Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
choo cha stendi tu wewe!
mwanamke anayechutama akienda haja hawi na akili km yako.i
Yupo kazini. Anajua kuwa wapo watakaomgegeda
choo cha stendi tu wewe!
mwanamke anayechutama akienda haja hawi na akili km yako.i
Mods: Naomba msiunganishe huu uzi na ule wa kwanza.....please!
Wapendwa,
kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kabisa kwa wote ambao mliweza kuchangia uzi uliokuwa na title "mume hanifikishi kisawasawa'. Kwa kweli nasema ahsante sana kwa wote mliochangia bila kujali aina ya mchango wenu kwani kila mtu ana upeo wake wa kufikiri, na kikubwa kila mtu ana uhuru wake wa kuchangia anachoamini.
Kwanza kabisa niwatoe wasiwasi wale wote ambao kwa namna moja au nyingine walidhani labda ni story ya kutunga...hapana ndugu zangu ni kitu cha kweli toka moyoni mwangu kabisa. Kwa kweli nilipata ushauri mwingi wa aina tofauti tofauti, na miongoni mwao wengi walinitaka niongee na hubby (Mr. wangu) kwanza kabla ya kufikiria chochote. Nami nikaona ni kitu ambacho kina elements za busara ndani yake..........ilibidi weekend hii nikae nae na kumuelezea kinagaubaga (A to Z) of my concern.
Kwa kweli alikuwa mtulivu na kunisikiliza malalamiko yangu yote kama ambavyo niliombea ushauri kwenye ile thread yangu. Kwanza alishituka sana, nadhani hakutegemea kama ningeongea nae hivi vitu.....lakini kadri tulivyokuwa tunaongea,".......he was slightly getting used to the subject............."
Nilipomaliza akanambia "nimekusikia mama watoto, mimi sina tatizo lolote kazini, sina nyumba ndogo na wala sijakuchoka mke wangu....ila umefanya jambo la maana kuniambia". Alichofanya akaniahidi tu kwamba hali itakuwa "kawaida" kuanzia wiki hii. Sasa ndio nasubiria na wiki imeshaanza. Yaani kwa ahadi hiyo, imebidi leo niende simple shopping ya mambo fulani ya kunogesha mechi kwani kuna wengine walisema huenda rangi ya "chachandu" imemkifu na ushauri mwingi uhusuyo malavidavi
Sasa kuanzia leo nategemea kuendelea kuiona anga katika uhalisia wake kama ilivyokuwa awali.....lakini kama atashindwa kunithibitishia alichoniahidi katika mwezi huu.......nadhani citakuja tena kwenye huu uwanja na mada nyingine ila ni ku-choose wa kurusha nae roho
Katika uzi wangu wa kwanza nilisema ningempa Mr wangu miezi 6, lakini zaidi ya watu 50 walini PM wakitaka mchezo....anyway nadhani kama nitaamua kurusha roho na wa humu ndani....nitatoa priority kwa wale walioni-pm in the first thread. Samahani kama nawakwaza baadhi ya watu kwa hizi threads zangu mbili lakini naomba mnielewe hali niliyonayo.........!
wote 50 wataibuka vinara,,,,, huelewi nini hapo?
wiki ya neema kila la heri bi mkubwa......eeeeehhhh waliokuPM wanaombea isifanikiwe iwe zali la mintali lol
Mungu wangu niepushe nisije kuoa malaya,kwa maana murder kesi itanihusu.Narudia tena wewe binti unachokitafuta utakipata.Ni wazi umemchoka huyo jamaa.Muache kistaarabu mtoto wa mwanamke mwenzio apumue, halafu wew endelea na maisha yako unayoyataka.Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.Time will tell.Pambav

mambo ya kufanya mapenzi yanamambo ya kusubiria mwezi ujao ndiyo uanze kumridhisha mwenzako ?
kwanini asikugeuze hapo hapo na ilikuwa weekend akushughulikie vya kutosha?
hapa nahisi unaagenda ya siri kutaka kuwapanga wanaume wa jf ukimwaminisha kila mmoja kuwa yeye ndiyo aliyechaguliwa.