Ps3 power issues....

Ps3 power issues....

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Habari wakuu,
Niende direct kwenye point kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Hii ps yangu ni wiki ya pili sasa inatatizo la kuwaka, ukiiplug kwenye umeme ile taa nyekundu inawaka kama kwaida kuonesha umeme unaingia ila ukipress ile power button inawaka green for like two seconds then inajioff kabisa. Ukichomoa waya kwenye umeme ukaurudishia tena inawaka red kama kawa. Naomba msaada wakuu kwa anaeelewa solution ya hili tatizo
 
Back
Top Bottom