa na ukitaka kujua ukweli tazama tuzo na sifa walizompa ni za kitaalam badala ya kazi yake kama mwanasiasa. na hata mada za watu humu zinamsifia kwa taaluma yake na sio uanasiasa wake. Hili ni tatizo la taifa miaka mingi sana na walimsema sana Nyerere alipokuwa akichagua wanasiasa kusimamia wizara za kitaalam wakataka wataalam wawe wanasiasa na haya ndio uozo wake. Haiwezekani mtu alokosa imani bungeni kama mwanasiasa, apewe sifa za utaalam wake kama tuzo la uanasiasa.

Jipange zaidi kwa hoja, baada ya kupitia Mafanikio na CV ya Prof. Muhongo.
 
Mtu kama January...Div 0 ...O-level and A-level...anashinda..!!? Cooked votes...shame on them..!!!

January ana uwezo hata Nusu ya Mwigulu, au Mnyika au Zitto au Mkosamali au David Kafulila au Halima Mdee au Wenje...inashaagaza sana...HAYA NDIO MAIGIZO...!!!

Hizi ni kura za kupika...hawana maana kabisa...!!!

Ungechaguliwa wewe ndo zingekuwa za kukaanga?
 
Aliyeibuka mshindi ni Prof Sospeter Muhongo ambaye licha ya kudumu kwenye siasa kwa muda mfupi, amefanya mambo makubwa sana. Kubwa zaidi ni kusambaza umeme vijijini na kusimamia nidhamu na kuziba mianya ya rushwa kwenye sekta za nishati na madini. Uwekezaji katika gesi umempaisha Muhongo hadi kwenye level ya juu sana na kuwapiku wenzake.

Kwa upande wa Mwanasiasa Kijana mwenye mafanikio katika jamii, aliyeibuka Mshindi ni Januari Makamba. Huyu naye amemudu vema nafasi yake ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia. Kawapiku wenzake akina Zitto Kabwe, Mnyika na wengineo. Hongera Makamba.

Kuna watu humu wana mtazamo kuwa,kwa jambo lolote kuwa sahihi lazima liandane na fıkra zao ambazo hatuna kipimo cha kuthibitisha usahihi wake.Muhongo anastahli sana tuzo hii.Utafiti ni sayanşi na sayansı haitegemei mihemuko kuthbitisha ukweli wa mambo.Mpaka kesho hakuna kosa mahususi lililoanishwa kufanywa na Muhongo isipokuwa fitina na kijinga ambayo ni sifa za Watz waliowengi.Nchi zote za EAC,nadhani Tz ndo nchi pekee yenye watu wanaojifanya kujua mambo huku ni mizuzu hatari.Mıjitu inalalamika hapa lakn hakuna moja lilojibu swalı hata moja la utafiti.
 
Lowasa aangukia pua Tuzo ya Mwanasiasa Mwenye Mafanikio Katika Jamii, ni Prof Muhongo
Wadau, taarifa za uhakika ni kwamba zile tuzo za mwanasiasa mwenye mafanikio katika Jamii zimetolewa jana ambapo licha ya kutumia zaidi ya milioni 500 ili aibuke msindi, Edward Lowasa ameangukia pua. Waandaaji walichoangalia ni mchango wa kila mwanasiasa katika jamii. Walipofika kwa Lowasa, hawakuona mafanikio makubwa zaidi ya kashfa za ufisadi zinazomuandama licha ya wapambe wake kueneza propaganda kuwa Lowasa kafanya mambo mengi katika jamii.

Aliyeibuka mshindi ni Prof Sospeter Muhongo ambaye licha ya kudumu kwenye siasa kwa muda mfupi, amefanya mambo makubwa sana. Kubwa zaidi ni kusambaza umeme vijijini na kusimamia nidhamu na kuziba mianya ya rushwa kwenye sekta za nishati na madini. Uwekezaji katika gesi umempaisha Muhongo hadi kwenye level ya juu sana na kuwapiku wenzake.

Kwa upande wa Mwanasiasa Kijana mwenye mafanikio katika jamii, aliyeibuka Mshindi ni Januari Makamba. Huyu naye amemudu vema nafasi yake ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia. Kawapiku wenzake akina Zitto Kabwe, Mnyika na wengineo. Hongera Makamba.

Matokeo haya yanatufundisha nini? Ukweli ni kwamba Team Lowasa walihaha sana kuhakikisha mtu wao anaibuka kuwa mshindi. Wametumia kiasi kikubwa cha fedha na walifikia hatua ya kuhonga mpaka wafanya maamuzi. Hata hivyo ukweli umekuja kudhihiri. Uzi nilioweka jana umesaidia sana. Baada ya kuumbua mpango ule, Majaji wa Tanzania Awards International Ltd wakaona kuwa ni bora sasa kubaki kwenye ukweli. Dhamira ikaanza kuwasuta kwani ingekuwa ni aibu kwao kama Lowasa angeibuka kuwa mshindi.

