Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Habari nyeti zilizonifikia zinadokeza kuwa kutakuwa na mjadala motomoto wa ripoti juu ya Meremeta siku ya Jumapili kuanzia kama saa 1.30 za asubuhi kwenye StarTV... Hope u'll be there!
Ripoti juu ya Meremeta??? ukimaanisha ile uliyoitoa? utakua ni mjadala usio na tija kwa kua si uma wote wa watanzania wameiona ripoti hiyo (ni watu wasio zidi mia mbili tu wameiona) kwa maana nyingine watakua wanajadili kitu kisichojulikana (hiyo ni kama tu watajadili ripoti ya meremeta uliyoitoa wewe na timu yako!)Habari nyeti zilizonifikia zinadokeza kuwa kutakuwa na mjadala motomoto wa ripoti juu ya Meremeta siku ya Jumapili kuanzia kama saa 1.30 za asubuhi kwenye StarTV... Hope u'll be there!
Mawazo matatu! uko sayari gani? mbona wameiona watu wengi tu? wewe unaishi wapi ujaisoma?Ripoti juu ya Meremeta??? ukimaanisha ile uliyoitoa? utakua ni mjadala usio na tija kwa kua si uma wote wa watanzania wameiona ripoti hiyo (ni watu wasio zidi mia mbili tu wameiona) kwa maana nyingine watakua wanajadili kitu kisichojulikana (hiyo ni kama tu watajadili ripoti ya meremeta uliyoitoa wewe na timu yako!)
wataoa mjadala ni nani? isijekuwa ni wazee walewale wa chichiem, hapatakuwa na maana
Ripoti juu ya Meremeta??? ukimaanisha ile uliyoitoa? utakua ni mjadala usio na tija kwa kua si uma wote wa watanzania wameiona ripoti hiyo (ni watu wasio zidi mia mbili tu wameiona) kwa maana nyingine watakua wanajadili kitu kisichojulikana (hiyo ni kama tu watajadili ripoti ya meremeta uliyoitoa wewe na timu yako!)
Mawazo matatu! uko sayari gani? mbona wameiona watu wengi tu? wewe unaishi wapi ujaisoma?
Ngoja nikufikirishe kidogo. Mimi nina familia ya watu 8 kwangu na wote wameisoma, sasa kama zilitoka kopi 150 je wamesoma kweli 200?
Hata hivyo JF si wachoyo, chonde chonde wataiweka hapa. Ila mimi ningekushauri upate ya kwako. We lipia tu, Acha kutaka kila siku usome kila kitu bure! Mbona shule mnalipa jamani
Ninaomba Link maana mie niko juu ya Mlima Kilimanjaro nachoma mkaa ili niweze kufuatilia .Je kuna link ya kuona LAIVU ?
Mkuu Mwanakijiji.
Naamini ni busara watanzania kwa ujumla au baadhi kwa niaba ya wengine tukakupa KONO kutokana mchango wako katika hili. Serikali ilikuwa imetulia tu ikiwa ni pamoja na Bunge kuhusu hili. Sasa naona matumbo yameshaanza kuwa moto kwa wahusika baada ya kuona kile ulichokisema hapa na kwenye wesite yako juu ya Meremeta. Hongera mkuu.
UKOMBOZI HATA KATIKATI BADO HAUJAFIKA, KAZA BUTI BABU.
Habari nyeti zilizonifikia zinadokeza kuwa kutakuwa na mjadala motomoto wa ripoti juu ya Meremeta siku ya Jumapili kuanzia kama saa 1.30 za asubuhi kwenye StarTV... Hope u'll be there!