Pub bila madem wenye vaibu haina ladha?

Pub bila madem wenye vaibu haina ladha?

Kuna mahali huwa naenda kupata supu ya mbuzi kuna walimbwende hatari. Nimegundua wateja wengi wa pale mahali ni wanaume kwasababu tu ya wale walimbwende walioko pale
Toa location mkuu
Mi mwenyewe napenda sehemu kuna pisi kali
 
Pub zenye wadada wasio warembo na wenye kaul nzur.

Kama leo nimeingia baa moja hapa kitaa,wadada wanazingua sana. wadada wanuna kila saa hawana vaib na wateja kbs.
Labda wana nia ovu ya kumfukuzia wateja boss wao.

Mhudumu atanunaje bar, maana wateja ndiyo mshahara wake?

Na huyo tajiri naye atajifirisi bila kujua, hao wenye sura za baba zao aliwaokotea wapi?
 
Labda wana nia ovu ya kumfukuzia wateja boss wao.

Mhudumu atanunaje bar, maana wateja ndiyo mshahara wake?

Na huyo tajiri naye atajifirisi bila kujua, hao wenye sura za baba zao aliwaokotea wapi?
Kwa hiyo Mkuu tukafanye kazi Gani Sasa sisi wenye sura za mababu zetu?
 
Back
Top Bottom