Profile Matata ya JF!

Profile Matata ya JF!

Salamu zako nishazipokea SL.
Mzima weye?
Kama vipi Weka Profile yako hapa tukutathmini!
SASA hivi ujanja Profile bana!
Nashukuru vile umepokea salam yangu....mie mzima wa afya kabisa.... Nna karibia miezi 6 sasa napost via mobile, hiyo profile yangu yenyewe wala sikumbuki yafananaje...sina kazi nayo sana ila usijali nimeanza kujichangisha upya ninunue laptop ingine(nitahitaji na mchango wako pia) nikinunua tu, nawawekea mnifanyie tathmini....lolz.
 
Ha ha ha! Umenkumbusha kuna mtu nilimuita "Kishoiya" kidogo antoe roho! Ila tuache utani jf siku hizi imevamiwa na "vishoiya" wengi...

Sasa kama getini kwenu kuna mjeda ole wako nikukamate ukitumwa dukani!

dukani siendagi ndani kwetu kuna supamarikiti....

heheheee waache amabao umri na interest zinaruhusu washoiye bana

Mpoleeee kawajulia kweli watu, kila siku lazima awatibue nyongo lol...
 
Ukiwa hivi,
images
mara nyingi utapenda uonekane
images

Hahahahahaha!! Dah ngoja nikaendelee kuchekea nje...lol
 
Bado kidogo mtaanza kuchakachua profile za wenzenu ili muonekane mko juu, JF bana!
 
dukani siendagi ndani kwetu kuna supamarikiti....

heheheee waache amabao umri na interest zinaruhusu washoiye bana

Mpoleeee kawajulia kweli watu, kila siku lazima awatibue nyongo lol...
Daaah! Asee kumbe kwenu matajiri hivyo?.... Afu anatibua huku akijua kabisa kuwa anatibua,...lol..
 
Daaah! Asee kumbe kwenu matajiri hivyo?.... Afu anatibua huku akijua kabisa kuwa anatibua,...lol..

mafogo sisi....usiponipiga ntakuibia vitu nikuletee...lol

SL mwacheni mpolee bana, mbona bebii alianzaga hivi hivi, kwani hadi leo yuko hivo?
 
fafanua...lol!!

halafu nahisi kama Mpoleee yuko kwenye ka stage fulani hivi kaukuaji (kiJF) akikapita hako tu basi

Hehehe kwani wewe unaonaje?
Sura ya ukweli, sooth as a baby's bottom
Dogo hilo?
 
mafogo sisi....usiponipiga ntakuibia vitu nikuletee...lol

SL mwacheni mpolee bana, mbona bebii alianzaga hivi hivi, kwani hadi leo yuko hivo?
He he he! Jumatatu iba hela tuje tununue ngubiti na ufuta... Kweli mie ngoja nimwache mpoleeee ajivinjari kwa raha zake...
 
He he he! Jumatatu iba hela tuje tununue ngubiti na ufuta... Kweli mie ngoja nimwache mpoleeee ajivinjari kwa raha zake...

Acha choyo mwaya... Profile haina brand!! Hahaha
 
fafanua...lol!!

halafu nahisi kama Mpoleee yuko kwenye ka stage fulani hivi kaukuaji (kiJF) akikapita hako tu basi
Una bahati umesema (kiJF) vinginevyo nisingekuelewa!
 
kumbe ndio man wat wanamwag mipovu profl hazina mvuto kabis. nawalatea angalau zinazowez fikia yang.
 
Hahaha! Gee mimi sio mchoya bana... Subirini nawawekea mda sio mrefu.

Hehehe tunataka profile yenye jina! Ukiiona tu uikubali bila ya kufekenyafekenya

Tumbuiza kwa salaam na wimbo :]
 
Back
Top Bottom