Emanual thedon
Member
- May 17, 2018
- 49
- 15
Utaamishwa watakao baki nssf ni watumishi kutoka sekta binafsiKwamimi mtumishi wa umma nliepo NSSF ntabaki hukohuko ama ndo nshahamishiwa PSSSF?
Utaamishwa watakao baki nssf ni watumishi kutoka sekta binafsiKwamimi mtumishi wa umma nliepo NSSF ntabaki hukohuko ama ndo nshahamishiwa PSSSF?
Ndo maana ake hiyo lazima uhamishiwe nssf mkuuMbona sielewi?Na sisi tulio LAPF,lakin ni private wanatuhamisha moja kwa moja NSSF au?Nao unaanza lini maana hapo haujaongelewa kabisa
Utaamishwa kwenye psssf bila kuathir utarabu sasa sijajua makato yatakuwa baada ya kuamisha lakin nilivoelewa ndo ivoNna swali Chief,kwa sasa Mimi nakatwa asilimia 10(10%) ya mshahara wangu wakati watumish wenzangu walioko mifuko mingne nadhani ni around 5%...sa tunapoenda kua kwenye mfuko mmoja makato yataendelea kua yaleyale au yatabadlka?
Kwa wale waliostsafu kabla ya kuanza kutumika kwa Sheria ya PSSSF, hawataathiriwa sana ingawa kwa mujibu wa Vikokotoo pendekezwa watapunguziwa mafao kiasi! Kuhusu wale wansodai fao la kujitoa NSSF, hawa Sheria mpya itawahusu na hivyo watapata fao la kukisa ajira kwa mujibu wa Sheria na Kanuni mpya iwapo bado hawajaajiriwa tena.VP kuhusu wale waliositaafu kuanzia may, June, na July 2018 ila bado wanasubili mafao yao sheria hiyo inawahusu? Pia kuna wa waliokuwa NSSF na waliacha kazi na kufungua madai ya fao lao tokea January 2018 lakini bado bado hawajalipwa mafao yao sheria inawahusu?
Mkuu LAPF imekufa na haipo, imeshamezwa na PSSSFKwa hiyo muongozo ukoje kwa mtu aliye LAPF kwa sasa na huyo mtumishi wa umma aliye NSSF??
Ndiyo maana yake.Kama uko private company na mfuko wako hapo awali ulikuwa ni LPF unahamishiwa NSSF??
Mkuu hebu nisaidie Mimi nina michango serikalini (sasa ndo imeunganishwa na kuwa PSSSF) na pia nina michango NSSF, ambako niko kwa sasa na ndiyo nina akiwa nyingi. Sasa last year NSSF walinishauri niunganishe michango yangu ili nifaidike zaidi. Sasa kwa hali hii Itawezekana kweli ?Daaah kuna watu watata kuelewa,Mifuko yote unaijua imefutwa(kuunganishwa na kua kitu kimoja) na kuanza kwa Mfumo wa Hifadhi wa Watumishi wa umma,NSSF kwa sasa itahudumia wafanyakazi sekta binafsi tu.
Watumishi wote,wafaidika/warithi wa mafao wa mifuko iliyoundiwa PSSSF,wataendelea kufanya kazi PSSSF na kupokea stahiki zao kama kawaida kupitia huo mfuko mpya.
Madeni,mali,mikataba iliyokua chini ya iliyofutwa itahamia PSSSF. Hii ni kuanzia kesho 1 mwezi wa 8 2018.Ni NSSF tu imebakia ila sasa ni strictly sekta binafsi.
Mkuu hii Inawezekana kweli? Wachukue michango ya Watumishi?Wanaojitayarisha kustaafu anzeni kujitayarisha kisaikologia, kwani sasa serikali inayohaki kutumia hela zenu za makato, kutoka kwenye mashirika ya jamii kama PSSSF na NSSF kwa sababu zote zimehamishiwa ofisi ya waziri mkuu na haiko SSRA TENA, na wala haihitaji kulipa baada ya kutumia, na wala haikopi, ushauri wangu ni kujiwekea akiba ya kudumu kwenye makampuni ya bima, unaweza kufa bila kupata haki yako.
Kwa kushindwa kueleza kinaga ubaga huo upotoshaji na wewe umekurupuka tuu.Mleta mada unachofanya hapa ni upotoshaji na sijui kwanini hadi sasa Mods wamekuacha tu.
