PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

Ni dhambi kubwa sana na huo ndo mwanzo wa ushoga watu wa pwan hasa waisilam wanapenda sana ushoga
Tafadhali hebu futa hilo neno Hasa (waislam) ni kudhalilisha imani yetu.
Jiheshimu uheshimiwe please
 
Lakini bidada umekosa hata gegedo la vijana wa bodaboda ? Real? Basi hata hao form four na form six wapo kibao mtaani wanasubiri matokeo, ni wewe tu kujibebisha huko facebook
 
Lakini bidada umekosa hata gegedo la vijana wa bodaboda ? Real? Basi hata hao form four na form six wapo kibao mtaani wanasubiri matokeo, ni wewe tu kujibebisha huko facebook
Niwie radhii babuuuu weeehhh...kama huna jibu kaa kimya
 
Dhambi ni nini? where do we refer kujua hii ni dhambi au la? je kabla ya kuja hawa wageni walioleta dini, babu zetu waliwezaji kutofautisha haki na batili au jambo fulani ni dhambi au si dhambi.
 
Tabu zote hizo za nini watu si Muolewe au kuoa tu?

*Haya Hapa, Madhara ya Kujichua/Punyeto Kwa Mwanamke*



Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.

Haya ni baadhi ya madhara awezayo pata mwanamke anayejichua;

1. Inaharibu kizazi

2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara

3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo

4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu

5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto

6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.

7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.

8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu zaidi.

9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara

10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.

Ikiwa wewe ni mwanadada na ni muhanga/muathirika wa punyeto pls acha ni kitu hatari
 
