Professor Muhongo aionya serikali

Professor Muhongo aionya serikali

Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Makubwa.
 
Hapa nimeamini wachawi na maadui ili Tanzania isisonge mbele ni watanzania wenyewe. Au ndio le PROFESA aliyechukua mlungula uyu?
 
Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.

Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.

" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"

Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.

Sasa si angekaa kimya tu. Kama kaamua kuongea basi na atuoneshe mfano wa hiyo shubiri Hii ndio pale Professor anapotoa prophecy badala ya prediction. Prophecy haitaji data ila prediction lazima uwe na data.
 
Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.

Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.

" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"

Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Hebu wekeni chanzo (link) tujisomee wenyewe.
 
Hayo ni maneno ya mkosaji, hivi kwanini mtu anaweka ubinafsi kwamba bila yeye mambo hayataenda wakati yeye mwenyewe hayo mambo aliyakuta na bado hajamaliza na kayaacha si bora mtu unyamaze.
 
4b29d3fa97f4df5e6e334d74dfa6a3aa.jpg
huna lolote.zaidi ya njaa kama kweli wew ni profesa kweli huwezi kywa ccm
 
Rais wangu kwa hili sijui umetumia kigezo gani maana mchanga ulikuwa unasafirishwa kwa mujibu wa mikataba. Je mmebadili mikataba hiyo? Ama mnawafukuza wanaotekeleza taratibu mlizoweka.
 
Muhongo kazingua, yaani yeye anaogopa zaidi wawekezaji kuliko anavyoogopa Watanzania kuibiwa mali zao!

Halafu pia kauli yake inatoa signal kwa wawekezaji watushitaki, huu ni ukosefu wa uzalendo, bora angekaa kimya hata kama yuko sahihi.

Lakini pia huu ni ushahidi wa wazi kuwa Rais yuko sahihi kumtumbua huyu profesa, kwa sababu ni dhahiri kwa mitizamo yake hii kamwe asingechunguza ukweli wa madini yanayaochukuliwa na wawekezaji, lakini pia asingekuwa na guts za kurenogetiate mikataba!. Huyu alikuwa hafai kukalia wizara hiyo!
 
Rais wangu kwa hili sijui umetumia kigezo gani maana mchanga ulikuwa unasafirishwa kwa mujibu wa mikataba. Je mmebadili mikataba hiyo? Ama mnawafukuza wanaotekeleza taratibu mlizoweka.

Kusafirisha michanga hakujapigwa marufuku, ila ilisimamishwa ili tujiridhishe kuwa je, Kiwango cha madini tunachoambiwa kuwa kimo kweli ni hicho au tunapigwa kanyanga mchana kweupe?
 
Sasa kwa nini hakumpa maelekezo waziri akasitisha heye?
 
Hata NAPE alibwata sana ila sasa KATULIA ANAKULA MTAMA...Uwaziri mtamu
 
Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.

Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.

" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"

Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
na je nchi isipopata matatizo ika shinda matatizo yupo tayari kufuta kauli yake na kuomba msamaha watanzania kwa upotoshaji wake?
huyu jamaa sio mzalendo anaegemea zaidi upande wa wawekezaji kuliko nchi yake.
 
yeye mpuuzi sana, asimtishe rais kwa maneno ya kijinga, kwa hili tuko pamoja na rais, kama alitumiwa na hao kupe awaambie "ngosha" kabana
Hajamtisha Mtu amewaeleza Ukweli! Kwa Mtindo huu iko siku Magufuli ataondokewa na Mawaziri wote wenye Akili Itambidi awaweke akina Milinga na Ally Kessy na Mwakyembe!
 
Back
Top Bottom