Wakati mwingine GT unatulia kweli, lkn wakikugusa mahali pako mhh, inakuwa taabu kweli.
Nadhani mjadala haujaanza kwani wengi walikuwa wanasoma kwanza report yenyewe na pia ilikuwa katika harakati za kusambaa. Thread ya kujadili report yenyewe nadhani ndio inatakiwa itoke sasa. Si hata muswada unaandaliwa na kusomwa kwanza na wanakamati pamoja na wajumbe kabla ya kuwekwa mezani?