Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,097
- 43,309
Program Note:
1. Kundi letu la OZ (Operesheni Zinduka) kwenye Whatsap tayari limeshajaa (watu zaidi ya 100) ndani ya masaa 24! Na kuna wengine wengi ambao bado hawajaingia - tulifanya kwa first come basis). Kama haupo humo ndani tunaangalia utaratibu mwingine. Kuna wengine tunawachomoa humo kwa sababu wanaleta lugha za matusi na wanashindwa kujibu hoja hivyo tunawatimua tu. Hoja hujibiwa kwa hoja - simple as that.
2. Operesheni Zinduka 5 inaendelea kesho na mada moto moto ya kuvunjilia mbali mojawapo ya hoja dhaifu zinazotolewa katika kudai "mabadiliko" ati wanataka (wale waliomkubali Lowassa na mambo yake yote) kuiondoa CCM madarakani ili kuonesha kuwa "Tanzania ni yetu sote". Usikose mada hiyo moto moto. Nipe dakika 10 hivi nitakupa masaa yako 24!
3. Kama kawaida nimeshangaa watu wengine ambao tayari wamemkubali Lowassa na wameshaamua kumpigia nao pia wanaingia OZ... kule ni kwa wale ambao hawajafanya maamuzi tu wanataka kubadilishana mawazo. Tunawakaribisha lakini kama hutazingatia hilo la 1 tutakutimua tu. Siku 14 hatuna wa kumpa maonyo.
MMM