Push Mobile wampa Tuzo ya Mwanasiasa Bora Prof. Sospeter Muhongo

Push Mobile wampa Tuzo ya Mwanasiasa Bora Prof. Sospeter Muhongo

Haya ndio madhara ya kuamini unajua Sana kumbe mweupe!!

Hao wabunge wanaowakilisha makundi maalumu Kama walemavu...vijana...wanawake.....wazee....wasomi n.k n.k wanapitia mchakato gani kupatikana??

Mbona wengi hupendekezwa na vyama vya siasa kwa tume kulingana na idadi maalumu na hao wawakilishi huchujwa kwa kura za maoni ndani ya vyama vyao??

Akina Regia Mtema waliingia bungeni kupitia wapi??

Mbona wabunge wanaoteuliwa na Rais wote hutokana na vyama vya siasa??

Mkuu Kama hujui vitu heri unyamaze tuu

unaweza orodhesha wabunge wanaowakilisha makundi maalumu (viti maalum) ambao hawakupendekezwa na vyama vyao kwa tume??



Waziri ni nafasi ya kisiasa au kitaalam??
Ubishani wa hasira mkuu hatutafika mahala, toa hoja yako tu inatosha ukali haujengi hoja isipokuwa kuishusha nguvu. Swala la kujaza wanawake bungeni ili kuweka uuwiano halitoi tafsiri halisi ya wanasiasa maana mnashirikisha watu katika utunzi wa sheria wakati hawapo kwa lengo hilo na ndio maana imekuwa kimbilio la kila mtu uanasiasa.

Halafu ni aibu kubwa kumshirikisha marehemu Regia Mtema na hali yake kwa sababu Regia angekuwa bungeni mwakilishi wa Chadema hata kama asingekuwa kilema. Huyu alikuwa jembe la Chadema kama yeye na sio kwa sababu alikuwa kilema. Regia hakupelekwa na Chadema bungeni kuwakilisha vilema.

Swala la Waziri, kulingana na katiba yetu Waziri ni nafasi ya kisiasa lakini huoni ajabu yetu kuwa wapo watu wamechaguliwa nafasi hizo hata kama sio wanasiasa? Kuna swala la Ubalozi ambalo ni la kitaalam lakini wapo walochaguliwa balozi lakini hawana taaluma hiyo. Kuna mengi ambayo utayakuta Tanzania tu na sio jambo la ajabu kabisa...Kama hivyo Muhongo kupewa tuzo.

Kuwa na kadi nchini ni swala la kutafuta kura tu watu hawaelewi maana ya uanachama wala vyama haviwatumii watu kama wanasiasa ndio maana mnafukuzana uanachama.
 
Ubishani wa hasira mkuu hatutafika mahala, toa hoja yako tu inatosha ukali haujengi hoja isipokuwa kuishusha nguvu. Swala la kujaza wanawake bungeni ili kuweka uuwiano halitoi tafsiri halisi ya wanasiasa maana mnashirikisha watu katika utunzi wa sheria wakati hawapo kwa lengo hilo na ndio maana imekuwa kimbilio la kila mtu.

halafu ni aibu kubwa kumshirikisha Regia Mtema na hali yake kwa sababu angeweza kuwa bungeni hata kama asingekuwa kilema. Huyu alikuwa jembe na Chadema kama yeye na sio kwa sababu alikuwa kilema. Regia hakupelekwa na Chadema bungeni kuwakilisha vilema.
umesema muhongo si mwanasiasa, nikakuuliza nafasi za wabunge ni za mfumo gani ukanijia na ngonjera eti kuna wabunge hawatokani na vyama ukataja mfano walemavu!" Nikakuuliza wanaingiaje bungeni umeshindwa leta jibu!!!

Nakuuliza hivi; mwanasiasa maana yake nini??


Swala la Waziri, kulingana na katiba yetu Waziri ni nafasi ya kisiasa lakini huoni ajabu yetu kuwa wapo watu wamechaguliwa nafasi hizo hata kama sio wanasiasa?
ukiwa waziri automatically unakua mwanasiasa!!! Coz uwaziri ni political position!!!

Unaweza nitajia mawaziri walioteuliwa ambao hawakuwa wanachama Wa vyama vya siasa?
Kuna swala la Ubalozi ambalo ni la kitaalam lakini wapo walochaguliwa hawana utaalam huo.
Wapi duniani ubalozi umefanywa nafasi ya kitaalam?? Ktk ofisi za ubalozi ndio kuna watumishi wataalam lakini si lazima balozi awe mtaalam!!!

Kuwa na kadi nchini ni swala la kutafuta kura tu watu hawaelewi maana ya uanachama wala vyama haviwatumii watu kama wanasiasa
kwa Mara nyingine mwanasiasa maana yake nini??

ndio maana mnafukuzana uanachama


Ha ha ha ha ha ningeshangaa Sana usingechomekea hiki!!!!

Pole mkuu ndio maisha na sio mbaya coz umepata sehemu ambayo itakupa fursa ya Ku show your capabilities....
 
umesema muhongo si mwanasiasa, nikakuuliza nafasi za wabunge ni za mfumo gani ukanijia na ngonjera eti kuna wabunge hawatokani na vyama ukataja mfano walemavu!" Nikakuuliza wanaingiaje bungeni umeshindwa leta jibu!!!

Nakuuliza hivi; mwanasiasa maana yake nini??


ukiwa waziri automatically unakua mwanasiasa!!! Coz uwaziri ni political position!!!

