Profile la kijana mkataa ndoa

Nonsense,kubwa zima linaandika utumbo,nimekuuliza wewe kama wewe,jichunguze una mchango gani kwa huyo uliye nae,hapa tunaongea na wanaume marijali sio nyie wapiga puli,
 
Maisha hayana formula Kama wewe ili upate pesa Ni lazima utoke au uamke asubuh na mapema Kuna wengine Rika lako anafanyiwa au ana shughuli zake eg Mimi sijatoka siku mbili hata kwenda dukani Nina kila kitu ndani home alone lkn nimepata muda wa jf shughuli zangu kwenye pc nimemaliza


Wanawake wawili niliozaa nao Jana KILA mtu kapata gawio nyeto Ni 4times a day kifupi bao nne acha ku crame maisha

Na huo muda wa Kazi Ni upi unaosemea๐Ÿ˜‚ nyie masikini mnachekeshaga Sana kwa hio wewe muda wa kwenda ulipoajiriwa unahisi na wengine Ni hivo?


Mfano Mimi watu wanasema j3 Ni siku ya kazi ila j3 huwa sitoki kwenda popote Ni week hii tu nimebadili ratiba nikatulia Jana na leo KILA my ana kazi yake

Wako watu Tena Ni kazi iliohitaji elimu kazi Ni masaa mawili per day mshahara laki tatu plus Bado tips kula kulala bure acha umbamba
 
Huwezi kunifundisha lolote mpuuzi tu wewe....unaandika mambo mengi yasio na substance,

Tangia ulivyosema upendo unaonyeshwa kwenye uchumba tu nimekudharau nakuona hujui maswala ya ndoa na mkeo yuko very unhappy...pole zake kwa kweli...kwa hio siku ya Valentine's day haambulii japo biskuti kisa alipewa wakati wa uchumba?!
 
kuonyeshwa upendo ni wakati wa uchumba tuu....haaa afu unataka tupate elimu ya ndoa, elimu gani hio unayotoa wewe???!

Sasa MTU umeshaingia kwenye upendo alafu unatafuta upendo, huoni unamatatizo?

Mimi ngoja nikuache maana Upeo wako upo below.
Soma bila mihemko itakusaidia. Sio wewe tuu hata Watoto au wajukuu zako.

NDOA Watu hawaonyeshani upendo. Bali wanaishi Kwa upendo kwani ndoa ni Upendo.

Kama falsafa inakusumbua ngoja nikuache.
Ingawaje umebakiza hatua mbili somo uwe umelielewa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Chakushangaza hujui ni somo gani
K
 
Kabisa shida hatuna bahat kupata watu sahihi lkn ukipata unaenjoy tu
Kabisa watu wengi wanafeli kwenye choice unapofeli hapa unasababisha mahasiano/ndoa isiwe na Afya uko mbele na hapo kwenye choice wengi wanafeli unakuta anaangalia tako, uzuri, kifua ndio kipaumbele chake unasahau vitu msingi kwanza hivyo vingine viwe kama nyongeza tu baada ya kumuoa anayoenda kukuta nako uko anajuta kabisa anaona ndoa mbaya au wanawake wote ni wa ovyo kumbe tatizo la msingi ni sifa aliziangalia.

Unajua upendo wa kweli unaishi lakini ukimpendea kwasababu ya tako sijui uzuri hivyo vyote utavichoka cos utaviona kila Mara. Ukija kwa wanawake nao pia wanaangalia pesa, handsome, six pack, tall, dark black sio vibaya kuangalia hivyo je umemuqngalia kwanza huyo mtu vizuri Unaweza kukuta ana pesa lakini ana roho mbaya, katili na malaya kuna vitu vya msingi Sana vya kuangalia kwa mtu kabla ujakubali kuolewa nae kuliko sifa zake za nje kuzifanya sehemu yakuamua maamuzi ya kuolewa nae
 
Lakini muulize anapataje muda wa kufanya punyeto kutwa mara 3? inamaana muda wa kazi anachukua break ya punyeto? huyu anahitaji msaada wa dhati kabisa chapo hajaweza kukiri.
sihitaji msaada wowote , napiga nyeto mara 3 mpaka 4 kwa siku
kuhusu muda wa kazi, mie ni mtu wa site, napiga mshindo kijiji, narudi town miguu juu ya meza, sitoi hata senti tano kukojoa
 
sihitaji msaada wowote , napiga nyeto mara 3 mpaka 4 kwa siku
kuhusu muda wa kazi, mie ni mtu wa site, napiga mshindo kijiji, narudi town miguu juu ya meza, sitoi hata senti tano kukojoa
Umesahau kuhus bamia๐Ÿ˜€
 
chukua time umeshashindwa wewe, si ulisema upo leo mbona unaaga?????

Kama falsafa zenyewe ndio hizo za kuonyeshana mapenzi kwenye uchumba na sio ndoani baki nazo...

Upeo mdogo ni wewe, hujui ndoa japokua umeoa halafu unafosi kufanya neno lako la kijinga ni sheria kwamba tufuate hata kama clearly una mislead, kwanza hata watoto wadogo wanajua mapenzi ni kama bustani inatakiwa kuendelea kutunzwa kama umeshindwa kujua hili simple fact basi wewe ndio mwenye upeo mdogo.
 

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Si unaona, kumbe Hadi kuna valentine's Day๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hizo zipo kuwakumbusha wasio na upendo kama ninyi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kila Siku ni valentine's Day Kwa wenye Upendo. Kila Siku ni siku ya furaha Kwa wanandoa regardless what,
Zawadi ni anytime anyday, alafu Zawadi kuliko zote ni ninyi Wawili sio hizo mnazopeana.
Kuendekeza Zawadi za kupeana ndio Utapeli wenyewe.

Sasa Kama furaha za Wanawake aina yako ndio za siku za valentine's Day Kwa kweli ninyi mnatype zenu za wanaume๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Yaani siku moja Kwa Mwaka ndio unaita furaha. Daah!
Kuna Watu wanateseka Sana.

Niliapa sitokuja kuoa Mwanamke mwenye Upeo mdogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