Propaganda za uongo: Elimu bure, CHADEMA ikishinda

Propaganda za uongo: Elimu bure, CHADEMA ikishinda

umejitahidi sana kutafuta takwimu, nakupongeza kwa hilo. Umesahau tu jambo moja kuwa kilimanjaro sio nchi. Ni sehemu ya nchi. Katika hizo ongeza gawio zitokanazo na raslimali za taifa (Madini, Bandari, Bahari, Maziwa, n.k) uone kama inawezekana au la.

Jamani hebu tuzungumze NAMBA. Hivi mlitarajia sh ngapi zitoke makao makuu kwenda Kilimanjaro ikiwa kama CHADEMA INGESJHINDA. Kweli mlijianda kwa Namba kamili au mlifanya mahesabu ya nchi nzima tu. Sasa mnachoficha ni nini? Hatutawazonga tunahitaji Tzsh za elimu Kilimanjaro.
 
Kuna umuhimu wa kuweka vigezo vya kupost thread hasa jukwaa la siasa.Mtoa mada hajui ata nini maana ya propaganda,kuna watu mfano kwenye cha ya nyinyiem anaitwa kiongozi wa PROPAGANDA NA UWENEZI SERA sijui kama unajua ilo.!
 
Hapana. Mikataba inaweza kuvunjwa bila gharama yeyote. Hii imefanyika nchi nyingi tu kukiwemo na Zaire ya Kabila na Zambia. Hii dhana kwamba kuvunjwa kwa mikataba kutatuweka katika hali ya Dowans inaendelezwa na mafisadi kwa sababu wao ndio wanaoendelea kufaidika na mikataba hiyo. Tukishampata Sata wetu atafanya yale yanayotokea Zambia. We need regime change and we need change of direction.

Usemayo ni kweli na sikweli. Kuwa huko Zaire mikataba ilivunjwa ni kweli lakini unachoshindwa kuelewa ni kuwa wakati unafanya hivyo uko mgongoni kwa nani. Kwa mfano Libya leo mikataba yote inaweza kuvunjwa kwa masaa tu. Kwa sababu nia ya vita vyenyewe ilikuwa ni kugeuza mikataba toka kundi 'A' kwenda kundi 'B'. Unajua kesi ya fisi........

Lakini kwa suala la Tanzania ni gumu kwa vile mwenye mikataba ndiye mwenye Mahakama ya kimataifa....... Uganda iliwalipa wahindi wote mali yao... Wakati watu kibao duniani wamedhurumiwa ardhi zao na mali zao hutasikia wanalipwa.

Hii dunia imekaa kivyake vyake ndugu yangu, wala haina haki. Hayo ninayokwambia ndio majibu JK aliyopewa na Uingereza, Canada na Marekani. Sasa wewe sisi mizi utafanya nini.
 
Topical mbona unanishangaza? How old are you? Hujui IDD AMIN alichofanya Kagera. Yaani wewe ningekutukana vibaya hujui ndugu zangu na babu zangu waliokufa huko Minziro walikuwa wangapi yaani wewe zuzu. Akili zako kama za JK ambaye haijui Dowans, Hajui kwa nini Tanzania ni Maskini. Na wewe upo upo.
Topical hajui lolote zaidi ya uongo unaoenezwa na mihadhara ya wahuni pale manzese na magomeni kuwa "CHADEMA ni mfumo Kristo"
 
Nenda kaulize kwanini Kenya Elimu bure inawezekana wana nini zaidi yetu.
 
Sijakueleza kuwa CCM uchumi wanaujua, unaweza kusoma thread na hoja zangu zote. Ninachokieleza hapa ni kuwa Hoja zenu za ELIMU BURE HAMKUZIFANYIA UTAFITI- MLIKURUPUKA TU. Kwani hayo ndio wananchi walipenda kusikia, mlishindwa kuwaeleza kile wanachopashwa kusikia.
Wewe mbaguzi wa rangi uliekosa adabu, rudi kwenye tuhuma zako za kibaguzi kwamba "waafrika hawajui uchumi". Wala usinilazimishe kusoma thread na unachoita hoja zako, kwani huna hoja zaidi ya "naive arrogance" inayotokana na ushabiki wako wa kisiasa pia ufinyu wako wa kuchambua uchumi.
 
