Usanii wa mb8 na jizi la escrow
Ni Mwanasiasa bora maana amekuja na kitu tofauti na mazoea ya wanasiasa wengi, kulisuka upya shirika la Umeme, kutokomeza rushwa na uzembe kwenye Shirika la Umeme, kuunganishia wananchi umeme kwa bei nafuu, kuwasambazia umeme wananchi wa vijijini kwa kasi ambayo haijawi kutokea, kuwasaidia wachimbaji wadogo wa Madini kupitia mikopo na ruzuku, kusimamia vyema ujenzi wa bomba la gesi. Kwa nchi ilipofika sasa tunahitaji wachapakazi kama Muhongo na sio waongeaji bila vitendo, ili tusonge mbele tukiachana na siasa za maneno bila ubunifu na utendaji bora.Tanzania kila kitu ni usanii, Muhongo amekuwa mwanasiasa bora?
Inawezekana mimi ndiye sijui maana ya siasa bora au inawezekana pia kuwa hakuna 'common definition' ya neno ' siasa bora' kiasi kwamba kila mtu ana judge kulingana na vigezo vyake.
Tatizo la watanzania wenye fikra finyu wamezoea kuendeshwa na magazeti ya mengi na wanasiasa mafisadi lakini muhongo ni kiongozi bora kabisa.Ni Mwanasiasa bora maana amekuja na kitu tofauti na mazoea ya wanasiasa wengi, kulisuka upya shirika la Umeme, kutokomeza rushwa na uzembe kwenye Shirika la Umeme, kuunganishia wananchi umeme kwa bei nafuu, kuwasambazia umeme wananchi wa vijijini kwa kasi ambauo haijawi kutokea, kuwasaidia wachimbaji wadogo waadini kupitia mikopo na ruzuku, kusimamia vyema ujenzi wa bomba la gesi. Kwa nchi ilipofika sasa tunahitaji wachapa kazi kama Muhongo, ili tusonge mbele, tukiachana na siasa maneno bila utendaji.
Ndio maajabu ya Firaun haya maana Muhongo hata bungeni kateuliwa na rais hajawahi katika maisha yake kugombea nafasi yoyote ya Kisiasa nchini. Hana uzoefu wa kisiasa ktk uongozi wa chama chochote nchini, hajawahi kusimama jukwaa lolote la kisiasa, sasa hii kupewa tuzo la mwanasiasa bora ni mchezo gani huu ama pengine jamaa ni mwekezaji kwa hisa au kamwaga mifedha hapo Push Mobile....
Taifa la wajinga kwa idhini ya majuha,
Muhongo tangu lini amekuwa mwanasiasa? Alishawahi kushiriki siasa wapi?
Tangu azaliwe hajawahi kuwa mwanasiasa mpaka juzi alipoteuliwa kuwa mbunge, hivi tayari anaitwa mwanasiasa mpaka kupewa uanasiasa bora?
Hizi tafiti za kizandi vyombo vya dola vishughulike nazo kuliko kupoteza mda na watu wema akina Gwajima.

Unayo kazi sana...una mpango gani kuhusu masha,Pinda, Bilal na wengine ambao wanakazribi kabila yako na imani yako..au umechoka.Ndio maajabu ya Firaun haya maana Muhongo hata bungeni kateuliwa na rais hajawahi katika maisha yake kugombea nafasi yoyote ya Kisiasa nchini. Hana uzoefu wa kisiasa ktk uongozi wa chama chochote nchini, hajawahi kusimama jukwaa lolote la kisiasa, sasa hii kupewa tuzo la mwanasiasa bora ni mchezo gani huu ama pengine jamaa ni mwekezaji kwa hisa au kamwaga mifedha hapo Push Mobile....
Una upungufu wa uwezo wa kujenga hojaTaasisi ya ccm at work!
tunakushukuru sana mwalimu kwa taarifa hii nyeti .
Wewe usiandike kwa kufuata mkumbo, kama huna elimu kichwani kaa kimya! Unajua maana ya mwanasiasa! ,? Unajua siasa ni nini! ? Unajua vigezo gani walitumia ili kufanya tafiti yao? ? No research no right to speak! Weka na wewe vigezo vyako andaa tafiti then toa matokeo! Watu lazima tubadilike, hii ni dunia nyingine, karne nyingine hamjitambui tu! !Taifa la wajinga kwa idhini ya majuha,
Muhongo tangu lini amekuwa mwanasiasa? Alishawahi kushiriki siasa wapi?
Tangu azaliwe hajawahi kuwa mwanasiasa mpaka juzi alipoteuliwa kuwa mbunge, hivi tayari anaitwa mwanasiasa mpaka kupewa uanasiasa bora?
Hizi tafiti za kizandi vyombo vya dola vishughulike nazo kuliko kupoteza mda na watu wema akina Gwajima.
Huyo Mhongo hajawai hata kuomba kura za Ubalozi wa mtaa leo tunaambiwa ni mwanasiasa bora.