samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,478
- 24,250
vitu kama hivi vinahitaji maelezo ya kutosha kwa wahusika pasipo kuacha chembe ya shaka, kifupi Mh Waziri anapaswa kutoa tamko au maelezo ya kutosha kwenye mfumo wa kijarida unaoeleza kila kitu kinaga ubaga ili kila mwajiri agawe kwa watu wake na kila mtu asome aelewe "abcd" zote. Kuwaambia watu vitu nusunusu huku mengine muhimu hayasemwi sio jambo jema hata kidogo.
Ushauri; Vijarida au vipeperushi vinavyoelezea mambo yoote muhimu kama faida kwa wadau ambao ni wafanyakazi vitolewe na kugaiwa kwa wafanyakazi na jamii kwa ujumla, bado mpaka sasa kuna mkanganyiko juu ya fao la kujitoa na hakuna anayetoa maelezo yanayojitosheleza zaidi ya blah blah za kisiasa, hakuna pia maelezo ya kutosha namna mchangiaji atakavyonufaika moja kwa moja na mafao yake wakati bado yuko kazini, hakuna maelezo ya kutosha yanayoonyesha hesabu za wazi juu ya pension kwa mstaafu pale atakapostaafu na atachotakiwa kulipwa, zaidi ya mafao kwa mstaafu hakuna faidi nyingine aipatayo kama shukrani kwa yeye kulitumikia taifa na kuchangia mfuko husika miaka yoote huku hela yake ikizungushiwa kwenye biashara, Mabadiriko muhimu kama haya yanapofanyika ni vyema wadau wakashirikishwa moja kwa moja kwa 100% na sio kuwahusisha wabunge ambao hili sio muhimu sana kwao..