Profile la kijana mkataa ndoa

Wewe ndio huelewi, kwani unahudumia kitu gani hadi utengeneze kizazi masikini? Labda kama unageneralize ideas za wengine na kunirundikia mimi.

Yaani we unaamini kabisa wote ambao ni matajiri/sio watumishi/wamejiajiri hawahudumii wake zao?

Ukisikia kuhudumia unahisi ni kufanyaje? Kununua Ferari au? Jaribu kuwa realistic acha mihemko.

Btw, unataka kusemaje? Kwamba tukae pale tukusubiri uwe tajiri/ufanikiwe sababu umetuambia huhudumii mkeo? na mkeo si tapeli? tukupe miaka mingapi ya kutokuhudumia mkeo ili uwe tajiri? Tukupe miaka mingapi ya kufanya kizazi chako kiwe tajiri sababu huko hamuhudumiani na si matapeli? Hivi hata unakisoma unachoandika🀣🀣🀣

Halafu unaamini kabisa waume zetu hawajafanikiwa "hata kwa hatua ndogo" sababu wanatuhudumia?

Binafsi nakutakia ufanikiwe sio kwasababu ya kuprove theory zako zinafanya kazi, na kama isipokuwa hivyo tupo tumekaa paleeee, maandishi hayafutiki!
 
Wewe ndio huelewi, kwani unahudumia kitu gani hadi utengeneze kizazi masikini? Labda kama unageneralize ideas za wengine na kunirundikia mimi...

Uliwahi sikia serikali inajihudumia?
Maana MTU anaweza kuwa amesoma lakini Hana Akili ya kuchambua mambo.

MKE ni sehemu ya Serikali ya familia, ni sehemu ya mpanga Bajeti ya familia, ni sehemu ya utawala anahudumiwaje?

Sasa tatizo Vijana watazidi kuliona.
Ni hatari Kwa kweli.
 
Watu watapata shida sana kuargue na wewe sababu unapenda kucheza tu na maneno.

Wacha janja janja waambie vijana mke anahudumiwa na mume anahudumiwa. Kwahiyo wakukataa ndoa wakatae mapema kabisa πŸ˜€
 

 
upendo hujionyeshi unajionyesha wenyewe?!,....how...namaanisha hakuna kuonekana upendo kama hakuna physically vitu vinavyouonyesha huo upendo,usitudanganye uwe passive tuu halafu mkeo atafsiri kuwa passive kwako ndio kumpenda?!......

halafu nilisema ulimpa biskuti mkeo siku za uchumba ila nimegundua hata uchumbani hakupata hata biskuti....wewe mahusiano yako hayatadumu, i can bet with my life!
 
Nimeanza 2001 rasmi nikiacha labda mazingira hayaruhusu Tena yakibana nitapiga bafuni Hadi Sasa kila siku Nina minimum bao mbili na siumwi acheni kujificha kwenye nyeto nyie mnamatatizo yenu

Nyeto Ni afya

nyeto haiui

Nyeto Ni utii

Nyeto ni daima
 
Naona unaenjoy Series hii ya Sukuma Ndoa
Inafurahisha sana watu waongo ssana ukikazana kubishana utachoka
Sikumoja nilikuta comment kwenye ukurasa wa jf Instagram iyo comment niliona humu jamaa kainote kma ilivo ya kataa ndoaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kaandika kma huku ni ulimbukeni sijui nn, πŸ˜‚

Looh nikasema ngoja nimchungulie ni nani jamaa anamke nanwatoto wawil wapo kijijigani sijui mke kavaa gauninlake la kitengeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚na caption kubwa "taasisi muhimu sio Kwa lilepoz πŸ˜‚πŸ˜‚ wamechokaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeanza 2001 rasmi nikiacha labda mazingira hayaruhusu Tena yakibana nitapiga bafuni Hadi Sasa kila siku Nina minimum bao mbili na siumwi acheni kujificha kwenye nyeto nyie mnamatatizo yenu

Nyeto Ni afya

nyeto haiui

Nyeto Ni utii

Nyeto ni daima
Sawa mzee mwezangu! Kwani JF tunajuana basi?

Niliangalia muvi moja inaitwa Tedy K i guess, yule mzee alikua anaishi mwenyewe huko porini, hadi uzeeni anapiga punyeto hivyo naamini inawezekana kabisa.

Ila kidogo alikua mentally disturbed, hakuwa sawa. Sijasema wewe hauko sawa lakini πŸ˜‚
 
We nawe zile sio picha zao bila shaka alifosiwa tuu au we huoni ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…