Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,075
- 136,489
Wengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela.
Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu.
Mbowe alisota jela takriban miezi nane.
Sasa, itakuwa hivi:
Lissu ataachiwa tu. Anaweza kuachiwa kabla kidogo ya uchaguzi au baada ya uchaguzi Samia akishaapishwa.
Na Lissu atapoachiwa, nyie wote mnaojifanya kumchukia sasa hivi kwa sababu hiyo moja, mtapiga makofi na vigeregere vya shukrani kwa Samia na ‘mtaanza’ kumpenda tena.
Nyie ni watu msio na principles. Na nyie ndo wajinga ambao ndo mtaji mkubwa wa CCM.
Unakasirika leo Lissu kufungwa na unasema kabisa kuwa hiyo ndo sababu yako ya kutokumkubali huyo mama, vipi hao wengine waliofungwa na/ au kutekwa na kuuwawa kabla ya Lissu?
Hayo hayakukufanya usimchukie?
Where is your red line?
CCM wanajua sana kuzichezea akili za wajinga na wapumbavu.
Tundu Lissu yuko jela kimkakati tu. Ataachiliwa muda ukifika.
Na wajinga na wapumbavu mtamshukuru Samia.
‘Ahsante mama’. ‘Mama unaupiga mwingi’.
‘Mama ni msikivu’. ‘Mama ana huruma’.
Blah blah blah.
Hapo mtasahau yote aliyoyapata Mbowe.
Mtamsahau mzee Mawazo.
Mtamsahau Mdude.
Na mtawasahau wengine wote.
Na itakuwa ni mitano tena kwa mama.