Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,379
- 21,717
Sasa dadaa!!! Katika wale mafirauni 50, ikitokea yule uliempa kipaumbele akaperform below hata ya hubby wako, utarudi tena PM na ku'select the next 1...??? Ikitokea na next 1 ndo walewale utarudi tena ku'select the next 1 au uta'peak randomly???
Halafu jambo lingine tena... Unafikiri hao utakaorusha nao roho wamesharushana roho na wangapi kabla yako??? Unaamini kuwa unaweza kumpata mwanamke mwenye heshima zake ambae yupo tayari kumgegeda mke wa mtu???
Swali la mwisho: Ikitokea kati ya wale unawapa vipaumbele miongoni mwao akadondokea hubby wako wako itakuaje mkikutana??? Mbaya zaidi ameshakutanguliza katika kitanda cha uzinifu, anapofungua mlango unakuta ni mumeo, itakuaje hapo???
Ushauri wangu; Jikongoje tu na mumeo kuna siku atarudia ktk performance za ujana wake!!! Trust me, hakuna mwanaume anayejua kua hakufikishi then akawa'comfortable tu! He is working on it, u have to be patient...!!! Maisha ni safari, leo kwake kesho kwako, muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio... Fikiria kuhusu watoto wako watahisije ikiwa wanagundua kuwa mama yao anajaza wanaume 'yutong na anakula kichwa kimoja baada ya kingine, what a shame!!!! Infact hata ukipata dushelele ya dhahabu raha yake itaishia palepale akishakojoa tu majuto yake yatabaki kama kovu ktk nafsi mpaka siku ya kuhukumiwa na Mungu!!!