PS wangu ananitega

Hahahahahaaaaaa, unajipa matumaini tu! Yaani wewe lazima nikuweke ndani! Na sura za kazi mi ndiyo nazipenda! Nitaendelea kukuzengea mpaka utaingia line tu uje ule supu ya bata mtoto wa kike!!
naaam! sura hii ya kazi niliyokutimua nayo enzi zilee unataka kuniharibia ndoa yangu na paw. mie sitemi jojo kwa kudolishiwa karanga atii!:israel:
 
Wewe ungekuwa unafanya kazi na wanawake wengi na wazuri ile mbaya na wanaojua kutega kama ninaofanyanao kazi mimi sijui ungekuwa wapi saa hizi. Huyo mmoja tuu anakupa shida, ni kutokana na wewe mwenyewe unavyoishi nae hapo kwa ofisi. Hata kama hujaoa mapenzi ofisini hayakubaliki mtaharibu kazi kabisa.
 



***********************************


hahahahahaaa mkuu!! na wewe yaelekea unamtamaniii hadi kakugusa umetulia !!! teh teh teh..... Km ni kitu mbomba na njia kuu inafoleni.......CHEPUKIA ......mpe anachotaka....Ila tuu kuwa makini KUPIMA MUHIMU...
 

STATIC IDEA
dawa yake mke tuu,,,mpe mchongo wote mkeo alafu mumnase waiifu ampe makavu atauheshimu

CONDITINAL IDEA
mkuu hali ya hewa jijii Siyo nzuri,,unaona mvua na baridi mda mwingine maraukichanganya na ma A.C ya ofisini basi minye.ge inakua fully active 100pacenti…mpige dudu tuu..tena lile la no strings attach..usimuhonge walanini..wewe ni kazi na kazi tuuu…hakuna kazi na dawa/////akikuona mchumi i…atakukimbiamwenyew
 
Last edited by a moderator:
MKUU KWANZA NIKUULIZE UMEOA? KM HUJAOA ASHAKURAHISISHIA HUNA HAJA YA KUTONGOZA...WEKA NDANI KAKUPENDA MWENYEWE HUYO............Me hoiii...Mkuu inaelekea unategekaa, huyo akikaza buti mzee unajikuta umenyweaaa SIMBA KAPAKATWA
 
Wewe lazima :busu, najua huna ujanja kwani paw mwenyewe siku hizi nasikia kakushiti amehamia nyumba ndogo! Utajipa matumaini kwamba atarudi lkn hatarudi hizo mali kakuachia lkn dushe ndiyo hutapata! Njoo kwangu upate ulichokimisi uone nilivyo kidume kwani haitachukua muda mrefu :mimba:kitu ambacho paw alikuwa ameshindwa!
Hehehe, utasubiri sanaaaaaa!
afu OLESAIDIMU mchawi kama ccm. sasa umelike nini hapo?
 
yashinde majaribu anakutamani kwasababu anajua utamptaia security tu ya maisha. utatumika kama chombo ndugu. wanawake sikuizi wako strategical sana.e
 
Kama kufungua thread Jf ndio hatua pekee uliyochukua basi thread itakayofata itakuwa "PS ana mimba yangu"
 
Ukitaka kazi yako iwe salama epukana na uyo changu.
 
Anataka kutengeza Movie ya Blue Ofisini, mzee utakuwa Celebrity. Hiyo ofisi ni ya kwako nini? basi andiak umefiliska anza kuatafuat mashamba iringa.
 
Mwanamke kama anakutega na ni mbaya Kazi ni,rahisi mno..ishu kama ni kifaa..
 
Siwapendi ma secretary. .....nina hakika mume wangu ane alitegwa kwa style hii dah!! . Utakuja haribu ndoa yako mkuu,,, weka sura ya kazi japo unataka kunasa kwenye tundu , think twice what will happen next...
 
mwamishe ofisi mpeleke hata Katavi au Simiyu, lazima akili itamkaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…