Profile Matata ya JF!

Profile Matata ya JF!

hakuna profile kali kama ya AD acheni kubana...iam sure hata huyu mpoleeee hajawahi kuitembelea.
 
Ukiwa hivi,
images
mara nyingi utapenda uonekane
images

Hahahaha. ..
That is SO mean!!
 
Afu wewe! PJ asiponipokelea salam yangu nakufuata hadi kwenu!!!

Weka profile yako tuone kama ni matata!

heheee kweti kuna mjeda getini mtarudi wenyewe...

hahaaa profile yangu nimshoiye nani hapa? I am past this age Miss lady!!!
 
ebu mwacheni mpolee wa watu,kha si kasema lililoko moyoni kwake!!!
 
Kaka mie nakusalimu tu, nimepita hapa nikaona sio vema nkaondoka bila kukupa Hi....
Salamu zako nishazipokea SL.
Mzima weye?
Kama vipi Weka Profile yako hapa tukutathmini!
SASA hivi ujanja Profile bana!
 
heheee kweti kuna mjeda getini mtarudi wenyewe...

hahaaa profile yangu nimshoiye nani hapa? I am past this age Miss lady!!!
Ha ha ha! Umenkumbusha kuna mtu nilimuita "Kishoiya" kidogo antoe roho! Ila tuache utani jf siku hizi imevamiwa na "vishoiya" wengi...

Sasa kama getini kwenu kuna mjeda ole wako nikukamate ukitumwa dukani!
 
Back
Top Bottom