MADHARA YA KUPIGA PUNYETO
Tunahitaji mahusiano ili tuongezeke na hili haliwezi kufanikiwa bila kushiriki tendo la ndoa kati ya watu wa jinsia mbili tofauti.
Hisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubarehe. Hapa ndiyo wakati mgumu na mbaya kwa kijana hasa kwa asiyejitambua na asiye na usimamizi wa karibu wa wazazi au walezi.
Ni wakati huu ndipo mbegu za kiume (manii) huanza kuzalishwa katika mwili wa kijana wa kiume na kupelekea kuanza kuona hitaji la kuwa na mchumba au hata mke.
Kutokana na maisha na tamaduni zetu wa afrika zilivyo hapo ndipo kijana huona hana namna zaidi ya kujichua pale anapokuwa hana mtu wa kujamiiana naye ili kupunguza hamu zake. Kitendo hiki kimeathiri sehemu kubwa ya jamii.
Kupiga punyeto au kujichua hujulikana pia kwa Kiingereza kama "Masturbation”, ni kitendo ambacho huleta matatizo makubwa ya muda mrefu ambayo muathirika huchelewa sana kuyatambua.
Tuangalie sasa madhara 21 yafuatayo ambayo ni matokeo ya kujichua kwa mwanaume:
1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako.
2. Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili
3. Ni moja ya kisababishi kikuu cha uhanithi (uume kushindwa kusimama)
4. Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara
5. Huleta uchomvu sugu na kwa haraka zaidi, mara nyingi utahitaji kulala usingizi hata nyakati za mchana
6. Husababisha mfadhaiko (stress) kwenye akili na kwenye yako pia
7. Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua
8. Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo. Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.
9. Punyeto inakupelekea kufanya makutano haramu kwakuwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na roho
10. Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.
11. Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your sperm count) kama matokeo yake mwanaume hataweza kumpa mwanamke ujauzito. Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha ugumba kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.
12. Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako. Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine. Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo kama hutaiacha tabia hii haraka.
13. Punyeto inapoteza muda wako na kukufanya mtu usiye na faida
14. Raha ya kujichua haibaki akilini kwa kipindi kirefu kama vile ukishiriki tendo la ndoa kwa na mtu halisi
15. Punyeto husababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, ni vigumu kuwa na akili ya utulivu na kukumbuka vitu kama tayari umeshakuwa teja wa punyeto.
16. Kujichua siyo soluhisho la mwisho la hitaji lako, yaani hutaona kuridhika katika kitendo hicho, kadri unavyofanya ndivyo unavyoendelea kuhitaji zaidi na zaidi mpaka mwisho unakuwa hanithi kabisa bila kujitambua
17. Punyeto haina faida yoyote kwenye maisha yako ya kimapenzi, huhitaji kwa ajili ya chochote
18. Punyeto inaongeza aibu, inapunguza uwezo wa kujiamini. Wengi waliozoea kujichua hata kutongoza kwao huwa ni kazi kubwa mno kiasi wengine huona bora kuendelea kujichua kuliko kutongoza mwanamke.
19. Utapoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kirahisi zaidi kama utaendelea kujichua
20. Punyeto huchochea mapenzi ya jinsia moja hasa mashuleni, vyuoni na kwenye mahoteli na mwishowe hupelekea kusambaa kwa magonjwa mengi ya zinaa.
21. Punyeto inamaliza nguvu za kiume, kama unapenda kujichua basi sahau kuwa na nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume ni janga la kitaifa miaka ya sasa lakini chanzo kikuu ni vijana wengi wa kiume kuanza kujichua tangu wakiwa mashuleni.
Je ufanye nini ili kuacha punyeto au usishiriki mchezo huu mchafu?
Kama muda na umri haukuruhusu kuwa na mke au mchumba, basi fanya yafuatayo:
•Kama bado unasoma kuwa bize na masomo na ujiepushe na makundi hatarishi.
•Jishughulishe na mazoezi ya viungo kila siku. Hii itauchosha mwili wako na hivyo hutapata muda tena wa kujichosha zaidi kwa kujichua kwani tayari utakuwa na uwezo wa kupata usingizi mtulivu sababu ya mazoezi
•Usikae peke yako muda mrefu bila kuwa bize na shughuli yoyote. Kichwa kitupu ni nyumba ya maasi mengi.
•Epuka vyakula vyenye mafuta mengi
•Tumia muda ambao huna kazi kwa kulala na hivyo utakuwa unaipumzisha pia akili yako
•Usikae muda mrefu maeneo kama ya bafuni au chooni
•Usipende kujishikashika na mkono wako sehemu zako za siri wakati wowote.
•Tafuta watu walioathirika na punyeto wakusimulie matatizo wayapatayo kama matokeo ya kujichua. Hii inaweza kukusaidia kuongeza juhudi kuachana na hiyo tabia.
•Futa picha zozote chafu iwe kwenye simu au computer yako na usitembelee blog au tovuti yoyote yenye picha hizo, kama upo kwenye magroup ya namna hiyo kwenye mitandao ya kijamii basi jiondowe haraka iwezekanavyo.
•Kama tayari umeshaoa basi ni dhambi kubwa sana kuendelea kupiga punyeto, utaishiwa nguvu na unaweza kukosa kumpa ujauzito mkeo siku za usoni.
Tambua hakuna dawa ya kuacha punyeto, usije ukaibiwa pesa zako bure, dawa ni kuoa tu.
Rejea:
• Bosland MC. The etiopathogenesis of prostatic cancer with special reference to environmental factors. Advances in Cancer Research 1988;51:1–106.
• Brody&Costa, 2009; Das, Parish,&Laumann, 2009; Gerressu, Mercer, Graham, Wellings,&Johnson, 2008; Lau, Wang, Cheng, & Yang, 2005; Nutter & Condron, 1985. Masturbation frequency is so often associated with impaired sexual function in men.
• Masturbation, oral sex, and anal sex predictors of less satisfaction in relationships: Brody S, Costa RM. Satisfaction (sexual, life, relationship, and mental health) is associated directly with penile-vaginal intercourse but inversely with other sexual behavior frequencies. The journal of sexual medicine 2009;6:1947–54.
• Das A. Less happiness: Masturbation in the United States. Journal of Sex & Marital Therapy 2007;33:301–17.
• Sofikitis NV, Miyagawa I. Endocrinological, biophysical, and biochemical parameters of semen collected via masturbation versus sexual intercourse. Journal of Andrology 1993;14:366–73.
• Corona G, Ricca V, Boddi V, Bandini E, Lotti F, Fisher AD, Sforza A, Forti G, Mannucci E, Maggi M. Autoeroticism, mental health, and organic disturbances in patients with erectile dysfunction. Journal of Sexual Medicine. 2010;7:182–91.
 
