Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,104
- 43,357
Mzee Mwanakijiji na siasa zako za Dr.W.Slaa hazitasadia chochoteOperesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!
Naona mwaka huu lazima uolewe.Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!
Mwonyesha huyooo, watu huku wanashamrashamra za kuipokea tanzania mpya yeye anataka turudi tena kwa mafisi. No way
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!
Mwanakijiji tuache mkuu tuamue wenyewe tupo kwenye uwanja wa mapambano mbona wewe ulikimbia unaishi na Obama hata hujui shida zetu bwana