Profile la kijana mkataa ndoa

Bhna nyingi kampost mkew kama nne ni huzuni picha hazina quality blue sio blue njano sio njano na mwenyew na pensi lake taasisi kubwa😂😂😂
Yote kheri sio Kwa maguni ya vitenge Yale ameshona solo 😂😂😂kama anaenda kwenye kipaimara
Umeanza lini kuwa Afisa mpelelezi ?
 
Nilisoma comment yake mara 2 naacha naingia profile naangalia nikasema hamna nikarudia 😂😂😂😂Yani alinote humu kama ilivo kwa hali Ile ndoa asikatae aikimbie kabisa sio Kwa taasisi Ile 😂😂😂
Tareek
 
Nilisoma comment yake mara 2 naacha naingia profile naangalia nikasema hamna nikarudia 😂😂😂😂Yani alinote humu kama ilivo kwa hali Ile ndoa asikatae aikimbie kabisa sio Kwa taasisi Ile 😂😂😂
Tareek
Operation ilichelewa asingekuwa na taasisi ya misukule
 
😂😂😂Mengine hayavumiliki ukikaa nalo rohoni linakukaba unakufa😂😂😂
Dunia ya sasa ni kuviziana.
Wasiopendana kuishi Pamoja
FB_IMG_16730876117946524.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom