Pub bila madem wenye vaibu haina ladha?

Pub bila madem wenye vaibu haina ladha?

Kwenye hii pub, mshahara wangu wote umeishia kwa huyu..
aw2.jpg
 
Bwashee utafutaji wa pesa una husiana vipi na mademu wa kali pub?
Ukiwa na pesa pic kali unaipa direction au inakupa direction nikute sehemu furani au nikukute sehenu furani penye utulivu pasipo na kelele za hizi nyimbo zenu zimekuwa mixed na dj face book kelele mwanzo mwisho ukitoka hapo zile kelele za mziki mixer na pombe asubuhi lazima kichwa kikuume lazima utoe milio kichwa kinauma
 
Ulifata kinywaji ama wadada ? Kama ni wadada mbn sehemu wanazopatikana zipo wazi ?
 
na pesa pic kali unaipa direction au inakupa direction nikute sehemu furani au nikukute sehenu furani penye utulivu pasipo na kelele za hizi nyimbo zenu zimekuwa mixed na dj face book kelele mwanzo mwisho ukitoka hapo zile kelele za mziki mixer na pombe asubuhi lazima kichwa kikuume lazima utoe milio kichwa kinauma
Hapo kaongelea wahudumu wazuri na wenye kauli nzuri na sio mambo kukutana wewe ndio umechachanganya ma faili
 
Back
Top Bottom