mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,791
Acha kututisha.kwanza hao wameshakula sana hii nchi.tangu waanze kuchimba madini hela zao zimesharudi na faida juu.Hivi watu wengine mkoje lakini? Hiyo vita itapiganwa kwa jeshi? Subirini tu,, time will tell!!
Jililieni ninyi na mibunge yenu mitaahira ya CCM,, ndo ilipitisha haya makitu kwa sauti kubwa za ndiyooooooooooooo wakidhani kwamba wanawakomoa upinzani,, sasa inakula kwetu ngoja tutulize vyetu!!Acha kututisha.kwanza hao wameshakula sana hii nchi.tangu waanze kuchimba madini hela zao zimesharudi na faida juu.
Ni wakati wa kupambana na nchi inufaike.
Angalia saudia mafuta yanawatoa.wawekezaji wapo.lakini mikataba ina faida kote kote.
Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Kanajifanya kamungu au kasomi kweli kweli kuliko yoyote yule TZ! Zuzu kabisa, kwanza ndio wale wenye vyeti vyenye mashaka mashaka...Hawa ndo wanatakiwa wakabidhiwe kwa makonda awatandike sasa maneno gan ya vitisho kwa mukulu haya we unamtisha mzee mwwny jeshi?
Umeona hapo chini sio kulialia kama kuku mjane.Hizi taarifa zenu za uongo kuna siku zitawatokea puani. Sijui mnafanya kazi hiyo kwa manufaa ya nani.
Unaongea maneno kibao bila hata kuweka hiyo source. Vilevile sijawahi kumuona Muhongo kwenye twitter.
Huu si wakati wa kulaumiana.Jililieni ninyi na mibunge yenu mitaahira ya CCM,, ndo ilipitisha haya makitu kwa sauti kubwa za ndiyooooooooooooo wakidhani kwamba wanawakomoa upinzani,, sasa inakula kwetu ngoja tutulize vyetu!!
Tena anatakiwa afukuzwe Hata uanachama wa ccm ili apoteze ubunge kwenye ESCROW alikuwepo sijui alirudishwaje kwenye cabinetKwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu
Anywe na juice tuliowekeza kwenye viwanda vyetu maana Ndio uwezo wetuAsante Prof kwa utumishi wako... Enenda zako kwa amani ya Bwana. Bwana atatuinulia Haron wa kuchukua kijiti cha Musa na kuindeleza safari... Sasa kapumzike ule mafao yako kwa utulivu...
huyo hata wakati ule wa kashfa wa ESCROW aliwatishia nyau wabunge kuwa akizungumza yote anayoyajua nchi itatikisika.
tunashangaa ametikisika yeye.hayo maonyo yake aliyo-tweet ilitakiwa ayafikishe kwa rais yafanyiwe kazi kuliko kujifaragua kwenye mitandao.
come on man,don't be so cheap!
KIKWETE...nimejibu tu ili kuonesha majibu ni mengi,ila sikua namaanisha uelewe baadhi ya vipande tu,angestukia hii issue ya makontena tu,hata kama yangekua tupu angekua ameonesha uthubutu wa kulinda mali za nchi,tofauti na hapo,elewa tena vipande afu ujeUlikuwa unataka muhongo amshauri nani? Magufuli?
Alikosea since day one mkamtetea hadi mkalia hapa machozi ya damu.Kwahiyo akikosea asisemwe!!
Akiwa ccm ni mwanadam kama mimi
akiwa cdm ni malaika kwenu!
Tunajua mlivyo hovyo
mnamtukuza Mbowe kama Mungu asiye kosea.
Angemuomba Lissu amuandikie.
Source of your information please. Usije ukawa umetunga tu, kayasemea wapi?Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
hv unajua maamuz ya ESCROW mpaka leo tunalipa mabilioni? thinkhuyo hata wakati ule wa kashfa wa ESCROW aliwatishia nyau wabunge kuwa akizungumza yote anayoyajua nchi itatikisika.
tunashangaa ametikisika yeye.hayo maonyo yake aliyo-tweet ilitakiwa ayafikishe kwa rais yafanyiwe kazi kuliko kujifaragua kwenye mitandao.
come on man,don't be so cheap!
Mkuu CV itaonyesha mara mbili alifukuzwa na maraisi wawili muda tofauti kwa kazi ya uwaziri wa wizara hiyo hiyo,kwa lugha nyepesi tulisikia Magu akimwambia pammoja na kuwa rafiki yake lakini is poor manager bila kumungunya maneno.Miongoni mwa mambo yanayonifanya nishindwe kumwelewa kabisa Prof. Muhongo ni tabia yake ya kutumia kiwango chake cha elimu na CV yake kama utetezi badala ya kujadili hoja inayokuwa mezani. Mara nyingi badala ya kujadili jambo husika, hukimbilia kueleza CV yake na sehemu alizofanya kazi na ni jinsi gani anaheshimika duniani. Hata walipomwambia alishiriki kuwezesha pesa zilizokuwa kwenye account ya escrow kuibiwa kwa kufanya udalali, aliishia kusoma CV yake badala ya kujadili tuhuma. Kwenye mkutano mmoja wa wadau wa mafuta uliofanyika Mlimani City ambapo alifanya presentation, aliishia kutumia fursa hiyo kuonesha ni jinsi gani anaijua miamba kwa kuorodhesha makorokoro ambayo kimsingi hayakuhitajika mahali pale. Nafikiri alijiaminisha kwamba akitishia watu na usomi, watamwogopa. Hataulizwa maswali mengi. Nimefikia hitimisho lifuatalo: Prof. Muhongo hana uhakika na usomi wake. He feels insecure. Hivyo, he constantly see the need to remind people how educated he is for fear that people have forgotten. Hiyo si sifa ya msomi (as in intellectual). Wahenga walisema, "A tiger does not shout its tigritude, it acts". Huoneshi usomi wako kwa kusoma CV yako hadharani kila unapopata fursa/kupiga kelele kuwakumbusha watu kuhusu CV yako. Ukifanya matendo ya kisomi watu watahitimisha kuwa wewe ni msomi (kama ndio kitu unajali maishani, kuonekana msomi).