Haya mimi nina ufinyu wa kuchambua uchumi. Sasa wewe mpevu wa Uchumi niporomoshee mambo ili niyakubali. Nafahamu fika kuwa uchumi unaujua lakini hebu waonyesha wana JF hapa uwanjani.
 
Haya mimi nina ufinyu wa kuchambua uchumi. Sasa wewe mpevu wa Uchumi niporomoshee mambo ili niyakubali. Nafahamu fika kuwa uchumi unaujua lakini hebu waonyesha wana JF hapa uwanjani.
Futa kauli yako kwamba "waafrika hawajui uchumi".
 
Futa kauli yako kwamba "waafrika hawajui uchumi".

Wewe hakikisha hapa kuwa unaujua uchumi, kwani tabu iko wapi. Usije tu ukanionyesha B. COM YAKO sihitaji nahitaji maandishi hapa. Kama huwezi si ukubali tu. Au nimekupa misifa ya bure wakati uchumi huujui.
 
Your naive academic arrogance signifies your doom. Goodbye!
 
Katika hilo lakutoa elimu bure nakuunga mkono mtoa mada,cdm walilisema sana ktk kampeni huku wakijua ni uongo hawawezi,hata yule mbunge wa ilemela aliwadanganya watu kua elimu itakua bure na michango yashule itakua marufuku akichaguliwa kuwa mbunge,matokeo yake sasa michango imezidi na hakuna cha elimu bure,wapiga kura wa ilemela wakamfata nyumbanikwake kumuuliza mbunge wao kulikoni iwapi elimuyabure?mbona tunachangishwa michango kamakawaida?aliwatimua akafoka akawambia hapa hakuna ofisi yamalalamiko ondokeni,sasa anakesi yakupigwa ubungewake watu wa ilemela wanaomba ubungewake utenguliwe uchaguzi urudiwe wameapa hawampi kura,wanajuta kumchagua mtu aliewadanga na ambae ni fedhuli,akumbuke kilichomuangusha masha ubunge atapata jibu.
 
Your naive academic arrogance signifies your doom. Goodbye!

Lala salama, lakini ni lazima utaota maneno yangu maana ukweli hukaa kichwani muda mrefu na hujirudia usingizini ama ukipenda unawea kuuita NDOTO.
 
Katika hilo lakutoa elimu bure nakuunga mkono mtoa mada,cdm walilisema sana ktk kampeni huku wakijua ni uongo hawawezi,hata yule mbunge wa ilemela aliwadanganya watu kua elimu itakua bure na michango yashule itakua marufuku akichaguliwa kuwa mbunge,matokeo yake sasa michango imezidi na hakuna cha elimu bure,wapiga kura wa ilemela wakamfata nyumbanikwake kumuuliza mbunge wao kulikoni iwapi elimuyabure?mbona tunachangishwa michango kamakawaida?aliwatimua akafoka akawambia hapa hakuna ofisi yamalalamiko ondokeni,sasa anakesi yakupigwa ubungewake watu wa ilemela wanaomba ubungewake utenguliwe uchaguzi urudiwe wameapa hawampi kura,wanajuta kumchagua mtu aliewadanga na ambae ni fedhuli,akumbuke kilichomuangusha masha ubunge atapata jibu.

Watajuta kuwachagua wengi wanaowadanganya. Lakini yote 9 kumi ni hili la Mh Slaa, si kwamba tutajuta bali IKULU HAIONI KABISAAAAA.
 
Katika hilo lakutoa elimu bure nakuunga mkono mtoa mada,cdm walilisema sana ktk kampeni huku wakijua ni uongo hawawezi,hata yule mbunge wa ilemela aliwadanganya watu kua elimu itakua bure na michango yashule itakua marufuku akichaguliwa kuwa mbunge,matokeo yake sasa michango imezidi na hakuna cha elimu bure,wapiga kura wa ilemela wakamfata nyumbanikwake kumuuliza mbunge wao kulikoni iwapi elimuyabure?mbona tunachangishwa michango kamakawaida?aliwatimua akafoka akawambia hapa hakuna ofisi yamalalamiko ondokeni,sasa anakesi yakupigwa ubungewake watu wa ilemela wanaomba ubungewake utenguliwe uchaguzi urudiwe wameapa hawampi kura,wanajuta kumchagua mtu aliewadanga na ambae ni fedhuli,akumbuke kilichomuangusha masha ubunge atapata jibu.
Wewe kweli ni mbwiga, kwani mpaka leo hujui ni chama gani kinaunda serikali na kutekeleza sera zake? Sio lazima uchangie humu hata kama huna chakuchangia kwani hakuna atakaye kulaumu kwa kuto kuchangia.
Kwani unajua hukumu yakesi ya kupinga matokeo itakuwaje mpaka uanze kutabili uchaguzi utakuwaje? wewe na mtoa thread wote wachovu waakili.
 