. *DHAMBI YA KUANGALIA PICHA ZA NGONO*


Picha za uchi na za ngono hazikutengenezwa kwa lengo la kukupatia burudani wala kukupatia furaha; zilikusudiwa kwa lengo la kuwaangamiza kabisa watengenezaji na watazamaji wake. Humjaza mtu husika hashiki na tamaa kali ya kimapezi na humfanya aendelee kutaka kuangalia zaidi na zaidi. Matokeo yake ni kwamba huibuka ndani yake vitendo viovu sana na ukatili wa kimapenzi, huelekea katika njia ya uangamivu wa hakika kwa sababu ya kushindwa huku kujitawala.

Watu wasio na akili hupenda kutazama picha na video hizi bila kujua kuwa wanaalika mapepo ya tamaa ya mwili ndani yao wenyewe. Ni njia kuu kabisa ya kualika mapepo katika maisha ya mtu. Wala mapepo hawahitaji kuwa na funguo za ziada kuingia ndani yako. Wanachohitaji tu kufanya ni kukushawishi uangalie picha zao chafu hata kama ni kwa kiasi kidogo tu, na hapo ndipo tayari umekuwa umewaalika katika maisha yako! Utaendelea zaidi na zaidi, na kwa wengi huwa jambo la kawaida; japo utatamani kujinasua, lakini hutakuwa na nguvu hizo kwa sababu ya kushikiliwa na nguvu za giza! Unapokaa mwenyewe kuangalia picha hizi, hauko peke yako!

Huwa umezungukwa na malaika waovu wakitazama udhaifu wako ili waendelee kukushambulia na kukushinikiza zaidi na hatimaye kukuangamiza kabisa. Wanapogundua udhaifu wako katika eneo ili, hapo ndipo huendelea kukushambulia na kufanya iwe ngumu sana kwako kushinda. Ndiyo maana watu ambao wanajihusisha katika vitendo hivi, hata ingawa hufanya maamuzi ya mara kwa mara kuacha na kujiepusha nayo, hujikuta tu wamerudia dhambi ileile tena na tena!

Lakini habari njema ni kwamba, bado unaweza kushinda na kuutawala mwili wako vyema kwa uwezo wa Mungu! Anasema, “Mtiini Mungu; mpingeni Shetani, naye atawakimbia.” Kwa njia ya kumtegemea Yeye na kuwa na nidhamu ya maisha yako, kwa njia ya kufunga na kuomba, unaweza kuwa mshindi kabisa. Vinginevyo, mapepo hayo ya kishetani yatakuteka kabisa na kuwa kikwazo katika njia yako ili kukunasa, na kwa kweli utakuwa ukipuuzia mambo ya msingi ya kimaisha, na kila wakati utapenda kupoteza muda na rafiki wasiojali ili kuendekeza tamaa za mwili. Ndio maana maisha ya watu wengi, hasa vijana, pamoja na kuwa wana uwezo mkubwa sana wa kiakili, wana fedha, lakini maisha yao hayana maana—wanaishi bila kuridhika na wanatumikia mwili wao kwa ubinafsi, hadi wanapofikwa na mauti ya ghafla bila wao kujua, na huo ndio mwisho wa maisha yao! Wamepoteza nguvu, akili na ubora na manufaa yao wakati ambapo wangeweza kuwa watu wanaoheshimika na wenye kuleta faida na maendeleo bora katika jamii na taifa.

Tunapaswa kutambua kuwa waigizaji na wale wanaojihusisha kuangalia picha na video za ngono hutumiwa na mashetani ili kujihusisha katika uovu na ufuska mkubwa sana uliopita kiasi huku wakidhalilisha na kufedhehesha miili yao. Wanaume waliooa ambao wametekwa na uraibu wa ponografia hujikuta kwamba ni vigumu sana kufanya mapenzi bora na wake zao, na kuridhika; vijana ambao hawajao pia hujihusisha katika vitendo vingine viovu zaidi kama vile kupiga punyeto, nk.

Ni dhahiri kwamba madhara ya picha za ngono ni makubwa sana. Channel za televisheni, mitandao, magazeti na kadhalika, vinavyohusika na vitu hivi vina lengo moja tu la kuharibu kabisa maisha yako, na hatimaye kukuangamiza bila wewe kufahamu. Sehemu ya kubwa ya uovu duniani hutokana na kujihusisha na vitendo hivi. Ni hatari vilevile kuangalia picha na mikanda au video za ngono hata kama umeoa au hata kama uko na mkeo. Mungu kamwe hawezi kuruhusu machukizo hayo ya kishetani kwa sababu anajua huangamiza moja kwa moja uhusiano bora wa kimapenzi kati yenu, huvuruga akili na kuharibu na kuangamiza maisha yako bila wewe kujua. Hukufanya uwaone jinsi ya kike kama vyombo vya ngono! Na mbaya zaidi, ni dhambi kuu dhidi Yake.

Kwa hiyo wapendwa hebu fanya uamuzi wa dhati tangu sana kwamba unahitaji kukombolewa kutoka katika picha na video za ngono, wakati huu ambapo bado ungali na nafasi ya kutubu na kufanya mabadiliko, kabla maisha yako hayajaangamizwa. Baadhi ya watu huthubutu kuingiza picha chafu hata kwenye mitandao ya kijamii. Usifungue video hizi! Kwenye mtandao wa WhatsApp zima settings za autodownload ili picha au video zikiingia zisiweze kupakuliwa moja kwa moja. Mtahadharishe mhusika juu ya madhara yake. Wabloku watu wa namna hiyo kwa sababu hawakutakii mema na wanakupeleka jehanamu! Waonye vijana na wapendwa wanaoelekea katika hatari hii bila kujua. Jihusishe katika mambo mema yanayojenga akili na kuleta tija katika maisha yako.

Mungu anatuambia leo: “5 Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, *uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu; 6 kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya Mungu.* 7 Katika hayo ninyi nanyi mlitembea zamani, mlipoishi katika hayo. 8 Lakini sasa *yawekeni mbali nanyi haya yote,* hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu. 9 Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake; 10 mkivaa utu mpya, unaofanywa upya upate ufahamu sawasawa na mfano Wake Yeye aliyeuumba.” Wakolosai 3:5-10.

“Wala msiendelee kuvitoa viungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi; bali jitoeni wenyewe kwa Mungu kama walio hai baada ya kufa, na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki.” Warumi 6:13.

*TAFADHALI SHARE UJUMBE HUU KWA WATU WENGI NA MARA NYINGI KADIRI IWEZEKANAVYO ILI KUOKOA MAISHA NA ROHO ZA VIJANA WENZETU WAPENDWA!!!*
 
Hakuna punyeto yoyote duniani inayopigwa bila feeling za kuwa upo na mwanaume au mwanamke
 
sasa si uamue kugawa hovyo hovyo,kuliko kujifanya hivyo,aliye mbele twende mladi avae mpira
 
Mtoa mada kwa msaada zaidi tafadhali pitia hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

TAHADHARI VIDEO ZA NGONO.......

Elewa kwamba XVIDEOS ni video za ngono ambazo pia hujulikana kama Mikanda ya X, na XPICTURES ni picha za uchi zilizopigwa na watu mbalimbali kote ulimwenguni ambapo nyingi kat yazo hupigwa na wanawake. Sasa leo nataka kukujuza jambo hili, ya kuwa Amin usiamin ndugu yangu ukwel ni kwamba si video zote za ngono huchezwa na watu wa kawaida, zipo ambazo huchezwa na evil spirits kama vile ‘majini’ ambayo huchukua umbo la mtu na kuonekana kama mtu wa kawaida. Nadhan wote tunajua ‘majini’ ni roho na roho hizo zinauwezo wa kujivika maumbo ama miili ya vitu mbalimbali ikiwemo miili ya wanyama au hata miili ya wanadamu, jambo ambalo huweza kufanywa pia na wachawi wa viwango vya juu. Kumbe bas unaweza kutazama video hizo au picha hizo za uchi ukizan unawatazama wanadamu wa kawaida kumbe ukawa unatazamana live na majini yaliyochukua shape za watu. Na kwa kutazama huko ndipo unakuwa umefungua mlango kwa roho hizo kukuingia ww na kukutumikisha kadri zipendavyo. Na roho hizo za kishetan zinapomwingia mtu humfanya kuwa mtumwa wa video hizo. Watu wengi wamekuwa wakitazama video hizo kwa kisingizio cha kujifunza style mbalimbali za ufanywaji wa tendo hilo! Je ni kweli nuru yaweza kujifunza kitu chema katkat ya giza? Au ni mkristo yupi kati yetu anayeweza kutuambia ni wapi Adamu na Eva walipojifunza ama kutazama ufanywaji wa tendo hilo hata wakawazaa Kain na Abeli? Ndio maana leo hii wapo wengine wenye ndoa zao lkn hawapati tena msisimko wa mwili kwa kuwatazama wake zao had pale watakapotizama video hizo au picha hizo, je huu sio utumwa? Lkn pia sote tunajua ya kuwa ukimtizama tu mwanamke kwa kumtaman tayar unakuwa umezini nae rohoni mwako, je waweza kwel kuikwepa dhambi hii pale unapotazama picha na video hizo chafu? Wengine wameishia kujifunza ufanywaji wa tendo hilo kinyume cha maumbile yan anal sex kisha kuwalazimisha wenzi wao kufanya kwa kupitia njia hiyo, je Mungu hakukataza mambo hayo? Wapo pia wafanyao homosexual (yan watu wa jinsia moja) au group sex (yan mwanaume m1 akiwa na wanawake zaid ya m1 au mwanamke m1 akiwa na wanaume zaid ya m1) nk. Je twaweza kujifunza kitu gan chema toka kwa watu hao wafanyao mambo hayo ya sodoma na gomora? Au uliwahi kuona video hata 1 kat ya hizo wachezaji wake wanaanza kwa sala ya kumwomba Mungu na kisha wakahitimisha japo hata kwa maombi mafup? Ajabu utumwa huo leo umewafanya watu wengine kuficha video hizo na picha hizo kwenye laptop zao, desktop, ipad au hata kwenye simu zao na kulock mafile hayo kwa kuyawekea password au majina ya kujua wao , lkn je unapofanya hvyo unakuwa unamficha nan hasa? Je unazan wakat unahide mafolder hayo Mungu huwa hakuon? Ni kwel unaweza kuwaficha wanadamu lkn je waweza pia kumficha hata Mungu wako? Neno la Mungu ktk Warumi 1:28-32 linasema watu wanayajua mambo yote maovu yawapasayo hukumu lkn pa1 na kuyajua kwao bado wanayafanya mambo hayo na wale wasiyoyafanya wanakubaliana na wale wayafanyayo. Mf pengine kwel ww hufanyi anal sex,group sex au hufanyi kabisa zinaa lkn unakubaliana na wafanyao zinaa kwa kuwatazama au hata kwa kuwahifadhi kwenye PC au simu yako, je hujui kwa kufanya Wewe mtoa mada k unakuwa huna tofauti yeyote na wao? Pole sana ndugu yangu kama na ww u miongon mwa watu wengi wanaotumikishwa na roho hizo chafu. Chakufanya: We fanya toba ya kwel na umwombe Mungu msamaha huku ukikusudia kuacha, kisha futa na udelete kabisa video ama picha hizo mahali popote ulipozihifadhi then mwombe Mungu akusaidie kuikimbia zinaa and lastly tafuta watu wa maombezi wakuombee maombi ya deliverance ili ufunguliwe toka ktk vifungo hvyo ulivyofungwa na roho hizo bila ya ww kujua. Kumbuka “Aonywae mara nyingi akishupaza shingo, atavunjika ghafla wala hatapona tena (Mithali 29:1)
 
Asee wewe unaweza pandwa na ashki hata ukiona mbwa analambwa, kifupi hufai kupanda mwendo kasi upatwa na mfadhaiko, kama hata ukiona sehem za nyuma za manjemba unatamani iko hivi HIZO NI DALILI ZA UCHOKO NA UKIPATA CHIZI SOON UNAPOTEZA LINDA
 
Umeamrishwa usizini hata kama unaham zako..subiri kuoa au kuolewa
 
this days ibilisi hana kazi kabisa......Tumche mola... ndio njia pekee
 
Back
Top Bottom