Punguza Stress za SIASA Soma hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Punguza Stress za SIASA Soma hii

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Najijua, Sep 17, 2012.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  [FONT=&quot]Utaipata kwa Laki[/FONT][FONT=&quot]... [/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua.

  Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred: "Umekipenda ulichokiona?"
  Fred: "Ndiyo".
  Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.

  Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"

  Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo, alipita hapa mara moja". John: "Safi, alikuachia laki moja?"[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".[/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot][/FONT]
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Safi kabisa........Lisa kaloose
   
 3. P

  Pokola JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ya zamani sana
  :flypig:
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,530
  Likes Received: 10,442
  Trophy Points: 280
  duh aisee!!
   
 5. M

  Magesi JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio maana napenda jf
   
 6. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  dah cheni bandia
   
 7. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Haichekeshi
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaa Mama John kaliwa Bureeeeeeeeeeeeee!!
   
 9. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  toa umbuzi huu huku.
   
 10. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mbona umeniongezea stress. Pesa yangu, fred alinikopa akuachie. ILI NINI au ya Kazi GANI???????????? Mbona hili swali bado kuulizwa au kujibiwa?????
   
 11. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Imetulia... Hoyo Lisa anaweza akawa Wema.
   
 12. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Inakuhusu nini!!??? Mbona povu...
   
 13. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Umeshaliwa kwa dizaini hiyo nini??
   
 14. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Weka mpya.
   
 15. L

  La Voz Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena ndani ya jukwaa pevu la politika...ya zamani ila hachuji
   
 16. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Bruker, umenifurahisha sana leo yaani nimecheka kama fisi mwituni, hakika nimepunguza stress siasa kwa leo, thanks!
   
 17. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Cheza na mmachame wewe!
   
 18. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh jamaa katumika kama kusafirisha laki kwa malipo ya utam wa mke wa rafiki.
   
 19. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Inachekesha,ila ipo tayari humu,jamaa kafanya ku-copy na ku-paste.
   
 20. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,802
  Likes Received: 2,749
  Trophy Points: 280
  Fred ni noma, lisa kaliwa bure!
   
Loading...