kama mimi mbwiga basi wewe *****,umepitiwa naule usemi usemao ukipenda ukiona chongo utaita kengeza,huyo mbunge aliedanganya watu wa ilemela wakampa kura hata akimaliza huo mudawake wamiaka5 hawezi hata kurudi kugombea tena amelikoroga na atalinywa,na ushahidi upo wa mikanda yavideo alivyowatukana watu waliomfata kumuuliza kuhusu ahadi ya elimu bure,pia kuna ushahidi wa cd wakati wa uchaguzi alivyowadanganya watu mambo mengisana hata aliahidi kuwapelekea maji wale waliokua hawana leo hata kupita jimboni anaona aibu,akipata tena kura ilemela hata masha atakua tena mbunge wa nyamagana,nazani huwajui watu wa mwanza unawasikia tu.
 
Mwalimu NYerere alitoa elimu bure, matokeo yake baada ya miaka 20 nchi ilitembelea magoti. CHADEMA (Mh Slaa) japo ya kujua hilo bado ilisisitiza kutoa Elimu bure kwa watanzania wote ili ishinde uchaguzi 2010, lakini ikaanguka. Hii ni kutokana na ueleo mkubwa wa watanzania na kuelewa kuwa hizo ni PROPAGANDA ZA UONGO.

Wiki iliyopita nilipoandika Thread "CHADEMA NI CHAMA CHA PROPAGANDA" wengi walidai nilete ushahidi au vyanzo vya taarifa hizo. Sikufanya hivyo kwa kuogopa Mod kuifuta habari hiyo. Leo nimeamua kuandika ushahidi wa Propaganda hizo za uongo tukianzia kwenye kipengele cha ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE.

Ili twende hatua kwa hatua naona vyema tuanzie na mkoa wa Kilimanjaro ambako ndio Ngome ya CHADEMA ilikojikita. Naomba waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA aeleze kinaga ubaga ni vipi kwa kutumia kodi ya mkoa wa Kilimanjaro itamudu kutoa elimu bure kwa wananchi wa mkoa huo kabla hatujazungumzia Tanzania nzima.

Mkoa wa Kilimanjaro unaongoza Tanzania nzima kwa kuwa na shule za Sekondari nyingi kuliko mikoa yote ya Tanzania. Una sekondari 288 wakati hata Dar es salaam ina sekondari 252 tu (Chanzo: www.moe.go.tz/NectaResuls). Wakazi wa kilimanjaro ni 1441000 ukilinganisha na Dar es salaam ambao ni takriban 2,809,000 (Chanzo: Tanzania: Regions, Major Cities & Urban Localities - Statistics & Maps on City Population). Pato la kodi la mkoa wa Kilimanjaro (Rombo, Hai, Mwanga, Same, Mosho mjini na Moshi vijijini) ni 14,236.4 Milioni (Tzsh) wakati lile la Dar es salaam ni 441,000.5 Milioni (Tzsh) (Chanzo: Tanzania Revenue Authority - Kigoma).

Kabla sijaandika zaidi naomba huyu waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA akisaidiana na wapambe wake hapa JF wanieleze ni vipi watazigawanya hizo 14,236.4 milioni Tzsh katika huduma za matibabu (hospitali, zahanati na elimu ya afya), Polisi, utawala mkoa na wilayani, pembejeo, na Elimu (mishahara ya walimu, ukarabati na stationaries).

Mkishindwa kufanya hivyo maana yake ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE NI PROPAGANDA YA UONGO. Vinginevyo mlitaka kutumia pesa ya walipa kodi wa mikoa mingine kuendeleza mkoa wenu maana kiuchumi haiwezekani Kilimanjaro yenye wakazi 1441000 iwe na shule kupita Dar es salaam yenye wakazi 2,809,000.

Nasubiri majibu yenu kabla sijaendelea na sekta nyingine.
Bwana mkubwa siyo kwamba napingana na sera ya elimu bure ila naomba tu niongezee facts zako kwamba sera ya CDM pia inasema watakuja na utawala wa kimajimbo which means jimbo la Kaskazini litajiendesha kwa mapato yake pekee. Hata mimi nina wasiwasi kuwa CDM watakuwa wanajutia hiyo ilani, is quite impossible.
 
