PSSSF kuanza rasmi Agosti mosi 2018

PSSSF kuanza rasmi Agosti mosi 2018

Nilivyomwelewa waziri kwenye hili tamko, "watakaoajiriwa serikalini wataandikishwa PSSSF na watakaoajiriwa sekta binafisi ni NSSF" amezungumzia mambo yajayo. Kuhusu yalivyo wakati huu, hakusema neno na hapo ndipo simtofahamu inapowadia.

Nionavyo mimi ni vigumu sana kuwahamisha waliopo sasa nadhani wamelielewa hilo (accumulated benefits per person are very difficulty to quantify).

Regards,
Bob
 
Wanaojitayarisha kustaafu anzeni kujitayarisha kisaikologia, kwani sasa serikali inayohaki kutumia hela zenu za makato, kutoka kwenye mashirika ya jamii kama PSSSF na NSSF kwa sababu zote zimehamishiwa ofisi ya waziri mkuu na haiko SSRA TENA, na wala haihitaji kulipa baada ya kutumia, na wala haikopi, ushauri wangu ni kujiwekea akiba ya kudumu kwenye makampuni ya bima, unaweza kufa bila kupata haki yako.
Yaani wewe ni mpotoshaji namba moja, SSRA ni regulatory body ya hiyo mifuko tu, hiyo mifuko pamoja na SSRA vyote viko chini ya Wizara ya Kazi ambayo ipo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu
 
Mie nina michango yangu LAPF sikutoa nkahamia company nyingne ambayo haikuwa na mfuko wa LAPF ikabidi nijunge GEPF ambao mpka leo nachangia huko vipi kuhusu pesa zangu za LAPF zitaunganishwa au nshapigwa tayar?
 
xo me nataka kujua mtu aliekuwa NSSF alafu ni mtumishi wa umma je michango yake aliyochangia kipindi chote cha nyumba itapelekwa huko PSSSF au ndo mambo ya kuanza kusumbuana tena aiseee
 
Ushapigwa Mbwea,, ha haa
hii bro kwanza ni kosa... sheria inamtaka mwajiriwa kuchagua mfuko anaotaka yeye na si kupangiwa na mwajiri.....sasa kama ww umechangia mifuko miwili tofauti na kwa hali hilivyo bro labda nenda kafuatilie tuh na barua yako
 
Mie nina michango yangu LAPF sikutoa nkahamia company nyingne ambayo haikuwa na mfuko wa LAPF ikabidi nijunge GEPF ambao mpka leo nachangia huko vipi kuhusu pesa zangu za LAPF zitaunganishwa au nshapigwa tayar?
Wewe ndio basi tena, kuzipata hizo hela sahau
 
hii bro kwanza ni kosa... sheria inamtaka mwajiriwa kuchagua mfuko anaotaka yeye na si kupangiwa na mwajiri.....sasa kama ww umechangia mifuko miwili tofauti na kwa hali hilivyo bro labda nenda kafuatilie tuh na barua yako
Sio mm mkuu,, ni bwana Mbwea
 
jidanganye... nenda kasome muswada upya.. na sheria nzima
Wewe ndie unajidanganya maana hata hapo awali kulikua na PSPF kwa ajili ya watumishi wa Uma lakini walikua wakipokea wanachama wa sekta binafsi pia
Note kuanzia 1st August watumishi wote waliokua LAPF,GEPF,PPF na watakaoajiriwa serikalini watapelekwa kwenye hako ka chungu kapya
 
watakaoajiriwa.. vp ambao waliajiriwa zamani wao watapelekwa kwenye chungu gani?
 
Tusubiri tutapata muongozo, wafanyakazi kibao wa private wako PPF pia
Hao ndio taarifa zao zinahamishiwa NSSF! PPF wanaenda PSSSF na taarifa za watumishi wa serikali tu
 
Mie nina michango yangu LAPF sikutoa nkahamia company nyingne ambayo haikuwa na mfuko wa LAPF ikabidi nijunge GEPF ambao mpka leo nachangia huko vipi kuhusu pesa zangu za LAPF zitaunganishwa au nshapigwa tayar?
Sio tu kupigwa! Umeliwa kabisa!
 
Jambo kubwa hapa siyo issue ya kuanza kutumika kwa Sheria ya PSSSF! Issue ya muhimu kwa Wafanyakazi na jamii nzima ya Watanzania ni "KANUNI YA VIKOKOTOO VYA MAFAO". Iwapo ni kweli kuwa waliokuwa PSPF na LAPF wamepunguziwa mafao yao (Malipo ya Mkupuo) kwa 62.5%, basi wengi watakufa kwa Pressure kutokana na ndoto zao kuota mbawa hasa wale wanaokaribia kustaafu kuanzia Agosti mosi 2018!

Tusubiri yajayo ...!
VP kuhusu wale waliositaafu kuanzia may, June, na July 2018 ila bado wanasubili mafao yao sheria hiyo inawahusu? Pia kuna wa waliokuwa NSSF na waliacha kazi na kufungua madai ya fao lao tokea January 2018 lakini bado bado hawajalipwa mafao yao sheria inawahusu?
 
Majibu tafadhari kwa mwenye kujua.....
 
Back
Top Bottom