Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.

Pascal huwa kuna vitu kadhaa vyenye maana najifunza kwenye maandiko yako, lakini katika hili inaonesha umevamia taaluma usiyoielewa na huna uwezo wa kuleta evidence za ku support au ku prove ukweli.
JF ni user generated forum, watu wako free to express their opinions freely, watu hatupaswi kuleta evidence kwa opinions zetu humu, evidence iletwe iwapo umeleta tuhuma.
P
 
Wanabodi,
Japo mimi sio mwana saikolojia wa kusomea darasani, lakini kwa mujibu wa fani yangu ya uandishi wa habari, ili mtu uwe mwandishi mzuri, ni lazima uwe observe mzuri, hivyo kufuatia kuhudumu fani hii kwa muda mrefu, unajikuta umekuwa ni observe mzuri sana kuliko hata wana saikolojia wenyewe wa kusomea.

Hivyo leo naomba niwaendeshee semina fupi ya somo linaloitwa psychoanalysis ya inferiority na superiority complex. Hili ni somo la kuisoma mienendo ya binadamu kwa kumsoma mawazo yake, kupitia maneno yake na matendo yake au mienendo yake, ikihusisha tafsiri za kisaikolojia za maneno yake na matendo yake yanavyohusianishwa na tabia nzuri au mbaya zilizojificha kwenye subconscious mind yake bila ya yeye kujijua, ila tabia hizo zinakuja kubainisha vitu vinavyoitwa "deep rooted neurosis" kunakopelekea mtu ku behave anavyobehave bila yeye kujijua, kama wale ma psychopath, hivyo ukimuelimisha, akijijua, ana chance ya kubadilika!.

Mfano mtu anaye practice overconfidence, ana tatizo la lack of confidence. Mtu anaye practice superiority complex, ana tatizo la inferiority complex bila yeye kujijua. Na ukiona mtu anaongea sana kwa ukali na vitisho ujue hii ni difence mechanism, anakuwa hana lolote katika utekelezaji, ni talker tuu na sio mtekelezaji. Ukiona mtu anaongea with fire on his eyes, ujue fear is the weapon on his heart. Ni maneno marefu lakini vitendo vifupi, lakini the doers wanaonyesha vitendo virefu na maneno mafupi, kama ilivyo kwa wanyama fisi na simba.

Fisi na Simba, Mwenda Kimya Ndio Mla Nyama.
Fisi hupiga kelele ili kumtisha mnyama anayetaka kumuwinda, mnyama huyo akisikia kelele ya fisi na kuanza kukimbia kwa uoga, fisi ambao hutembea kundi na humkimbiza kwa makelele, hivyo katika kupiga huku kelele, hii ni dalili ya uoga, lakini pia huwakimbiza wanyama wengine, hivyo fisi kuishia kukosa nyama. Lakini simba na chui, hawa wakiwinda, huwinda kimya kimya, ni vitendo tuu, hivyo simba mwenda kimya ndio mla nyama, na kufuatia ustadi huu wa simba kwenye kuwinda, ukiona tuu mahali kundi la fisi, ujue kuna simba karibu!.

Mbwa Mkali na Mbwa Koko.
Hata kwa mbwa, mbwa koko ndio huwa anabweka sana!, wakati mbwa mkali huwa anaangalia tuu, ukimsogelea, unang'atwa, lakini mbwa koko, anabweka sana, ukimtisha tuu, ...mkia. Wazungu wanasema, the barking dogs, seldom bite. Hivyo watu wanaosemasema sana, bila wao kujijua, ni dalili ya inferiority complex, watendaji wa ukweli, hawasemisemi sana, mtaona tuu matokeo ya matendo yao!.

Hili bandiko ni la kuwasaidia viongozi wetu, tupunguze maneno mengi, tuongeze matendo!. Ubora wa viongozi wetu upimwe kwa matokeo, results oriented outcomes na sio uhodari wa kuhutubia majukwaani. Tumeanza kufikia stages hadi baadhi ya maneno tumeanza kuyazoea ni maneno yale yale yanajirudia rudia, mwishowe yatachusha. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno!

