Prove me wrong Hakuna fundi tajiri.

Prove me wrong Hakuna fundi tajiri.

Ishu nyingine kuna mama tunakaa nae mtaa mmoja yeye anatengeneza crisp za ndizi oya yule mama yuko njema kishenzi mzee na yeye crisp anauza kwa jumla akitengeneza hazikai zishabebwa zote kaajiri vijana anatengeneza usiku kucha...ana nyumba kadhaa na mafanikio kadhaa kasomeshaw awatoto mpaka chuo na wanajitegemea. Hivyo acha dharau kwakua wewe pengine una miliki pesa ya kula na kubadilisha nguo ..Maisha yana njia nyingi za kupiga hatua kwa mtu mwenye juhudi,uvumilivu ,bahati na anayejua kucontrol tamaa yake.
Yeah nimekuelewa vizuri, nilikua nazungumzia mafundi ambao 90% tunashinda nao hapa mtaani, lakini nimekuelewa sana nilichogundua ni kufanya ufundi kuwa biashara hapo mafanikio atayaona.
 
Mifano inawahusu watz waswahili tu? Kama unawahusu na waTz wahindi, muangalie Datan, (Toyota Dodoma) Ni fundi yule babe.

He’s rich.

Uko sahihi kuwa ili uwe tajiri (Financially loaded) lazima ufanye skill yako iwe biashara.
 
Hao wahindi wa Toyota Tanzania wanawapa mashavu sana wahindi wenzao wenye garage ni nchi nzima Authorized service workshops na spare parts dealers wa Toyota Tz wengi ni wadosi na wana hela.
 
Mafundi asilimia chache Sana ndio Wana Hali nzuri kiuchumi, Yaani ukiona fundi Kila siku unaingia front mwenyewe kupiga kazi Jua tu utakufa maskini vibaya Sana...

Mafundi waliofanikiwa kuajiri wengine, kwenda kisasa, kufanya kazi iwe biashara hao ndio wanakuwa na Hali nzuri kiuchumi kuliko hata wakurugenzi wa mashirika makubwa ya serikali...Wahindi wana kampuni kabisa za ufundi mfano Aluminium, mambo ya AC nk wameajiri watu wengi na Wana tenda nyingi viwandani na kwenye makampuni huko nk, sasa ndio naona baadhi ya watz wenzetu wanafuata mkondo wa Aina hii wa kisasa na kuachana na ufundi wa kipumbavu wa chini ya muembe.

Fundi utakuta ni mzuri kabisa lakini hata TIN Hana, Kila siku yupo chini ya mti tu....Kwanza fundi lazima awe katika mazingira sahihi, lazima fundi uwe na Ndoto...

Ufundi ni ishu siriaz Sana, US Plumber Tu ili akabidhiwe kazi kubwa inabidi uwe na uzoefu na hata muda wa miaka hata nane wa kukaa darasani, ufundi Una pesa hivyo unahitaji uvumilivu Sana na ufanye kazi za watu vizuri Kwa uaminifu kabisa then Jiongeze utafikia hatua ya kuajiri hata wasomi wenye Shahada za uhandisi....

Nakubaliana na kichwa Tu cha mada Kwa asilimia 90....
 
Graduate mlioenda VETA mnaendeleaje?
Tarehe 7 Agosti 2025, Waziri Mkuu wa wakati huo, Kassim Majaliwa, aliwataka wazazi na walezi kuhakikisha vijana wanapelekwa kwenye mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na VETA na Ofisi ya Waziri Mkuu. Alisisitiza kuwa lengo ni kuwapa vijana ujuzi wa kuajiriwa au kujiajiri.
Mimi tokea makuzi yangu yoote sijawahi kuona fundi mwenye financial freedom, sjjawahi kuona nilipokuwa mdogo kuna jamaa alikuwa ni fundi wa gari la pale home imepita miaka 20 sasa hakuna chochote anachokimiliki naona maisha yake ni magumu tu.

The same na mjomba wangu alikua fundi mechanics mzuri miaka mingi iliyopita kamaliza ujana wake wote sasaivi yupo na 63 na hakuna chochote anachokimiliki,

Mimi sijawai kuona fundi aliefanikiwa ni wachache sana ambao waliingia kwenye mfumo wa kubadilisha ufundi kuwa biashara nb wachache sana, shida ya hapa Tanzania kwa kijana ambae anachipukia kwenye ufundi ni mjuano (nepotism) mimi nikiwa na kazi nitamtafuta mtu ninayemfahamu anifanyie kazi , unajifunza labda umeme wa magari au mechanics au umeme wa majumbani, nani atakayekupa kazi? Je uwezo wa kufungua workshop yako unao?

Mkombozi kwa vijana ni kuwekeza upande sahii, kuwaelekeza upande sahii ambao ni productive nimeona kwenye biashara watu wengi wakianzia chini kabisa, mpaka kufikia kiwango kikubwa mno, nimeona watu wakilima mpaka kumiliki tractor zao binafsi. Lakini sijaona fundi pikipiki, bajaj, tiles, mechanics, n.k akifanikiwa.
Mtu yeyote ambae anafanya kazi ya Nguvu hawezi kuwa Tajiri.

Pia malipo Yao ni kidogo kidogo unapata pesa ya kula tuu.

Mwisho fundi akiwa Tajiri nani atajenga nyumba?
 
Graduate mlioenda VETA mnaendeleaje?
Tarehe 7 Agosti 2025, Waziri Mkuu wa wakati huo, Kassim Majaliwa, aliwataka wazazi na walezi kuhakikisha vijana wanapelekwa kwenye mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na VETA na Ofisi ya Waziri Mkuu. Alisisitiza kuwa lengo ni kuwapa vijana ujuzi wa kuajiriwa au kujiajiri.
Mimi tokea makuzi yangu yoote sijawahi kuona fundi mwenye financial freedom, sjjawahi kuona nilipokuwa mdogo kuna jamaa alikuwa ni fundi wa gari la pale home imepita miaka 20 sasa hakuna chochote anachokimiliki naona maisha yake ni magumu tu.

The same na mjomba wangu alikua fundi mechanics mzuri miaka mingi iliyopita kamaliza ujana wake wote sasaivi yupo na 63 na hakuna chochote anachokimiliki,

Mimi sijawai kuona fundi aliefanikiwa ni wachache sana ambao waliingia kwenye mfumo wa kubadilisha ufundi kuwa biashara nb wachache sana, shida ya hapa Tanzania kwa kijana ambae anachipukia kwenye ufundi ni mjuano (nepotism) mimi nikiwa na kazi nitamtafuta mtu ninayemfahamu anifanyie kazi , unajifunza labda umeme wa magari au mechanics au umeme wa majumbani, nani atakayekupa kazi? Je uwezo wa kufungua workshop yako unao?

Mkombozi kwa vijana ni kuwekeza upande sahii, kuwaelekeza upande sahii ambao ni productive nimeona kwenye biashara watu wengi wakianzia chini kabisa, mpaka kufikia kiwango kikubwa mno, nimeona watu wakilima mpaka kumiliki tractor zao binafsi. Lakini sijaona fundi pikipiki, bajaj, tiles, mechanics, n.k akifanikiwa.
Define kwanza Fundi ni nani

Na Utajiri ni upi?
 
Nakazia hapa tz hakuna fundi tajiri maybe mafundi matapeli na mafundi dalali (wanaotarika ni wakandarasi tu ambo nao wanaudalali flani na ufisadi flani na utapeli flan ndani yake)
 
Back
Top Bottom