Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,961
Unakuta shindano labda wanafund $10000 or wateva.
Haya mashindano ya miradi huwa yanafanyikaga..mim mwanzoni kichuo chuo nilikua nashiriki..mara total.mara US embassy mara nini
Sasa unakuta walioshinda miradi yao ni ya ajabu ajabu, haiko practical.
Unakuta et sjui matofali ya makopo ya plastic mara sijui takataka mara sijui nini
Yaan miradi sijui app gan ya vijana...yaani miradi ya hovyo hovyo inashindaga ambayo washindi baada ya kushinda ukienda angalia mwaka m1 baadae unakuta mradi sio sustainable..
Sasa unajiuliza hawa wanao judge kufanya uchambuzi na kutoa washindi huwa wanajua nini wanafanya?
Au ndo wapo kisiasa zaidi...
Watu wanaopiga pesa na kuwa na impact moja kwa moja kwenye jamii ni watu wenye miradi ya kawaida kabisaaa...yaani sio hata ya kutumia akili nyiingi
Sasa nasemaje wazungu watambue huku ni africa..sio wana judge mazingira ya kwao wanaleta huku..huku miradi iko mingi ya kawaida na watu wanapiga pesa
Mim toka nimeamua kuto complicate mambo na kuwaza saaana eti cha kufanya na kufanya vilivyopo na kuviboresha na cha msingi ni kuangalia uhitaji katika jamii yako na kufuata misingi ya biashara mambo yamekua rahisi sanaaaa
Wakuu..anzieni sokoni...soko linahitaj nini peleka ....usi complicate saaana sijui nini nini
Uzi tayari....uandishi wa ki daslam huu..wale wajuaj wapite hivi