Good observation....sasa kama imehamishiwa kwa pm maana yake si ssra inakufa natural death?
Why?????Mods toeni huu uchafu hapa jukwaani
Not true SSRA hawana tena madaraka ya ku regulate hii mifuko mipya, itakuwa regulated na wizara ya kazi, the irony is serekali imechukua jukumu la SSRA kwa kutunga sheria pingamizi, ili waweze kupata access ya pesa za wastaafu kwa matarajio yao, na kukwepa ile nukuu ya kuwa na wao wamekopa, hii siyo sawa kabisa kwani haimpi uhakika mstaafu uwepo wa hela zake kwenye mikono salama, hali hii imejitokeza kuanzia mwaka 2016 kwani watu hawajalipwa stahiki zao. Kwa ufupi hakuna tofauti na levy ya korosho, serikali hii ikidaiwa inafuta uhalali wa deni kwa kutunga a conflicting lawsYaani wewe ni mpotoshaji namba moja, SSRA ni regulatory body ya hiyo mifuko tu, hiyo mifuko pamoja na SSRA vyote viko chini ya Wizara ya Kazi ambayo ipo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu
Sheria huwa inarudi nyuma? Hii umeitoa wapi mkuuKwa wale waliostsafu kabla ya kuanza kutumika kwa Sheria ya PSSSF, hawataathiriwa sana ingawa kwa mujibu wa Vikokotoo pendekezwa watapunguziwa mafao kiasi! Kuhusu wale wansodai fao la kujitoa NSSF, hawa Sheria mpya itawahusu na hivyo watapata fao la kukisa ajira kwa mujibu wa Sheria na Kanuni mpya iwapo bado hawajaajiriwa tena.
Hata mimi nashindwa kuelewa hiyo itawezekana vipi wakati hao walishalodge madai yao mapema? Kimsingi kama siyo ucheleweshaji uliopo kwenye mifuko hiyo wadai hao (wastaafu na wenye madai ya fao la kujitoa) walitakiwa wawe wameshalipwa kabla ya sheria mpya kuanza kutumika rasmi.Sheria huwa inarudi nyuma? Hii umeitoa wapi mkuu
Kuna watu wanaroho za jiwe za kutaka tu kupotosha hata kama ukweli wanaujuaHata mimi nashindwa kuelewa hiyo itawezekana vipi wakati hao walishalodge madai yao mapema? Kimsingi kama siyo ucheleweshaji uliopo kwenye mifuko hiyo wadai hao (wastaafu na wenye madai ya fao la kujitoa) walitakiwa wawe wameshalipwa kabla ya sheria mpya kuanza kutumika rasmi.
Kama sheria mpya itatumika kwa kuanzia kwa wale walioleta madai yao tarehe 1/8/2018 sheria mpya ilipoanza kutumika na baada ya tarehe hiyo hapo itakuwa na mantiki.
Kwahiyo unataka kusema wakati SSRA ni regulator, ilikuwa na access na fedha za mifuko!?Not true SSRA hawana tena madaraka ya ku regulate hii mifuko mipya, itakuwa regulated na wizara ya kazi, the irony is serekali imechukua jukumu la SSRA kwa kutunga sheria pingamizi, ili waweze kupata access ya pesa za wastaafu kwa matarajio yao, na kukwepa ile nukuu ya kuwa na wao wamekopa, hii siyo sawa kabisa kwani haimpi uhakika mstaafu uwepo wa hela zake kwenye mikono salama, hali hii imejitokeza kuanzia mwaka 2016 kwani watu hawajalipwa stahiki zao. Kwa ufupi hakuna tofauti na levy ya korosho, serikali hii ikidaiwa inafuta uhalali wa deni kwa kutunga a conflicting laws
Kama ulikamilisha mchakato kabla ya 01/08/2018 utalipwa fedha zakoWandungu mimi ni muhangwa wa wafanyakazi tuliopunguzwa kazi benki nilikuwa ppf nilikamilisha form za mafao leo nimeenda naambiwa sheria mpya imeanza rasmi jana tarehe 1/8/ kwa ppf wamesimamisha malipo yote mpaka watakapojulishwa sasa nashindwa kuelewa itakuwaje au ndio tutapelekwa nssf au ndio tusubirie miaka 60 sielewi kitu nimevurugwa msaada jamani