Hako kajamaa ni kapigaji hakuna mfanoMimi naongezea sheikh sharifu majini wa channel 10.
Hako kajamaa ni kapigaji hakuna mfanoMimi naongezea sheikh sharifu majini wa channel 10.
Tunazugana tu humu.Ni vizuri kuuliza kazitoa wapi ili na sie tukazisake huko. Sio mbaya tukipeana mateknics ya kutafuta pesa
Leo kaweka video Instagram anagawa hela kanisa nzima,watu wanamsujudia miguuni halafu anawapa hela,aisee umaskini kitu kibaya sana.Eee Mungu nisaidie nife katika Imani niliyozaliwa nayo (catholic)
Hakana pesa...vya kuazima vitu vyoteKametoa wapi pesa???
Nchi hii ina majuha wa kiimani hauwezi kuamini.Ni katapeli fulani...Hivi ni kweli watu wanaenda kusali kwake?hahaha
Hapana tafuta kanisa uokoke. Yapo mengi tu mazuri. Liwe dogo tu la wastani lenye mahubiri mazuri.Hahahahahahhah bora nibaki na upagani wanguuuu
mnuno. Com
Akili za kuamviwa changanya na za kwakoHuyu Nabii anadai anaweza pia kukutabiria kifo anadai...