Prophet IPM anahubiri injili gani?

Mawe yanayo tupwa humu juu ya jiji la mbeya kuwa kijiji kilicho changamka ni sawa. ila hili la wanaume wa dar kuitwa na mwanaume mwenzenu kwa kiingilio cha cha pesa na kufundishwa mambo ambayo hata yeye hayawezi itoshe tu kusema mbeya wanaume hatuwezi huu upuuzi zaidi itoshe kuamini maandiko yanaposema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
Seran pita na upepo na wewe weka kikao cha wanawake na vitoto vya 20 pale Serena utapiga pesa sana
NB: nitakupigia promo sana
Hukuona Rose shaboka kashafanya? Kimeshapita siku nyingi..
 
kwamba ni men empowerment sasa , waandaaji wangelikataa lifte ilo 😁
Kuna wanaume wanawezeshwa mpaka wanajisahau wanaonesha makucha🤣
Kama ni upigaji haliwezi kukataliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…