Psychoanalysis ni Nini, na ya Kazi Gani?
Kuna msemo usemao, information is power, yaani ukiwa na taarifa sahihi, unakuwa na nguvu, hivyo hii psychoanalysis ni somo la kujifunza kwa nini watu wana behave kwa namna fulani kwenye situations fulani. Hivyo ukijua tabia za watu, kwa nini they behave the way they behave, wewe unakuwa na power ya kuwafahamu na sometimes bila wenyewe kujifamu, hivyo kwa kuandika humu kuhusu human behaviors, hii inaweza kuwasaidia kubadilika, and changing for the better kwa kupunguza maneno na kuongeza vitendo. Waalimu wakuu wa hili somo la psychoanalysis, ni wawili, Carl Jung na Sigmund Freud.

Hitimisho.
Sisi kama raia wema wa nchi yetu, tunawajibika kuisaidia nchi yetu na watu wake wakiwemo viongozi wetu, kama kuna maeneo tunaona tunaweza kusaidia, then tusaidie.

Kuna watu wanadhani viongozi wetu ni malaika, wako perfect, hii si kweli, viongozi wetu nao ni binadamu tuu kama sisi akiwemo kiongozi mkuu, naye he is a human being, ana strengths zake na weaknesses zake.kama binadamu mwingine yeyote, yakiwemo matatizo ya kisaikolojia bila yeye kujijua, naye pia anahitaji kusaidiwa kujitambua!, sio mtu anakuwa mkali, ana foka foka kama nyapara kumbe ni tatizo!.

Mimi nimejitolea kusaidia kuelimisha watu katika eneo langu hili ya kutoa habari elimishi kuelimisha na kufundisha.

Mwenye masikio na asikie.

Paskali
Rejea kuhusu mada zangu za Psychoanalysis
[/B][/SIZE]
Nimekuelewa P.Mayalla,kuna Jamaa aliagiza tank nimpelekee kwenye bustani zake kwa ajili ya kutunzia maji,ili yakikatika bombani awe na akina kwenye tank,Sasa kwenye malipo,anakuwa mkali kama vile tulikubaliana nimpe Bure!
 
Wanabodi,

Mfano mtu anaye practice overconfidence, ana tatizo la lack of confidence. Mtu anaye practice superiority complex, ana tatizo la inferiority complex bila yeye kujijua. Na ukiona mtu anaongea sana kwa ukali na vitisho ujue hii ni difence mechanism, anakuwa hana lolote katika utekelezaji, ni talker tuu na sio mtekelezaji. Ukiona mtu anaongea with fire on his eyes, ujue fear is the weapon on his heart. Ni maneno marefu lakini vitendo vifupi, lakini the doers wanaonyesha vitendo virefu na maneno mafupi, kama ilivyo kwa wanyama fisi na simba.

Hili bandiko ni la kuwasaidia viongozi wetu, tupunguze maneno mengi, tuongeze matendo!. Ubora wa viongozi wetu upimwe kwa matokeo, results oriented outcomes na sio uhodari wa kuhutubia majukwaani. Tumeanza kufikia stages hadi baadhi ya maneno tumeanza kuyazoea ni maneno yale yale yanajirudia rudia, mwishowe yatachusha. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno!

Hitimisho.
Sisi kama raia wema wa nchi yetu, tunawajibika kuisaidia nchi yetu na watu wake wakiwemo viongozi wetu, kama kuna maeneo tunaona tunaweza kusaidia, then tusaidie.

Kuna watu wanadhani viongozi wetu ni malaika, wako perfect, hii si kweli, viongozi wetu nao ni binadamu tuu kama sisi akiwemo kiongozi mkuu, naye he is a human being, ana strengths zake na weaknesses zake.kama binadamu mwingine yeyote, yakiwemo matatizo ya kisaikolojia bila yeye kujijua, naye pia anahitaji kusaidiwa kujitambua!, sio mtu anakuwa mkali, ana foka foka kama nyapara kumbe ni tatizo!.

Mimi nimejitolea kusaidia kuelimisha watu katika eneo langu hili ya kutoa habari elimishi kuelimisha na kufundisha.

Mwenye masikio na asikie.

