King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,419
- 88,753
Nani mwenye ule mchakato wa dr slaa atusaidie humu!
kama sasa hivi tu cdm inawachangisha wananchi pesa za kufanyia uhuni na kuongeza wake je wakishika nchi naamini hata bahari itagawiwa wiwanjamwalimu nyerere alitoa elimu bure, matokeo yake baada ya miaka 20 nchi ilitembelea magoti. Chadema (mh slaa) japo ya kujua hilo bado ilisisitiza kutoa elimu bure kwa watanzania wote ili ishinde uchaguzi 2010, lakini ikaanguka. Hii ni kutokana na ueleo mkubwa wa watanzania na kuelewa kuwa hizo ni propaganda za uongo.
wiki iliyopita nilipoandika thread "chadema ni chama cha propaganda" wengi walidai nilete ushahidi au vyanzo vya taarifa hizo. Sikufanya hivyo kwa kuogopa mod kuifuta habari hiyo. Leo nimeamua kuandika ushahidi wa propaganda hizo za uongo tukianzia kwenye kipengele cha elimu bure kwa watanzania wote.
Ili twende hatua kwa hatua naona vyema tuanzie na mkoa wa kilimanjaro ambako ndio ngome ya chadema ilikojikita. Naomba waziri kivuli wa fedha wa chadema aeleze kinaga ubaga ni vipi kwa kutumia kodi ya mkoa wa kilimanjaro itamudu kutoa elimu bure kwa wananchi wa mkoa huo kabla hatujazungumzia tanzania nzima.
mkoa wa kilimanjaro unaongoza tanzania nzima kwa kuwa na shule za sekondari nyingi kuliko mikoa yote ya tanzania. Una sekondari 288 wakati hata dar es salaam ina sekondari 252 tu (chanzo: www.moe.go.tz/nectaresuls). Wakazi wa kilimanjaro ni 1441000 ukilinganisha na dar es salaam ambao ni takriban 2,809,000 (chanzo: tanzania: Regions, major cities & urban localities - statistics & maps on city population). Pato la kodi la mkoa wa kilimanjaro (rombo, hai, mwanga, same, mosho mjini na moshi vijijini) ni 14,236.4 milioni (tzsh) wakati lile la dar es salaam ni 441,000.5 milioni (tzsh) (chanzo: tanzania revenue authority - kigoma).
kabla sijaandika zaidi naomba huyu waziri kivuli wa fedha wa chadema akisaidiana na wapambe wake hapa jf wanieleze ni vipi watazigawanya hizo 14,236.4 milioni tzsh katika huduma za matibabu (hospitali, zahanati na elimu ya afya), polisi, utawala mkoa na wilayani, pembejeo, na elimu (mishahara ya walimu, ukarabati na stationaries).
Mkishindwa kufanya hivyo maana yake elimu bure kwa watanzania wote ni propaganda ya uongo. Vinginevyo mlitaka kutumia pesa ya walipa kodi wa mikoa mingine kuendeleza mkoa wenu maana kiuchumi haiwezekani kilimanjaro yenye wakazi 1441000 iwe na shule kupita dar es salaam yenye wakazi 2,809,000.
Nasubiri majibu yenu kabla sijaendelea na sekta nyingine.
Tanzania haikutembea magoti kwa sababu Nyerere alitoa elimu bure. Tanzania tulianza kutembea magoti baada ya vita vya Idi Amin. Be factual.
Mwalimu NYerere alitoa elimu bure, matokeo yake baada ya miaka 20 nchi ilitembelea magoti.
CHADEMA (Mh Slaa) japo ya kujua hilo bado ilisisitiza kutoa Elimu bure kwa watanzania wote ili ishinde uchaguzi 2010, lakini ikaanguka. Hii ni kutokana na ueleo mkubwa wa watanzania na kuelewa kuwa hizo ni PROPAGANDA ZA UONGO.
Nasubiri majibu yenu kabla sijaendelea na sekta nyingine.
Mwalimu NYerere alitoa elimu bure, matokeo yake baada ya miaka 20 nchi ilitembelea magoti. CHADEMA (Mh Slaa) japo ya kujua hilo bado ilisisitiza kutoa Elimu bure kwa watanzania wote ili ishinde uchaguzi 2010, lakini ikaanguka. Hii ni kutokana na ueleo mkubwa wa watanzania na kuelewa kuwa hizo ni PROPAGANDA ZA UONGO.
