PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

Masturbation ni dhambi, mbele za Mungu.(ni machukizo). Mungu amezuia mwanaume kumwaga mbegu chini. Anayemwaga mbegu chini anaenda kinyume na mlango wa Mungu wa kuzaliana. Kwa mwanamke pia, masturbation ni dhambi. Hebu fikiria, unawezaje kupandisha hamu bila kuweka matamanio kwa mwanaume?. Fahamu kuwa unapojichua lazima kutakuwa na mtu ambaye umemweka mawazoni mwako wakati unapojichua.. Kwa kumweka MTU mawazoni mwako wakati ukijichua, fahamu kuwa unafanya dhambi ya uzinzi au uasherati na huyo mtu rohoni. Hivyo, hata usipofanya naye kimwili, tayari umefanya naye kiroho. Kila anayejichua anafanya ngono na huyo aliyemweka mawazoni unapojichua, awe mwanamke, au mwanaume.. Kuangalia picha za pornogrph, ni vibaya sana, kwa sababu Uume unasimama kwa muda mrefu bila kutimiziwa hamu. Madhara yake ni kuishiwa na nguvu za kiume(impotent). Kwa mwanamke vile vile, kisimi (clitoris)husimama kwa muda mrefu Vila kutimiziwa hamu, matokeo yake ni kupungua kwa tension katika kisimi, na kufanya mwanamke kuwa frigid.
 
hata adabu jamani?..!!!hayo sio maadili!..watu wazima mnajishindilia mivitu ya ajabu ajabu kwnye nyeti ili iweje...hebu staarabika..na huyo miss natafuta mwambie awache kuhalalisha!!
 
nadhani sio dhambi maana hakuna uchafu wowote unaoupata kimwili.ila sijui kwanini mtu ukimaliza kupiga punyeto unakosa amani
Umejuajee??? Na wewe ni mwanachama wetu nini???

Tutambulishane bhanaa[emoji112]
 
Samahani hivi mwanaume rijali unawezaje kuangalia video za mashoga ili kupata stimu ya kupiga nyeto? Ukiona umedinda jijue tayari we ni bisexual
Mtoa mada nafikiri atakuwa jinsia ya kike mkuu na wao wanapata stim kuzichek hizo
 
Hi everyone.Wapendwa poleni na michakato,nina maswali please nisaidie majibu. Je kumusturbate ni dhambi kwa Mungu cuz unaweza musturbate bila kumuwaza mwanaume yeyote ila tu unataka kupunguza tu nyege then unaamua kufanya hivyo.Je ni dhambi kwa Mungu?

Na kingne mtu mwingne ana musturbate mpka aangalie porn hiyo nayo ni dhambi kuangalia porn wakat unataka kufanya yako? La mwisho hizi porn za GAY pia ni dhambi kuzitazama? Cuz wengne wanaanglia kusikiliza milio ya wanaume ili na yeye aridhike lkn siyo kwamba anasupport gay,

All in all ni mambo ya nyege tu afu unakuta mtu ni single hana wakumsaidia.Please naomba msaada.Maswali nimeyachukua sehem hope yatatusaidia wengi .
Tumia maji ya uvuguvugu kujichua au mafuta ya Nazi ,pia unaweza tumia rosheni ambazo si za kujicrim hii itakusaidia kupunguza nyege kirahisi zaidi na Kwa haraka bila kutokea michubuko katika kinembe..afu sio dhambi kufanya enjoy.......
 
kama hapo jirani kuna shamba boy au muuza duka jipitishe muingie migombani chap chap
 
Sasa mtoto mzuri kama wewe kwanini ujichue, wakati wanaume kibao mitaani hawana wanawake, unashindwa kujitegesha hata kwa mmoja
 
Tumia maji ya uvuguvugu kujichua au mafuta ya Nazi ,pia unaweza tumia rosheni ambazo si za kujicrim hii itakusaidia kupunguza nyege kirahisi zaidi na Kwa haraka bila kutokea michubuko katika kinembe..afu sio dhambi kufanya enjoy.......
JF haijawahi kuacha kunifurahisha😀😀😀😀
 
Hi everyone.Wapendwa poleni na michakato,nina maswali please nisaidie majibu. Je kumusturbate ni dhambi kwa Mungu cuz unaweza musturbate bila kumuwaza mwanaume yeyote ila tu unataka kupunguza tu nyege then unaamua kufanya hivyo.Je ni dhambi kwa Mungu?

Na kingne mtu mwingne ana musturbate mpka aangalie porn hiyo nayo ni dhambi kuangalia porn wakat unataka kufanya yako? La mwisho hizi porn za GAY pia ni dhambi kuzitazama? Cuz wengne wanaanglia kusikiliza milio ya wanaume ili na yeye aridhike lkn siyo kwamba anasupport gay,

All in all ni mambo ya nyege tu afu unakuta mtu ni single hana wakumsaidia.Please naomba msaada.Maswali nimeyachukua sehem hope yatatusaidia wengi .
Na wanawake mnapigaga punyeto?
 
Kabla sijajibu swali lako naomba kujua umri wako tafadhali.
 
Pole sana mleta uzi, maswali yote uliouliza jibu lake ni moja tu, nalo ni DHAMBI na CHUKIZO MBELE ZA MUNGU WAKO kwa imani yoyote uliyonayo. Imekatazwa kabisa kuwa ni marufuku. Hizi teknolojia za kisasa zisikupumbaze kuhararisha dhambi mbele za MOLA wako. Umekosa kitu gani wewe mrembo? Je, wanaume wamekwisha? Je, ungali masomoni wewe? Je, ndugu au wazazi wamekuwekea gate kali sana? Achana na upuuzi huo wala mtu asikudanganye kwa namna yoyote ile. Hizo ni mbinu za SHETANI kukupeleka motoni. Embu chomoka hujachelewa
 
We piga tu kwani biblia imekataza punyeto kwa wanaume tu ,nadhani kipindi hicho hawakujua kwamba wanawake nao wanafanya .

Kama lazima uangalie porn ili upate nyege (straight or gay) hilo ni tatizo ambalo linaweza sababisha ushindwe kupata orgasm wakati wa sex bila kuvuta stim toka kwenye hayo map icha.

Punyeto bila imagination hainogi bana kwani lazima umvutie hisia mtu fulani kama mpenzi, x-wako, mume, mke ,celebrity flani nk.I find lesbian porn hot sijui kwanini kidume mimi?
 
Back
Top Bottom