Paskali
Mkuu Miri, mirindimo , asante kwa taarifa hii, kiukweli kabisa huyu DC Magoti is an issue!.
The other time alikamata coster ya watu waliokuwa wanapelekwa kuangalia maeneo ya kununua, akawalaza wote ndani toka Jumamosi mpaka J.3!. Hao wananchi wanakosa gani?.

Unavamia makazi ya watu usiku wa manane kwa mtindo wa DC Sabaya, unavunja mlango, unamkosa mmiliki, unamchukua mkewe, mtoto na mgeni!, wao wanakosa gani?.
Hizi impunities zikiendelea, wao bila kujua, kupitia karma, wanamponza bosi wao!, karma inakuja kuwatandika wote!.
Tena DC huyu hapo alipo anamzigo mkubwa wa karma, badala ya kuutua kwa kutenda mema yeye anaiongeza!, hawa watu hawajifunzi kwa Sabaya?!.

Huyu DC ana inferiority complex kudhani people are looking down on how hii is, hivyo sasa ana practice superiority complex kuwaonyesha yeye sio mchezo!. Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.

Niliwahi kuandika humu kuhusu Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?

Pia nimewahi kuandika Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

DC Magoti is an issue bila ya yeye mwenyewe kujijua kuwa ni issue!, asaidiwe!,

Kudadeq Kapetro kameyatimba leo.
 
DC Petro Mzee wa Show show...
 
Wanabodi,
Japo mimi sio mwana saikolojia wa kusomea darasani, lakini kwa mujibu wa fani yangu ya uandishi wa habari, ili mtu uwe mwandishi mzuri, ni lazima uwe observe mzuri, hivyo kufuatia kuhudumu fani hii kwa muda mrefu, unajikuta umekuwa ni observe mzuri sana kuliko hata wana saikolojia wenyewe wa kusomea.

Hivyo leo naomba niwaendeshee semina fupi ya somo linaloitwa psychoanalysis ya inferiority na superiority complex. Hili ni somo la kuisoma mienendo ya binadamu kwa kumsoma mawazo yake, kupitia maneno yake na matendo yake au mienendo yake, ikihusisha tafsiri za kisaikolojia za maneno yake na matendo yake yanavyohusianishwa na tabia nzuri au mbaya zilizojificha kwenye subconscious mind yake bila ya yeye kujijua, ila tabia hizo zinakuja kubainisha vitu vinavyoitwa "deep rooted neurosis" kunakopelekea mtu ku behave anavyobehave bila yeye kujijua, kama wale ma psychopath, hivyo ukimuelimisha, akijijua, ana chance ya kubadilika!.

Mfano mtu anaye practice overconfidence, ana tatizo la lack of confidence. Mtu anaye practice superiority complex, ana tatizo la inferiority complex bila yeye kujijua. Na ukiona mtu anaongea sana kwa ukali na vitisho ujue hii ni difence mechanism, anakuwa hana lolote katika utekelezaji, ni talker tuu na sio mtekelezaji. Ukiona mtu anaongea with fire on his eyes, ujue fear is the weapon on his heart. Ni maneno marefu lakini vitendo vifupi, lakini the doers wanaonyesha vitendo virefu na maneno mafupi, kama ilivyo kwa wanyama fisi na simba.

Fisi na Simba, Mwenda Kimya Ndio Mla Nyama.
Fisi hupiga kelele ili kumtisha mnyama anayetaka kumuwinda, mnyama huyo akisikia kelele ya fisi na kuanza kukimbia kwa uoga, fisi ambao hutembea kundi na humkimbiza kwa makelele, hivyo katika kupiga huku kelele, hii ni dalili ya uoga, lakini pia huwakimbiza wanyama wengine, hivyo fisi kuishia kukosa nyama. Lakini simba na chui, hawa wakiwinda, huwinda kimya kimya, ni vitendo tuu, hivyo simba mwenda kimya ndio mla nyama, na kufuatia ustadi huu wa simba kwenye kuwinda, ukiona tuu mahali kundi la fisi, ujue kuna simba karibu!.

