Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,486
I wish i were a manMaisha yenyewe mafupi haya, na yana utamu wake.
I wish i were a manMaisha yenyewe mafupi haya, na yana utamu wake.
Fvckin nuts 😅I wish i were a man
Ungependa mtoto wako wa kike naye awe akiburudisho na mleta vaibu kwa walevi wenzako?Pub zenye wadada wasio warembo na wenye kaul nzur.
Kama leo nimeingia baa moja hapa kitaa,wadada wanazingua sana. wadada wanuna kila saa hawana vaib na wateja kbs.
pub bila madem ni sawa na mbuga isiyo na wanyamaPub zenye wadada wasio warembo na wenye kaul nzur.
Kama leo nimeingia baa moja hapa kitaa,wadada wanazingua sana. wadada wanuna kila saa hawana vaib na wateja kbs.
Hamna tatizo akiwa
Kwa nini?I wish i were a man
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ukweli Bwashee, mhudumu lazima awe na mvuto , sio una hudumiwa bia na mbibi wa mwaka 47
Nimeshangaa mie pia.Ulifata kinywaji ama wadada ? Kama ni wadada mbn sehemu wanazopatikana zipo wazi ?
Si kweli lakini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwa kweli.Si kweli lakini?
Taja location kwa faida ya members wengineKuna mahali huwa naenda kupata supu ya mbuzi kuna walimbwende hatari. Nimegundua wateja wengi wa pale mahali ni wanaume kwasababu tu ya wale walimbwende walioko pale
Wape hela, utaona mizuka yao inavyopandaPub zenye wadada wasio warembo na wenye kaul nzur.
Kama leo nimeingia baa moja hapa kitaa,wadada wanazingua sana. wadada wanuna kila saa hawana vaib na wateja kbs.
Na koo linauma, ulikuwa unaongea kwa sauti kubwa sababu ya makelele ya muziki.Ukiwa na pesa pic kali unaipa direction au inakupa direction nikute sehemu furani au nikukute sehenu furani penye utulivu pasipo na kelele za hizi nyimbo zenu zimekuwa mixed na dj face book kelele mwanzo mwisho ukitoka hapo zile kelele za mziki mixer na pombe asubuhi lazima kichwa kikuume lazima utoe milio kichwa kinauma
Mnafaidi sanaKwa nini?
Atavumilia mwanamke wake akitongozwa?😅🤗Kwa hatua uliyofikia, tafuta mwanamke wako mmoja anaependa sana bata ili uwe unaenda nae viwanja, itakusaidia usije kupata magonjwa.