Wiki iliyopita nilipoandika Thread "CHADEMA NI CHAMA CHA PROPAGANDA" wengi walidai nilete ushahidi au vyanzo vya taarifa hizo. Sikufanya hivyo kwa kuogopa Mod kuifuta habari hiyo. Leo nimeamua kuandika ushahidi wa Propaganda hizo za uongo tukianzia kwenye kipengele cha ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE.
Ili twende hatua kwa hatua naona vyema tuanzie na mkoa wa Kilimanjaro ambako ndio Ngome ya CHADEMA ilikojikita. Naomba waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA aeleze kinaga ubaga ni vipi kwa kutumia kodi ya mkoa wa Kilimanjaro itamudu kutoa elimu bure kwa wananchi wa mkoa huo kabla hatujazungumzia Tanzania nzima.
Mkoa wa Kilimanjaro unaongoza Tanzania nzima kwa kuwa na shule za Sekondari nyingi kuliko mikoa yote ya Tanzania. Una sekondari 288 wakati hata Dar es salaam ina sekondari 252 tu (Chanzo: www.moe.go.tz/NectaResuls). Wakazi wa kilimanjaro ni 1441000 ukilinganisha na Dar es salaam ambao ni takriban 2,809,000 (Chanzo: Tanzania: Regions, Major Cities & Urban Localities - Statistics & Maps on City Population). Pato la kodi la mkoa wa Kilimanjaro (Rombo, Hai, Mwanga, Same, Mosho mjini na Moshi vijijini) ni 14,236.4 Milioni (Tzsh) wakati lile la Dar es salaam ni 441,000.5 Milioni (Tzsh) (Chanzo: Tanzania Revenue Authority - Kigoma).
Kabla sijaandika zaidi naomba huyu waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA akisaidiana na wapambe wake hapa JF wanieleze ni vipi watazigawanya hizo 14,236.4 milioni Tzsh katika huduma za matibabu (hospitali, zahanati na elimu ya afya), Polisi, utawala mkoa na wilayani, pembejeo, na Elimu (mishahara ya walimu, ukarabati na stationaries).
Mkishindwa kufanya hivyo maana yake ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE NI PROPAGANDA YA UONGO. Vinginevyo mlitaka kutumia pesa ya walipa kodi wa mikoa mingine kuendeleza mkoa wenu maana kiuchumi haiwezekani Kilimanjaro yenye wakazi 1441000 iwe na shule kupita Dar es salaam yenye wakazi 2,809,000.
Nasubiri majibu yenu kabla sijaendelea na sekta nyingine.
kama sasa hivi tu cdm inawachangisha wananchi pesa za kufanyia uhuni na kuongeza wake je wakishika nchi naamini hata bahari itagawiwa wiwanja
Hii ni akili muflisi kabisa. Hivi slaa alipiga kampeni kuendeleza shule za kilimanjaro?. Suala la ukanda ulililolilete hapa jamvini - Jiulize kwanini CCM unayoitetea wewe tangu uhuru imetoa madaraka makubwa kwa watu wa kanda ya kaskazini zaidi kuuliko mahali pengine? Mawaziri wakuu J.K. Nyerere, J.S. Warioba, E. M. Sokoine, Frederick Sumaye, E. Lowassa na cleopa Msuya (Wote hawa wametoka kaskazini na tena ni wakristo). Wanne tu toka mahali pengine - Salim A. S., (Zanzibar); R. Kawawa (Kusini), S. J. Malecela (Dodoma), M. K. Pinda (Mpanda). HIKI NI CHAMA CHA KIKANDA (CCM).Mkishindwa kufanya hivyo maana yake ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE NI PROPAGANDA YA UONGO. Vinginevyo mlitaka kutumia pesa ya walipa kodi wa mikoa mingine kuendeleza mkoa wenu maana kiuchumi haiwezekani Kilimanjaro yenye wakazi 1441000 iwe na shule kupita Dar es salaam yenye wakazi 2,809,000.Nasubiri majibu yenu kabla sijaendelea na sekta nyingine.
Mapato ya serikali yakisimamiwa vizuri na ufisadi kudhibitiwa katika maeneo yoyote hakuna kikwazo ktk mpango wa kutoa elimu Bure!.. Kama hili lingekuwa haliwezekani hata mabosi wako wasingezungumzia huduma za bure na pension kwa wazee. Wanaosomesha hivi sasa wanapata wapi fedha za kusomesha watoto wao kama nchi yetu ni maskini kihivyo?.. Serikali itashindwaje?. Wanaosomesha nani anawalipa?..ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE.
maana kiuchumi haiwezekani
Kilimanjaro yenye wakazi 1441000 iwe
na shule kupita Dar es salaam yenye
wakazi 2,809,000.
Ala! kumbe haya umefurahi? sasa