Mbwa Mkali na Mbwa Koko.
Hata kwa mbwa, mbwa koko ndio huwa anabweka sana!, wakati mbwa mkali huwa anaangalia tuu, ukimsogelea, unang'atwa, lakini mbwa koko, anabweka sana, ukimtisha tuu, ...mkia. Wazungu wanasema, the barking dogs, seldom bite. Hivyo watu wanaosemasema sana, bila wao kujijua, ni dalili ya inferiority complex, watendaji wa ukweli, hawasemisemi sana, mtaona tuu matokeo ya matendo yao!.

Hili bandiko ni la kuwasaidia viongozi wetu, tupunguze maneno mengi, tuongeze matendo!. Ubora wa viongozi wetu upimwe kwa matokeo, results oriented outcomes na sio uhodari wa kuhutubia majukwaani. Tumeanza kufikia stages hadi baadhi ya maneno tumeanza kuyazoea ni maneno yale yale yanajirudia rudia, mwishowe yatachusha. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno!

Psychoanalysis ni Nini, na ya Kazi Gani?
Kuna msemo usemao, information is power, yaani ukiwa na taarifa sahihi, unakuwa na nguvu, hivyo hii psychoanalysis ni somo la kujifunza kwa nini watu wana behave kwa namna fulani kwenye situations fulani. Hivyo ukijua tabia za watu, kwa nini they behave the way they behave, wewe unakuwa na power ya kuwafahamu na sometimes bila wenyewe kujifamu, hivyo kwa kuandika humu kuhusu human behaviors, hii inaweza kuwasaidia kubadilika, and changing for the better kwa kupunguza maneno na kuongeza vitendo. Waalimu wakuu wa hili somo la psychoanalysis, ni wawili, Carl Jung na Sigmund Freud.

Hitimisho.
Sisi kama raia wema wa nchi yetu, tunawajibika kuisaidia nchi yetu na watu wake wakiwemo viongozi wetu, kama kuna maeneo tunaona tunaweza kusaidia, then tusaidie.

Kuna watu wanadhani viongozi wetu ni malaika, wako perfect, hii si kweli, viongozi wetu nao ni binadamu tuu kama sisi akiwemo kiongozi mkuu, naye he is a human being, ana strengths zake na weaknesses zake.kama binadamu mwingine yeyote, yakiwemo matatizo ya kisaikolojia bila yeye kujijua, naye pia anahitaji kusaidiwa kujitambua!, sio mtu anakuwa mkali, ana foka foka kama nyapara kumbe ni tatizo!.

Mimi nimejitolea kusaidia kuelimisha watu katika eneo langu hili ya kutoa habari elimishi kuelimisha na kufundisha.

Mwenye masikio na asikie.

Paskali
Rejea kuhusu mada zangu za Psychoanalysis
[/B][/SIZE]
Kwenye subconscious mind, mtu huyu anajiona hana thamani au amepitwa na wengine. Hapa ndipo deep rooted neurosis inapoanzia. Mara nyingi, ili kuficha huu unyonge usionekane na jamii (au yeye mwenyewe asiumie), subconscious mind yake inatengeneza "defense mechanism" (njia ya kujilinda).

Hapa ndipo penye mchezo mchafu wa kisaikolojia. Alfred Adler alisema, Superiority complex ni inferiority complex iliyovaliwa kinyago. Mtu anayejiona bora sana, anayetaka sifa kila wakati, anayedharau wengine, au anayeigiza maisha makubwa kuliko uhalisia, mara nyingi anafanya hivyo ili "kufidia" (compensate) ule unyonge uliopo ndani kabisa ya subconscious mind yake.​

Hata display ya utajiri, kuonyeshea magari na mijengo, au kuonyesha unakula vinono hotelini, ni watu waliokulia kwenye umasikini, wamepata sasa wanaonyeshea ili watu waone!, wale waliozaliwa kwenye chai ya maziwa, mkate siagi, gari na nyumba za kueleweka, kamwe huwezi kuwaona na hizo brag za kihivyo!.

Kwa kiasi fulani hoja yako ni ya kweli, kwani watu wengi hupenda kuonyesha kile walichokikosa zamani walipokipata. Hata hivyo kwa asilimia fulani unyenyekevu au kujionyesha hutegemea zaidi malezi na tabia binafsi kuliko historia ya maisha pekee ambayo mtu amepitia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom