Profile la kijana mkataa ndoa

If and only of wishes were horses even baggers would ride!

Mkuu una maisha! ujue sisi masikini tuna shida sana, tunawaza kazi tu, kumbe matajiri mnawaza kupiga nyeto 4 times a day! 🀣🀣🀣🀣
 
Sipng mkuu [emoji817][emoji117][emoji817][emoji817]
Kuna fact kwenye maneno yako
Kwani si tulishakubaliana kataa ndoa wote ni mashoga

Mwanaume halisi huwezi ukakaa unapiga kelele "kataa ndoa" tena unamwambia mwanaume mwenzio unamaanisha nini!!!
 
si mnasema wanaopiga nyeto wabinafsi siyo nyie ?
kwamba kuna dada flani huko limekosa chapaa yangu ya kuhudumia

ndiyo maana mnatutukana sie mahanithi, sisi ni upinde
Sorry sorry sorry, usinijumuishe kwenye mawazo ya wengine. Punyeto ni afya na inaepusha mengi kama mtu huna mpenzi mwaminifu.... Na mimi nashauri hivyo.

Narudia tena... Mimi ni mtu ninayejali well being ya wengine... na nakwambia 3 times a day sio afya.

Sina nia mbaya.
 
Sasa kama unafikiri ndoa ni sehemu ya maonyesho basi atakayekuoa anakazi nzito Sana.
Nilikuwa majibu Kwa ajili ya wasomaji sio kwaajili yako.
Najua wewe upeo wako upo Chini.

Mpaka unawaza valentine's Day inamaanisha hata hujafikia Akili za kuitwa Mwanamke. Bado ni msichana.

Na ndoa haipo kwaajili ya wasichana ambao hawajakomaa kimwili, kihisia, kiroho na Kiakili.

Aiseeee! Japo mimi ni open minded ila hii yako ina bounce! Kuhudumiwa ni kuhudumiwa hakuna definition nyingine acha kukaza kichwa.
πŸ˜‚

Na hapo ndipo unathibitisha ndoa ni Utapeli na Unyonyaji.
Ikiwa ninyi ni mwili mmoja hakuna kitu kinachoitwa kuhudumiwa. Sijui wapi huelewi.
Na kitu Hilo kikiwepo Utapeli haueipikiki.

Ndio maana Vijana hawataki hizo ndoa zenu za kitapeli.

Wewe kama unamuona MKE wangu Hana furaha Kwa Mtazamo wako WA kitapeli upo sahihi. Kwa sababu Ipo furaha ya kweli na furaha ya kitapeli.

Kuoa Mwanamke mwenye mtizamo wa Aina yako huwezi Jenga familia, zaidi mtaishia kuwa na kizazi Maskini na watumishi tuu.

Ukishaleta mambo ya kuhudumiwa matokeo yake ndio hayo ya unyanyasaji, Kwa sababu mtizamo wa kuhudumia haujajengwa na Upendo. Sijui kama hata unaelewa.

Upendo hauhesabu mabaya, lakini watoa Huduma lazima wahesabu, na wapewe Huduma lazima wahesabu. Na ndio hapo unaambiwa hakuna Ndoa hapo.
 
Kama kuna sababu za kuoa, vivyo hivyo kuna sababu za kutokoa. Kila mtu aishi kwa misingi aliyojiwekea.
 
Muonyeshe mkeo upendo,eti ndoa sio sehemu ya maonyesho ya upendo, wewe umebugi halafu unajifanya kukaza shingo! .....eti ulikua unajibu kwa ajili ya wasomaji, unajihangaisha bureee wasomaji wanajua fika umeandika utumbo, ndoa ni bustani inapaswa kupaliliwa na kutunzwa, wewe kaza shingo hapo ila wasomaji unaowa address wanajua umebugi,,,,,
 
If and only of wishes were horses even baggers would ride!

Mkuu una maisha! ujue sisi masikini tuna shida sana, tunawaza kazi tu, kumbe matajiri mnawaza kupiga nyeto 4 times a day! 🀣🀣🀣🀣
Shida zimekuandama muda wa kupiga nyeto unatoa wapi ,, una week mbili haisimami Wala hulowi kila siku uko na kazi za watu ndo nyie siku mkipata zali unaaibika
 

Upendo hauonyeshwi, upendo unaonekana wenyewe! Hii kichwa yako ngumu mno.

Ndio maana ninyi vichwa panzi ni rahisi kutapeliwa. MTU akionyesha upendo mnadhani anawapenda πŸ˜‚πŸ˜‚

Upendo hauonyeshwi Ila unajionyesha wenyewe.

Kuhusu wasomaji, Kwa habari ya wasomaji wanaume, wanajua like nazungumzia, Kwani Sisi wanaume tunaelewana na tunaakili za kuelewa.
Na Wanawake wachache mno waliojaliwa.

Ila wengi ambao hawatanielewa Kwa upande wenu watakuwa wale wa Aina yako. Ambao mnauelewa finyu.
Rahisi kutapeliwa na sio ajabu hapo ni single mother Kwa sababu ya ujingaujinga.

Mnataka kuonyeshwa upendo, mwishowe mnatapelika kijingajinga na wahuni.
Mkiambiwa hivi mnasema mnachukiwa.πŸ˜€πŸ˜€aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…