Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

Yaani huu ni kati ya uchambuzi wa hovyo kabisa niliyowahi kuusoma hapa jf.
Yaani mtuhumiwa anatoa mada ya uchambuzi, je tutegemee nn? Akiri kuwa ni mhusika au atakana kuwa hausiki.
Hata mwizi akikamatwa na mkungu wa ndizi daima atasema "WANASEMA ETI NIMEIBA"
Hii ina maana hajakubali kuwa kaiba.
Kafie mbali na CHAMA CHA MAUWAJI. ( CCM)
Hamna uchambuzi wowote hapo......katumia maneno ya kiswahili nakutaja nchi za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stupid!
Alafu unaomba mod wasiunganishe huu upuuzi na za wapuuzi wenzako
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Je,kama ndio wamebadilisha style au unaona hizo aya zako za nne na tano ulizobainisha ndio kama principle.
Bado wewe hufahamu lolote

Aiseeeee hizi threads Za utetezi zimekuwa nyingi why?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada ana proof,kama ndio wakili wewe basi kazi bure.
Umetupotezea muda wa kuitafuta proof yako na haipo.
 
Na Kuna ile mbinu ilitumiwa na Mbowe kwa chacha Wangwe
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
unataka ulinzi wa mods kwani kazi ya mumeo nini? Mwambie akulinde au kwavile umeshakuwa ajuza anahangaika na dogodogo
 
Mtajitetea sana lakini angalieni mikono yenu bado ina michirizi ya damu ya mtu haifutiki kirahisi kama unavyofikiria.

The government should come clean on this.
 
Hii ndio shida ya kuvimbiwa makande lazima utachafua hali ya hewa bila kupenda
 
Back
Top Bottom