Ilani ya CDM hai reflect bajeti zao walizotoa bungeni, pia hotuba zao kwa wananchi.
 
kama mimi mbwiga basi wewe *****,umepitiwa naule usemi usemao ukipenda ukiona chongo utaita kengeza,huyo mbunge aliedanganya watu wa ilemela wakampa kura hata akimaliza huo mudawake wamiaka5 hawezi hata kurudi kugombea tena amelikoroga na atalinywa,na ushahidi upo wa mikanda yavideo alivyowatukana watu waliomfata kumuuliza kuhusu ahadi ya elimu bure,pia kuna ushahidi wa cd wakati wa uchaguzi alivyowadanganya watu mambo mengisana hata aliahidi kuwapelekea maji wale waliokua hawana leo hata kupita jimboni anaona aibu,akipata tena kura ilemela hata masha atakua tena mbunge wa nyamagana,nazani huwajui watu wa mwanza unawasikia tu.
Usidhani watu wa Mwanza ni limbukeni kama wewe, na hii inaonyesha jinsi gani hujui hata kazi za mbunge nini, pili mbunge sio sultani kwamba kila kipindi lazima achaguliwe yeye tu, hizo ni fikra duni za wachovu kama wewe. Wananchi wana haki ya kubadirisha uongozi kadri wanavyotaka. Aliye kuambia mbunge aliyepo sasa lazima agombee tena ninani?
 
Tatizo la mikataba ya madini li wazi. Si wana CCM si vyama pinzani haviungi mkono. Tatizo lililopo ni kwamba kuvunja mikata hivyo watanzania tutalipa gharama kubwa sana kama tulivyofanywa Dowans. Na matatizo kama hayo yapo nchi zote za Afrika jaribu kufanya utafiti.

Hawa wenzetu wa nchi za ulaya ni wezi, kwa bahati mbaya wanaishi kwa mtindo huo. Hakuna kingine ni kuendeleza mapambano tu, hasa kipindi hiki wakati uchumi wao uko hatarini.

Jambo moja linalonihuzunisha kutoka kwa mtoa maada ni kutojua chanzo cha tatizo linalotupelekea kushindwa kulipia gharama za elimu. Mtatizo haya yote ya mikataba ya madini na ufisadi mwingine umeletwa na ccm. Na hata kama Jk amejaribu kuivunja akashindwa ni kwa sababu ya masilahi ya kundi lililo ndani ya ccm!

Kama vile bado hawajajifunza wamekwenda tena kuwekeana saini mikataba ya kuuza ardhi huko Marekani, ili vizazi vijavyo vishindwe kujitoa ktk ukoloni huu mpya unaoletwa na ccm.

Suala sio kugharamia elimu kutoka ktk vyanzo gani? Bali ni kuvunja kabisa mfumo mbovu uliopo wa kukusanya kidogo na kutumia sana na kuweka mfumo wenye mizania kati ya matumizi na mapato na kisha kuchagua vipaumbele vya matumizi.

Haiwezekani ukawawekea CDM ukusanyaji mapato mbovu uliopo ili wapange matumizi sawasawa na vipaumbele vyao! Hizo takwimu ulizotoa ni kutokana na usimamizi mbovu wa mapato uliopo ambao kwa vyovyote hauwezi kutoa elimu bure!
 
Usidhani watu wa Mwanza ni limbukeni kama wewe, na hii inaonyesha jinsi gani hujui hata kazi za mbunge nini, pili mbunge sio sultani kwamba kila kipindi lazima achaguliwe yeye tu, hizo ni fikra duni za wachovu kama wewe. Wananchi wana haki ya kubadirisha uongozi kadri wanavyotaka. Aliye kuambia mbunge aliyepo sasa lazima agombee tena ninani?
alieniambia atagombea tena ni yeye mwenyewe kwa kauliyake aliitoa ktk mkutano wa hadhara pale viwanja vya sahara,ila kwa sasa hata wazo la kugombea atakua hanatena maana watu wa ilemela wameshamwambia uso na macho au wazungu wanasema live kuwa hata uchaguzi ufanyike kesho bora wachague ng'ombe kuliko kumchagua mtu muongo anaewatukana wapigakurawake.
 
Back
Top Bottom