Watanzania tujifunze tunapoelekea uchaguzi mkuu kwamba haki siku zote inatamalaki. Dhuluma tena ya kuhonga fedha haiwezi kuishinda haki. Lowasa inatosha. Watanzania wameanza kuamka. Mchezo wako umeshtukiwa. Sasa ni ukweli mtupu na nakuhakikishia kuwa ikiwa mambo yatatendeka kwa haki, Lowasa hufai hata kuwa mbunge.

Kwa kumalizia, Mgeni Rasmi kwenye hafla hiyo alipangwa kuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Hata hivyo hakuweza kuhudhuria kutokana na kukabiliwa na majukumu mengine. Badala yake alimtuma Mkuu wa Wilaya ya Ilala kumwakilisha.
 
Lowassa haitaji award yakupikwa na tote uliyoyasema ni umbeya zinazoongozwa na chuki binafsi na hofu ya njinsi mlivyoibaka Uchumi wa nchi ndani ya miaka Saba iliyopita.

Hofu kubwa mliyonayo ni nani atatuwalinda wakati tumeshaharibu?
 
ha ha haaa ndo maana mgeni rasmi alikua Mkuu wa wilaya hata Mkuu wa mkoa hakuna.... hao wanajipendekeza tu hata JK alilijua. na hawa wamepoteza tayar mvuto wa tuzo husika kwan tuzo huaga na nguvu pale haki inapotendeka na jamii pia ikaona utendekaj wa haki kwa kumpa tuzo anayestahil
 
kamuulize mkurugenzi wa push mobile nani aliyeongoza then jiulize mbona mambo yalikua shagala bagala mule ukumbini na hakuna hata kiongozi wa serikali aliyekuja zaidi ya dc aliyekuja underpresure eti mhongo kwi kwi kwi kwi kwi kwi yani bonge la komedi sijui mmempa kumdhihaki mtu hayupo hata kwenye ramani eti kashinda da nimecheka sana nchi hii haiishi vituko
 
Kama Muhongo ameshinda Yes ila nidhahili kuwa mleta uzi umetumwa kwa bahati mbaya Mleta uzi hujafuata maelekezo ya aliekutuma.
 
Hakuna kitu hapo hao push mobile ------- tuu wala hawajui siasa za nchi hii et i january na muhongo nasikia kutapika muongo ambaye bungeni alijidai hâta financial Act ya 2012 haijui
 
Mtu akipewa zawadi na kampuni inayohusika na kufanya biashara basi kuna uwezekano mtu huyo ana uhusiano na kampuni hiyo au amewahi kutoa maamuzi yaliyoifaidisha au ana urafiki wa kimkakati na wahusika.
 
Aliyeibuka mshindi ni Prof Sospeter Muhongo ambaye licha ya kudumu kwenye siasa kwa muda mfupi, amefanya mambo makubwa sana. Kubwa zaidi ni kusambaza umeme vijijini na kusimamia nidhamu na kuziba mianya ya rushwa kwenye sekta za nishati na madini. Uwekezaji katika gesi umempaisha Muhongo hadi kwenye level ya juu sana na kuwapiku wenzake.

Kwa upande wa Mwanasiasa Kijana mwenye mafanikio katika jamii, aliyeibuka Mshindi ni Januari Makamba. Huyu naye amemudu vema nafasi yake ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia. Kawapiku wenzake akina Zitto Kabwe, Mnyika na wengineo. Hongera Makamba.

Ndio tatizo ukiwa in love na ccm,hata kinyesi unaona keki.kazana ndugu
 
kamuulize mkurugenzi wa push mobile nani aliyeongoza then jiulize mbona mambo yalikua shagala bagala mule ukumbini na hakuna hata kiongozi wa serikali aliyekuja zaidi ya dc aliyekuja underpresure eti mhongo kwi kwi kwi kwi kwi kwi yani bonge la komedi sijui mmempa kumdhihaki mtu hayupo hata kwenye ramani eti kashinda da nimecheka sana nchi hii haiishi vituko

Kama wamenyeshewa na mvua.....ni mwendo wa mwakilishi....mwakilshi, mwakilishi wa mwakilishi......Tukio lilivyokuwa hovyo haliendani na Jina la hizo tuzo.....bado sana! Mambo ya kukurupuka hayo....nilitegemea angalao ingerushwa LIVE na kituo chochote cha Television...na mambo mengine mengi, ila zero kabisa. Anyway, sioni hata haja ya kuhoji vigezo walivyotumia kutoa hizo tuzo! MTANGAZAJI: DAR ES SALAAM:HATIMAYE TUZO YA JAMII 2015 YATOA TUZO SABA ZA JAMII
 
Back
Top Bottom