Profile la kijana mkataa ndoa

hujanitukana???, acha unafiki uende mbinguni.....

Sophy kama hana muda wa kugombana na watu asiowafahamu umemuita wa nini kama hukutaka kutugombanisha??? wanafiki kama wewe mfe tu!

Eti nichangie nikiwa nimetulia,,kwa hio umekua mpiga ramli humu ushajua sijatulia...unachekesha!
 
michango ya wakataa ndoa ni mingi mbona hatulalamikii ushawishi wao?
Hii mijadala nimeifatilia sana, trust me ukiwekwa mdahalo kati ya WANAOKATAA NDOA na WANAOIKUBALI NDOA,, 100% Washindi watakuwa ni WANAOKATAA NDOA kwa sababu ya hoja zao kuwa za msingi,,vijana hatujakataa kuoa endapo tu sheria inayomtetea mwanamke na kumpa kiburi itabadilishwa halafu kingine mwanamke anayeililia ndoa ahakikishe thamani yake kama mwanamke (bikra) bado ipo...that's all.
 
Na tabia za kinyonyaji, Utapeli, ndizo Watu wanazipinga.
Watu wanandoa na wanaona Hilo, huyu anajifanya kipofu
 
Wengi ni mashoga au wanadeka
 
Wenye uhakika wa Ndoa wametulia zao saa hizi wanaandaa mambo ya Nyumbani, wewe unatusubiri Watu unaotuita misogynists, hiyo ni Akili au MatopeπŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio nawasubiria sasa tapika basi,nyie si mko tayari kucheza na ngedere sasa mnaogopa nini nikiwasubiria??eti wanaandaa mambo ya nyumbani labda hilo li bepari lako.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa anitha, unakataa MKE wangu haitwi Sophy, unajua jina lake? Au ndio lile la misogynist,

πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukiwekwa mdahalo wa wanaokataa ndoa washindi ni hao kutokana na wewe kuwa kwenye kundi hilo,ina maana judgment yako iko biased tayari, kwa hio sasa hivi hamkatai ndoa tena mnataka walio bikira? makuubwa.
 
Anita kwahiyo unalazimisha vijana waoe??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa anitha, unakataa MKE wangu haitwi Sophy, unajua jina lake? Au ndio lile la misogynist,

πŸ˜€πŸ˜€
Mke wa Misogynist sikujua anaitwa Sophy,nilidhani ni Sophy wa humu ndani,my bad
 
Jibuni hoja zao acheni kuwashambulia personal.. wanakataa ndoa kwa maana inamkandamiza mwanaume. Baada ya talaka mali zinagawanywa wakati mwanaume ndie aliezitolea jasho, mke anaweza kukopa hela kwa jina la mumewe na mume ndie akawajibika kulipa huo mkopo, mume anawajibika kwa matunzo ya mke hata kama mke anajimudu kiuchumi n.k je kuna usawa hapo.

Mnaotetea ndoa jaribuni kuzipangua hoja za wakataa ndoa maana ninachoona huwa mnawqshambulia wao binafsi kama mashoga, madomo zege, wanakwepa wajibu wao, hawajiamini n.k ila hoja zao mnaziluka
 
Na tabia za kinyonyaji, Utapeli, ndizo Watu wanazipinga.
Watu wanandoa na wanaona Hilo, huyu anajifanya kipofu
Nimeshamtolea na mfano kuwa kwanini humu threads za wanandoa wengi zinaelezea mabaya kuliko mazuri? Je hao watu wana-pretend? lakini bado naona anakaza fuvu tu ila naamini ukweli anaujua.
 
Ndio nawasubiria sasa tapika basi,nyie si mko tayari kucheza na ngedere sasa mnaogopa nini nikiwasubiria??eti wanaandaa mambo ya nyumbani labda hilo li bepari lako.

πŸ˜‚πŸ˜‚
Bepari ameniambia hapa nikutumie walau Pesa ya soda ushushie.

Nimemuambia Kwa hasira ulizonazo sidhani hata hiyo soda itashuka achilia mbali kukubali kununuliwa.

Itakuwa ana-pretend huyu, sio ndio Anitha?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeshamtolea na mfano kuwa kwanini humu threads za wanandoa wengi zinaelezea mabaya kuliko mazuri? Je hao watu wana-pretend? lakini bado naona anakaza fuvu tu ila naamini ukweli anaujua.

Alafu huyo Binti hajui kuwa pia wapo Wadada wasiotaka ndoa Kutokana na Tabia za hovyo za Baadhi ya Wanaume.
Atawatukana na haoπŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
Bepari ameniambia hapa nikutumie walau Pesa ya soda ushushie.

Nimemuambia Kwa hasira ulizonazo sidhani hata hiyo soda itashuka achilia mbali kukubali kununuliwa.

Itakuwa ana-pretend huyu, sio ndio Anitha?πŸ˜‚πŸ˜‚
Atakua anapretend kabisa,sikujua udhaifu alionao sio ku pretend tu na unafiki anao,utampaje soda mtu usiyemjua kivuli cha mtandaoni? unajuaje kama Anitha ni kimbwa tu kina type???? yaani pretender plus unafiki na wewe mwenye views za ajabu, hio couple yenu kiboko!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…