Unaweza nitajia mawaziri walioteuliwa ambao hawakuwa wanachama Wa vyama vya siasa?
Wapi duniani ubalozi umefanywa nafasi ya kitaalam?? Ktk ofisi za ubalozi ndio kuna watumishi wataalam lakini si lazima balozi awe mtaalam!!!

kwa Mara nyingine mwanasiasa maana yake nini??




Ha ha ha ha ha ningeshangaa Sana usingechomekea hiki!!!!

Pole mkuu ndio maisha na sio mbaya coz umepata sehemu ambayo itakupa fursa ya Ku show your capabilities....
Hapana Muhongo sio mwanasiasa na ukitaka kujua ukweli tazama tuzo na sifa walizompa ni za kitaalam badala ya kazi yake kama mwanasiasa. na hata mada za watu humu zinamsifia kwa taaluma yake na sio uanasiasa wake. Hili ni tatizo la taifa miaka mingi sana na walimsema sana Nyerere alipokuwa akichagua wanasiasa kusimamia wizara za kitaalam wakataka wataalam wawe wanasiasa na haya ndio uozo wake. Haiwezekani mtu alokosa imani bungeni kama mwanasiasa, apewe sifa za utaalam wake kama tuzo la uanasiasa.
 
ni ukweli usio pingika kuwa muhongo(muongo) anautaalamu wake ktk mambo ya ges,lakn ktk ili wamewaadaa watanzania
ni ukwel usiopingika kuwa tanzania ni GETTO au ni kwakuwa watz wengi hawana ufahamu juu ya siasa(mwanasiasa)?
muhongo hakuwai panda jukwaan kunadi sela kama wafanyavyo wengne,hakuwai jujihusisha na makongamano na mikutano ya kisiasa kama tuonavyo kwa wanasisa,lakn leo kawa mwanasiasa bora kwel"TANZANIA ni nchi yenye udongo wa dhambi wanalisaka taji la ushindi"
Labda kawaulize Push mobile tafiti yao iliegemea vigezo vipi ili uridhike! Otherwise hatuwezi ku critisize tafiti ya mtu bila vigezo vyovyote. Ndio maana tunasema' no research no right to speak! Wajameeeni tubadilike! Naomba nianzishe darasa linalohusu utaifa humu! Nawaambia kama hatutaweza acha kwenda na mikumbo ya kisiasa hatutaendelea kamwe!
 
Prof Muongo ni mwanachama wa chama gani?
 
Prof ni jembe yule anastahili sana hiyo tuzo na zingine nyingi. Wengi tulikumbwa na siasa za escrow lakini ukweli jamaa anaweza na bado taifa linamuhitaji sana
 
tazama signature yako nadhani inayo majibu yote...
Kila kitu nifanyacho kipo straight kufukuza wanafiki na wapuuzi wa style yako.Kazi ya kumtoa muhongo ktk kundi la wezi wengine wa ccm naona itakuwa very daunting sana kwako.Umeruda sasa baada ya kwenda lumumba kuwauliza whats up?
 
Kila kitu nifanyacho kipo straight kufukuza wanafiki na wapuuzi wa style yako.Kazi ya kumtoa muhongo ktk kundi la wezi wengine wa ccm naona itakuwa very daunting sana kwako.Umeruda sasa baada ya kwenda lumumba kuwauliza whats up?
Duh nimeshakuwa mnafiki? wee nadhani una tatizo kubwa unamhitaji Yesu!
 
Aliyeibuka mshindi ni Prof Sospeter Muhongo ambaye licha ya kudumu kwenye siasa kwa muda mfupi, amefanya mambo makubwa sana. Kubwa zaidi ni kusambaza umeme vijijini na kusimamia nidhamu na kuziba mianya ya rushwa kwenye sekta za nishati na madini. Uwekezaji katika gesi umempaisha Muhongo hadi kwenye level ya juu sana na kuwapiku wenzake.


Kwa upande wa Mwanasiasa Kijana mwenye mafanikio katika jamii, aliyeibuka Mshindi ni Januari Makamba. Huyu naye amemudu vema nafasi yake ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia. Kawapiku wenzake akina Zitto Kabwe, Mnyika na wengineo. Hongera Makamba.

Huenda wapiga kura walikuwa na akili za kiti moto kwa wakati huo hadi Mungo na January kuwapitisha, Huyu mb8 naye kampiku Yuda na Mtoto wa Ubungo!!
 
Sifanyi mzaha - You need Jesus for real...
HIvi unamjua Yesu?Who is Jesus by the way?Pengine tuanzie hapo..kwani wewe una record kubwa sana ya kusema vitu usivyojijua hata kidogo huku ukiwa na confidence.
 
HIvi unamjua Yesu?Who is Jesus by the way?Pengine tuanzie hapo..kwani wewe una record kubwa sana ya kusema vitu usivyojijua hata kidogo huku ukiwa na confidence.
Mi siwaelewi mbona mmetoka nje ya maada wajameni
 
If you want to have an argument about your faith please this is not the right place
 
Mtu kama January...Div 0 ...O-level and A-level...anashinda..!!? Cooked votes...shame on them..!!!

January ana uwezo hata Nusu ya Mwigulu, au Mnyika au Zitto au Mkosamali au David Kafulila au Halima Mdee au Wenje...inashaagaza sana...HAYA NDIO MAIGIZO...!!!

Hizi ni kura za kupika...hawana maana kabisa...!!!
 
Back
Top Bottom