Protocol za Makamu wa Rais Mteule

Protocol za Makamu wa Rais Mteule

Marekebisho, Mtu anakuwa mteule pale anapokuwa amechaguliwa au kupitishwa ila Bado hajathibitishwa ila kwa mazingira yake unayemuita mteule Bado. Kwa sasa ni mgombea mwenza wa Urais kupitia CCM
 
Tuombe tu msiba usitokee maana hamu ya kuchonga mzinga upo juu sana.
Marekebisho, Mtu anakuwa mteule pale anapokuwa amechaguliwa au kupitishwa ila Bado hajathibitishwa ila kwa mazingira yake unayemuita mteule Bado. Kwa sasa ni mgombea mwenza wa Urais kupitia CCM
 
Tanzania Vituko Tupu, Yule Baba Yupo Wa Zanka Ila Fitna Imepigwa Eti Kachoka
Huyu Wa Nyasa Naye Muda Wa Kupewa Hadhi Ya Uteule Bado
Maana Bunge Linapumua Hata Kuvunjwa Bado
 
Sheria Ya TISS imeanisha Kuwalinda Viongozi wanaogombea nafasi ya Urais
 
Nilipomuona last time ulinzi wake,( na magari) ulikuwa very light-hearted.
Lakini it is unnatural' kuuliza mtu ana walinzi wangapi.
Do you want to harm him?
 
Mwenye kujua Protocol ya Makamu wa Rais Mteule,
1. Ulinzi?
2. Msafara [Idadi ya Magari]
3.
Mimi nataka kujua tu ameshaanza kulipwa mshahara wa makamu wa rais na marupurupu yake maana ameshaanza kazi na misafara yake imeshiba kabisa..!

Maana naona ni kama nafasi moja imekuwa na watu wawili..
 
Ana magari 50 na helkopita juu kama Magufuli
 
Back
Top Bottom